Saa aina ya SEIKO 5 Original naiweka sokoni

Jumong01

New Member
Jul 4, 2016
3
2
SAA MPYA AINA YA SEIKO 5 NAIWEKA SOKONI
Ni saa zaidi ya saa, haingii maji, unaweza kuogea kwenye swimming pool au baharini, ni saa inayodumu miaka na miaka, ni saa imara sana.

BEI: Tshs. 350,000

Napatikana kupitia 0659-358 599
 
Attachments

  • IMG_0589 (1).JPG
    IMG_0589 (1).JPG
    16.3 KB · Views: 75
Ninayo SEIKO 5 Original mpya na iliyo katika hali nzuri sana, bei 350,000
 
Saa nzuri sana hio, kwa wale tu tunao zifahamu.
Vipi mortima mkuu unaweza ipata?
 
Chief ni 350k or 35k kama sijaelewa kwenye bei,unaweza kuwa umejisahau kaka,Owky hebu tuambia ukiacha kuoga nayo kwenye swimming or baharini nini kingine cha ziada?madini yaliyotumika n.k
 
Tatizo kujua feki na original ni ngumu sana,feki ndiyo za sh 35000 original in laki 6...
Seiko na Radio ndiyo SAA pekee zilizofanikiwa kufika mwezini na kurejea duniani bila kupoteza muda halisi
 
Tatizo kujua feki na original ni ngumu sana,feki ndiyo za sh 35000 original in laki 6...
Seiko na Radio ndiyo SAA pekee zilizofanikiwa kufika mwezini na kurejea duniani bila kupoteza muda halisi
Naomba ufafanuzi mkuu
 
Back
Top Bottom