keikiu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 2,347
- 1,973
Nauza saa aina ya SEIKO 5 used ambayo iko katika hali nzuri sana.... Saa hii ni ORIGINAL kutoka JAPAN... Ni kama mpya na iko kwenye hali nzuri sana.
Haijawahi kwenda kwa fundi tokea inunuliwe.
SIFA ZA SAA
> Saa ni automatic, haitumii betri, unavaa miaka na miaka.
> Saa haingii maji unaweza kuoga nayo, kufua nayo.
BEI: SHILINGI 200,000 FIXED
Tuwasiliane 0659358599
Sent using Jamii Forums mobile app