Mada hii inatokana na uzoefu. Badala ya kucheka, huwa ni kilio, cha kwikwi lkn. Inaogopesha lkn unapoona mzee mzima, badala ya kuchekea furaha, anatoa kilio cha furaha. Duh!! Kuna raha duniani!!
hehehee tendo litakatika hapohapo na ikiwezekana hata kuachana coz jamaa akicheka wakati ana jigjig unaweza sema anakucheka au unakumbukia wa zamani au unamlinganisha uwezo wake wa mbio na mwingine lol usijaribu aisee