Be blessed mkuu...nilighafilika kidogoKama umeamua kutangaza biashara kamilisha tangazo na picha ziwepo Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
UK and MalaysiaJames Bond (Mr 007)hatimaye kafika/kaingia Bongo...!!
Ni Saa kutoka nchi gani Mkuu...!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinafanya kazi boss labda uliwahi kukutana na hizo ambazo fake...be wise ktk choiceMkuu, weakness ya hizo saa ni kwamba option ya whatsapp, notifier,browsing ni hazifunction na hata browser ikifunguka inauwezo wa chini sana maana ni za kichina
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe ashakwambia saa zake anauza 100,000 kama wataka galaxy gear unajua bei yake siyo chini ya laki nne.Hizo SAA zako mkuu ni fake! Tunataka za Samsung au Apple, campuni yoyote inayojulikana, sasa SAA zako hazina hata jina! Yaani Androids tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kM ni hizo ulizopost pic hapo nina uhakika na ninachokisema. Yaan ni mfano tu wa cm ya kichina ya line mbili. Hebu post ukiwa umefungua whatsapp au web browser yaie tuoneZinafanya kazi boss labda uliwahi kukutana na hizo ambazo fake...be wise ktk choice
Mkuu kama hauhitaji ni vizuri ukakaa kimya than kuongea vitu vya hovyo...una display ubongo wako unanini to the public. By the way visit maduka ya samsung kanunue Gear yao haulazimishwi uwe na hii...Hizo SAA zako mkuu ni fake! Tunataka za Samsung au Apple, campuni yoyote inayojulikana, sasa SAA zako hazina hata jina! Yaani Androids tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app