bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 223
Unakuta mwanaume anaenda kwa mwanamke anakaribiswa wine, msosi analala na kukoroma. Asubuhi anahitaji chai, anafunga taulo anaoga anaondoka.
Kweli unategemea huyo mwanamke atakuwazia nini? Jisimamie kama mwanaume. Umempenda mwanamke gharamia, acha kutaka kulelewa. Je, siku ukisombewa vinguo vyako nje utalaumu?
Poleni sana wanaume mnaobebwa.