Saa za Mkononi

Saa za Mkononi

YALE

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2017
Posts
308
Reaction score
379
Nahitaji saa za mkononi kama tano nataka kujua brand ipi ni nzuri na safe, Pia naomba nijue saa hizo zinaweza kuwa na GPS ila zisiwe smart watch, Je nta sychronous vipi majira ili saa zote ziende kwa pamoja kuanzia sekunde,dakika n.k , Zikiwa non rechargeable itakuwa vizuri pia ziwe waterproof, Nahitaji muongozo ktk manunuzi ya hizi saa za mkononi
Zisiwe za mshale pia situmia Mikanda ya plastics au rubber
 
Nunua suunto core multi fiction vyote unavyotaka vipo na kumbuka uwezi pata saa yeye izo specification ambayo sio ya kuchaji
 
Nunua suunto core multi fiction vyote utavyotaka vipi na kumbuka uwezi pata saa yenye izo specification ambayo sio ya kuchaji
Inakaa na chaji muda gani mkuu
 
Nahitaji saa za mkononi kama tano nataka kujua brand ipi ni nzuri na safe, Pia naomba nijue saa hizo zinaweza kuwa na GPS ila zisiwe smart watch, Je nta sychronous vipi majira ili saa zote ziende kwa pamoja kuanzia sekunde,dakika n.k , Zikiwa non rechargeable itakuwa vizuri pia ziwe waterproof, Nahitaji muongozo ktk manunuzi ya hizi saa za mkononi
Zisiwe za mshale pia situmia Mikanda ya plastics au rubber

Saa nyingi za namna hiyo zenye GPS na ambazo zina functions za hatari na sio smartwatches mara nyingi ni za plastic,mikanda ya plastics na zimekaa kiume (Men's watches)
- Jaribu kucheki casio GSHOCK na suunto All black au suunto military watch
GPW1000-1A_large.png

s-l1000.jpg
 
Asante mkui hizi zinaweza kuwa syc na zika match exactly na majira ya simu au Pc?
 
zipo saa ambazo ni hybrid, zina element ya usmart ila zinakuwa sio smart watch 100%. unazipata kwenye sekta ya afya na michezo mara nyingi kwa brand kama fitbit, withings, garmin etc.

zenyewe zinakuwa na app ama webapp unaweza kuzimanage kwa kutumia simu ama pc yako. hivyo customization nyingi zinafanyika

fitbit-versa-front-100753032-large.jpg

mikanda inabadilishika hio pia sio issue.
 
Back
Top Bottom