GE2010 Saa 10:00 ikifika: Twendeni tukalinde kura

Kieleweke

Member
Joined
Jun 23, 2009
Posts
79
Reaction score
8
Jamani,

Saa 10:00 hiyo imekaribia yaani. Lile zoezi la kulinda kura ndiyo wakati wake sasa. Chukua kila unachoweza kama camera, tape recorder na chochote kinachosaidia.

Huwezi kufunguliwa mashtaka yoyote kwani sheria inakataza kuwa mita 200 na DR. WILBROD SLAA ameongeza mita 100 za kwake hivyo tukae mita 300 kutoka kituoni.

Vituo havizidi watu 500 hivyo tuvumilie huko hadi “kieleweke” kama ilivyo ID yangu.

Mchakachuaji hawezi kubeba box toka mafichoni na kuliingiza kituoni halafu tulio umbali wa mita 300 tusikuone. Mimi nimesha-charge camera yangu na ina-zoom zaidi ya mita hizo.
 
ulinde kura wewe mlinzi? hebu acha mawazo ya kivurugu bana

so far tumeishi kwa amani na uchaguzi uko shwari, siungi mkono hili
 
Kinaja heading inasema saa kumi imefika,wakati bado uko Tz kweli wewe?
 
Kituo nilichopigia kipo karibu na uwanja wa mpira. hapakosi mechi/mazoezi naenda. najifanya naangalia mpira. kumbe niko ful intelijensi
 
Niko njiani nimejiandaa kukesha kituoni maana najua watajidai kuchelewesha hadi usiku wa manane.
 
Jamani,

Saa 10:00 hiyo imekaribia yaani. Lile zoezi la kulinda kura ndiyo wakati wake sasa. Chukua kila unachoweza kama camera, tape recorder na chochote kinachosaidia.

Huwezi kufunguliwa mashtaka yoyote kwani sheria inakataza kuwa mita 200 na DR. WILBROD SLAA ameongeza mita 100 za kwake hivyo tukae mita 300 kutoka kituoni.

Vituo havizidi watu 500 hivyo tuvumilie huko hadi "kieleweke" kama ilivyo ID yangu.

Mchakachuaji hawezi kubeba box toka mafichoni na kuliingiza kituoni halafu tulio umbali wa mita 300 tusikuone. Mimi nimesha-charge camera yangu na ina-zoom zaidi ya mita hizo.
Yes Mkuu!
Hapa sasa tunakaribia kwenye kazi maalum itakayosababisha kushinda....!otherwise all our efforts will have gone futile!
 
Hata mfanye nini,niwazi uchaguzi 2meshinda siye,kama kweli mnajiamini na mawakala wenu kwanini muweke ulinzi,mbinu hii inaashiria wazi kuwa wapinzani ni mafisadi kupindukia,mawakala wanachama halali lakini pia hamna imani nao.

Je 2kiwapa Taifa simtaliweka mnadani,jamani maskini akipata,mwanzo atajistawisha,Jamani washaurini wagombea wenu waupinzani watafute WAKE KWANZA THEN WAJE KUTAFUTA KURA,HUWEZI ONGOZA NCHI IKIWA WE MWENYEWE MHUNI
 
Hata mfanye nini,niwazi uchaguzi 2meshinda siye,kama kweli mnajiamini na mawakala wenu kwanini muweke ulinzi,mbinu hii inaashiria wazi kuwa wapinzani ni mafisadi kupindukia,mawakala wanachama halali lakini pia hamna imani nao,je 2kiwapa Taifa simtaliweka mnadani,jamani maskini akipata,mwanzo atajistawisha,Jamani washaurini wagombea wenu waupinzani watafute WAKE KWANZA THEN WAJE KUTAFUTA KURA,HUWEZI ONGOZA NCHI IKIWA WE MWENYEWE MHUNI

Kura za maoni za ccm unakumbuka hali ilivyokuwa. Leo hii unataka tuwaamini ccm na tume ya uchaguzi kuwa ni watu wema sana, na haki itatendeka, hapa hadanganyiki mtu.
 
Ccm wezi!hivi unawezaje kuomba kura halafu wewe mwenyewe ukakimbilia nchi nyingine bila kupiga kura?shein yupo oystebay anakula kuku atajua kweli wa zenj wana shida zipi?
 
Jamani,

Saa 10:00 hiyo imekaribia yaani. Lile zoezi la kulinda kura ndiyo wakati wake sasa. Chukua kila unachoweza kama camera, tape recorder na chochote kinachosaidia.

Huwezi kufunguliwa mashtaka yoyote kwani sheria inakataza kuwa mita 200 na DR. WILBROD SLAA ameongeza mita 100 za kwake hivyo tukae mita 300 kutoka kituoni.

Vituo havizidi watu 500 hivyo tuvumilie huko hadi "kieleweke" kama ilivyo ID yangu.

Mchakachuaji hawezi kubeba box toka mafichoni na kuliingiza kituoni halafu tulio umbali wa mita 300 tusikuone. Mimi nimesha-charge camera yangu na ina-zoom zaidi ya mita hizo.

Mkuu well said
 
ulinde kura wewe mlinzi? hebu acha mawazo ya kivurugu bana

so far tumeishi kwa amani na uchaguzi uko shwari, siungi mkono hili

Kuna sheria gani imevunjwa hapo? Huo ndo ulinzi shirikishi Mkuu usiogope. Bila shaka unaungana na tangazo la Polisi ambao katika hili hawataki msaada; mtu kulinda mali zake ni jukumu lake kwanza, Polisi wanakuja baadaye.
 
ulinde kura wewe mlinzi? hebu acha mawazo ya kivurugu bana

so far tumeishi kwa amani na uchaguzi uko shwari, siungi mkono hili
Maumivu hanza polepole......... naona inakuuma mr Kinana
 
Mbeya wameshakata umeme ili zoezi la kuchakachua liende perfectly
 
Una wasiwasi gani? Tusilinde ili mchakachue?:smile-big:
 
Back
Top Bottom