SAA ya BiG BEN kuzimwa kwa miaka 4.

SAA ya BiG BEN kuzimwa kwa miaka 4.

wauza maneno hao hawana lolote ina adhari gani!!
hawa wajinga wangekuwa wana tengeneza wao saa tu wangetuambia saa zote zinaitajika kuzimwa ili warekebishe mstari wa ikweta!!
wanaanzisha kitu kidogo then wanakipamba balaa! full promo
 
itaendelea kufanya kazi katika special events kama New Year etc..
 
wauza maneno hao hawana lolote ina adhari gani!!
hawa wajinga wangekuwa wana tengeneza wao saa tu wangetuambia saa zote zinaitajika kuzimwa ili warekebishe mstari wa ikweta!!
Ondoa neno "wajinga". Ujinga unapatikana Afrika na Asia kwa mbali.
 
Ondoa neno "wajinga". Ujinga unapatikana Afrika na Asia kwa mbali.


wauza maneno hao hawana lolote ina adhari gani!!
hawa wezi makinikia wangekuwa wana tengeneza wao saa tu wangetuambia saa zote zinaitajika kuzimwa ili warekebishe mstari wa ikweta!!
nimeliondoa badala yake nimeweka neno wezi makinikia!!!
 
nyie mnaoponda hata toothpick kwetu hatuezi tengenezwa,,wanaumw akili zinawazaga misambwanda na michepuko,.,full stop! alietuloga kashakufa
 
Huu ndio upuuzi tunaolishwa na wazungu na kuwaona wana akili...Halafu utasikia kwenye taarifa za habari za Tanzania hii itakuwa kwenye habari za kimataifa
 
Hiyo saa huwezi kuiiba na kuuza kama chuma chakavu? Dah bonge la dili kama lingekuwa posta!
 
Back
Top Bottom