SAA ya BiG BEN kuzimwa kwa miaka 4.

SAA ya BiG BEN kuzimwa kwa miaka 4.

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,505
SAA kubwa nchini uingereza iliopewa jina "Big ben" inayokaa Elizabeth Tower, Itazimwa kwa maboresho mnamo agosti 21 mwaka huu kwa muda WA miaka mi4 mpaka 2021. SAA hiyo INA uzito WA tani 13.7.

Big Ben Iliwahi kuzimwa tena mwaka 1983 na 1985 kwa lengo La kuiboresha.
SAA hiyo INA muda WA miaka 157.

Ina maana ilikuwepo tangu Mwaka 1860
Sent using Jamii Forums mobile app
 
240px-Clock_Tower_-_Palace_of_Westminster,_London_-_May_2007.jpg
 
wanaboresha kitu gani humo kwenye saa?? tufanye mpango na sisi tujenge yetu pale Dom
 
Tani 4 imetengenezwa na nini hasa?
wauza maneno hao hawana lolote ina adhari gani!!
hawa wajinga wangekuwa wana tengeneza wao saa tu wangetuambia saa zote zinaitajika kuzimwa ili warekebishe mstari wa ikweta!!
 
wauza maneno hao hawana lolote ina adhari gani!!
hawa wajinga wangekuwa wana tengeneza wao saa tu wangetuambia saa zote zinaitajika kuzimwa ili warekebishe mstari wa ikweta!!


Tehe!, wenzetu wana umakini kwenye kila kitu chao ndo maana wako mbele..
Una maneno weye lakini, eti warekebisha mstari wa Ikweta...lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom