Saa ya mkononi ya "true" engineer

Saa ya mkononi ya "true" engineer

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,292
Reaction score
6,693
18010686_689053881302141_5387157282434578708_n.jpg
 
Naona chaa chaa... cha kabila au kimezuka mitaani tu
Lalashe...hilo neno naamini chanzo chake ni Ugweno Kilimanjaro. Nimeishi kule sana na hadi wabibi (koko) wanatumia hilo neno katika mshangao

Ni kama mchaga aseme "mbutaa" au muorombo aseme "Yesu na mariaa"

Ama Mmasai aseme "Shyee"
 
Nimeliona saana huku lalashe...
Ikabidi niulize
 
Back
Top Bottom