Saa ya ukombozi

Saa ya ukombozi

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
947
Reaction score
690
Eee Mungu watumie wakatholiki kuikomboa Tanganyika, waraka wa Kanisa umegusa sii tu Bandari, Bali madini, Loliondo, Bunge, Mahakama.
Haijawahi tokea.

Kwa mara ya kwanza kanisa la Tanzania limetikisa mihimili yote mitatu,

Ukombozi wetu upo karibu,

Waumini wa kilutheri ambao wanakubaliana na waraka huu, ni fursa yao sasa kuwabana viongozi wao wa juu kutoa tamko sawa na hili, vinyo hivyo na Wasabatho, wapentekoste,
Tusikubali kugawanywa na siasa za kifedhuli eti tunachanganya dini na siasa,

Watanzania wote tuamke sasa, ni hapa hapa, tusilale, tupige kelele zaidi, wokovu wetu upo karibu kuliko tulipotoka.

Hii ni mbegu ya ukombozi, itaota!!

Peter Mlay
 
Back
Top Bottom