Ni kweli uturuki ni mwanachama wa nato but km utakuwa makini kwa siku za hivi karibuni relationship ya uturuki na EU imeshuka kwa kasi kubwa mno, siku ya Jana km nitakuwa sijakosea rais wao kawasemea mbovu EU
Sent from my GT-I9152P using JamiiForums mobile app
Na uchinaIli dunia iwe salama ni lazima marekani na urusi ziondoke kwenye dunia maana wao ndo wauzaji wakuu wa siraha
just 7m..!!uezi jua thamani ya hio pesa kwa miaka hio ilikuajeThat's peanut money compared to that of Trump to Saudia's worth USD 350 bn/= the largest ever in mankind history.
Alaska yenye ukubwa wa 1.718 sq. km (almost twice the size of TZ) US aliinunua kutoka kwa warusi for just 7m/-
turkey anaweza asiondoke NATO,hupo sahihi kabisa lakini Turkey anaweza asiwe mwanachama mtiifu kwa NATO kama ilivo PolandEU sio NATO na NATO si EU
Hakuna ulazima wa kuwa EU au NATO
Turkey anataka akubaliwe aingie EU
Turkey hawezi ondoka NATO
That's peanut money compared to that of Trump to Saudia's worth USD 350 bn/= the largest ever in mankind history.
Alaska yenye ukubwa wa 1.718 sq. km (almost twice the size of TZ) US aliinunua kutoka kwa warusi for just 7m/-
Halafu sijui kwa nini Urusi hajifunzi yani... Maana ile S300 ya Ugiriki Israel na NATO kila siku wanaifanyia mazoezi kutafuta countermeasures zake.
Leo wanawapa Turkey S400 sitashangaa baada ya miaka 5-10 nikaona S400 ikiwa mazoezini na Marekani na NATO kiujumla ikiwemo Israel
Ukiona hivyo wamekubali kuwauzia na technology ujue wao tayari wako level nyingine kabisa hiyo tayari kwao outdated
Alaska iliuzwa mwaka 1867 mbona hilo ulisemi au unafikiri thamani ya Dola ya karne ya 18 ni sawa na karne ya 21?
Wazungu wanafiki Leo wanaweza kuwa adui kesho rafiki.Ref,Mohd Gadaffi walivyomgeuka kama hawamjui!Ni kweli uturuki ni mwanachama wa nato but km utakuwa makini kwa siku za hivi karibuni relationship ya uturuki na EU imeshuka kwa kasi kubwa mno, siku ya Jana km nitakuwa sijakosea rais wao kawasemea mbovu EU
Sent from my GT-I9152P using JamiiForums mobile app
Regardless ilikuwa mwaka gani bado wataalamu wengi hadi leo wana-challenge offer husika; was too little money. Hii ni kuonesha mrusi ni wa vidili vidogo dogo sana.For
just 7m..!!uezi jua thamani ya hio pesa kwa miaka hio ilikuaje
Hujaelewa nini? Mrusi ni wa dili maandazi.Sasa kwahiyo unataka kusema nini?
Sent from my GT-I9152P using JamiiForums mobile app
Njaa kaka! Hata hiyo miaka mitano mingi; soon watalifanyia reverse engineering kila kitu kitakuwa hadharani. Kama waajemi ndio wanaringishia hilo waandike maumivu; limewafikia US, Israel, na NATO indirectly.Halafu sijui kwa nini Urusi hajifunzi yani... Maana ile S300 ya Ugiriki Israel na NATO kila siku wanaifanyia mazoezi kutafuta countermeasures zake.
Leo wanawapa Turkey S400 sitashangaa baada ya miaka 5-10 nikaona S400 ikiwa mazoezini na Marekani na NATO kiujumla ikiwemo Israel
Zikiondoka USA na urusi kuna Yale maninja au majahedeen yatatutesa sana kutaka dunia nzima tuwe majahedeenIli dunia iwe salama ni lazima marekani na urusi ziondoke kwenye dunia maana wao ndo wauzaji wakuu wa siraha
Mkuu kwani nani kasema kwamba export version inakua sawa og version inayotumiwa na nchi husika?!.Hata THAAD iliyopo Korea sio sawa na anayotumia Marekani na hata Barak 8 aliyouziwa India na Israel sio sawa na anayotumia mwenyewe Israel. Kila mtu anajua kwamba export versions zinakua downgraded ili zisifanane na ya nchi husika.Mambo mengine fanyeni utafiti kwanza, je, unajua kuna version ngapi za S-300? Nani kawambieni kwamba export version ya S-300 ni sawa sawa na inayo tumiwa na jeshi la Urusi!! FYI Warusi si wajinga kama unavyo wafikiria wewe, walijua wakiwauzia Wagiriki Air Defence System type S-300 bila shaka Israel na Amerika watakuwa na shahuku kubwa ya kujua inavyo fanya kazi ili wabuni mbinu za kui-defeat.
Soma taarifa za Israel na marafiki zake wanasema nini kuhusu uwezo wa S-300 iliyo nunuliwa na Wagiriki kutoka Urusi, Israel imejaribu mara lukuki kui-jam lakini walishindwa - wanakiri kwa kauli yao kwamba walikuwa wanawazuga Wagiriki kwa kujidai wafanye mazoezi ya kijeshi kwa pamoja kumbe lengo lao ni kutafuta mbinu za kutumia ECM zao ku-blind S-300, Waisrael wanasema mbinu zote walizotumia bado radar za S-300 zilikuwa zinatrack ndege zao hivyo zingekuwa rahisi kutunguliwa na missile za S-300.
Kumbuka S-300 waliyo wauzia Wagiriki ni export version i.e a watered down Defence System, kama Wayahudi na Uncle SAM hawajapata jibu la ku-defeat export version ya S-300, je, version inayotumiwa na jeshi la Urusi ndiyo wataiweza? labda watumie mbinu za kupora system nzima nzima kutoka kwa Wagiriki kama walivyo fanya wakati wa vita 1973 kwa kupora SAM-6 iliyo kuwa inatumiwa na Waarabu, licha ya kufanikisha uporaji huo yet it took Israel and US six years kuelewa SAM-6 inavyo fanya kazi - je,wakifanikiwa kupora S-300 itawachukua miaka mingapi kupata dawa yake - jibu unalo. Hata Turkey ikinunua S-400 mambo yatakuwa yale yale - watauziwa a watered down version ambazo hazitumiwi na jeshi la Urusi, hata Uturuki ikirubuniwa na Uncle SAM na Israel kwamba wastrip S-400 to bare bones ili waichunguze inavyo fanya kazi, Russians won't mind watabaki wanawacheka tu kwa kutapa tapa kwao.
Ukweli wa mambo Warusi wanajiamini ndiyo maana uwezi kusikia hata siku moja wanangahika kuiba au kununua ndege za kivita za Uncle SAM au silaha zao zingine na kwenda kufanya reverse engineering - tafuteni historia inayo eleza mbinu zilizo tumiwa na Amerika kuiba ndege za Warusi na kuzisafirisha kwa meli mpaka USA na ushahidi hupo - mfano: MiG-15, MiG-17, MiG-19, MiG-21 mwaka 1976 MiG-25 - Miaka ya hivi karibuni walinunua MiG-29 karibu 26 walinunua tena ndege za vita 19 aina ya Sukhoi-27 - ndege zote tajwa hapo juu zilinunuliwa kutoka katika nchi za Ulaya ya mashariki zilizo kuwa zinahunda SOVIET za zamani - Taifa linalo jiamini aliwezi kuangahika kupora pora ndege na silaha nyingine za washindani wako kwenda kuzichunguza zinavo fanya kazi na kuishia ku-copy copy tu na mbwembwe chungu mzima.
Na mpaka leo China na Russia hawajaweza kuimaster vizuri hii technology na kuiapply kwenye ndege zao kama Marekani.Moja ya majukumu ya iliyokuwa KGB ilikuwa ni kuiba technology mbali mbali hasa kutoka nchi za magharibi.
Low Observable (Stealth) technology, ni moja ya teknolojia iliyoibwa na warusi toka Marekani. Wizi huu wa teknolojia ni jambo la kawaida mno kwa haya mataifa yaliyoendelea.
mkuu mbona unatuongopea izo data umezitoa wapi,PAK TA(T-50) ni ndege ya mrusi peke yake ilo ya ushilikiano na India inaitwa Sukhoi/HAL FGFA.na mpaka leo hii india bado awajatoa pesa ya kuendeleza iyo project kwa iyo kuna uwezekano project yenyew ikawa imekufa.Na mpaka leo China na Russia hawajaweza kuimaster vizuri hii technology na kuiapply kwenye ndege zao kama Marekani.
Fuatilia mgogoro wa India na Russia kuhusu ndege yao ya ushirikiano T-50 ,wahindi wanaiponda hiyo ndege wanasema sio 5th generation fighter bali ni 4.5 generation fighter.
nani kakwambia warusi wana njaa?Njaa kaka! Hata hiyo miaka mitano mingi; soon watalifanyia reverse engineering kila kitu kitakuwa hadharani. Kama waajemi ndio wanaringishia hilo waandike maumivu; limewafikia US, Israel, na NATO indirectly.