Ulizipata biblia ipi hizi habari??pia kumbuka bomu la kwanza la Nuclear Duniani ni lileee lilipiga Sodoma na Gomora Mungu alilitumia hili ....la sasa ni photo copy.
Mungu ni mzee wa vita pia....mpaka sasa.
Ruski. So kharasho.Mzee tusibishane sana.
Mimi nimekaa Ru na nimekaa Israel pia,
20% ya wa Israel ni Russian - born.
Nenda kagoogle tena ndio uje hapa jukwaani
King Solomon tample ipo? Inamaana madini yote yale bado yapo!. Wejamaa, pamebaki ramani foundation pekee na sivi ginevyo. Leta picha tuone kwa ushahidi.Dogo kumbuka Mungu alisema hivi kwa wayahudi weusi namnukuu...
Mkinikataa Mimi Mungu wenu nitanyanyua hata mawe yanitumikie! Mwisho wa nukuu..
Ndo hayo mawe sasa ya leo.
.
Sasa ndo hivi sehemu zooote za kumbukumbu ya kale kuhusu kazi ya Mungu zimefufuliwa vizuri sana na hao hao ma-zion wa leo na wanapiga hela vibaya kwa kazi ya utalii.
Kila kitu kilicho kwa Biblia pale uyahudi ya leo utakuta kumbukumbu yake.
Unauwezo nenda huna tulia tukupe fact tuliofika. Gethsimane. Maji aliyo kanyaga Yesu akatembea juu yapo unaruhusiwa kuchota kidogo...ukaone maajabu yake.
Infact km Weye ni msomaji wa Biblia mzuri utaona mengi ya kweli.
King Solomon temple ruins ipo mpaka kesho....
Ndo hayo. Km hujui Biblia na hujawahi kuisoma utaona kizungu zungu tu kula vihepe ulale...umepitwa.
Na kamwe hawataguswa na paka yeyote!!
Uleee ufunuo wa Yohana utatimia baadaye sana.siyo kwa wkt huu!! Hao ndo yaleee mawe aliyo sema Mungu tena kwa kauli yake mwenyewe....sasa pinga Mungu uone moto!Babuu...
Ukisha itaja Israel tambua imani ni lazima itahusika.Kuna watu humu wanakera sana kupenda kutoa mijadala ya uzi kwa kulita hoja tofauti.hapa tunazungumzia mfumo wa ulinzi wa kijeshi jitu linaleta mambo ya kiimani
Acha uzwazwa sio kila jambo linalohusu Israel ni la kiimani maana nao ni washenzi tu Kama mataifa mengineUkisha itaja Israel tambua imani ni lazima itahusika.
Asa tech ndio silaha?Na Iran anapata toka wapi? Tech yake si imetoka kwa mrusi?
we dada unaongea uongo mwingi mpk unaboa.pia kumbuka bomu la kwanza la Nuclear Duniani ni lileee lilipiga Sodoma na Gomora Mungu alilitumia hili ....la sasa ni photo copy.
Mungu ni mzee wa vita pia....mpaka sasa.
Usalama kwanza, gharama baadaeIla tusichokijua ni kuwa Israel inaunguza mamillion ya $$$ kutungua hivyo vikombora uchwara vya Hamas, ni basi tu hawataki kusema ama utakuta hii vita ni ufisadi mwingine wa bwana Netapaka
Nani kakudanganyaS 400
S ni herufi ya 23 katika muundo wa alfabeti,Hii inamaana ya kuwa S 400,inaweza kufanya kazi tofauti 23 kwa wakati mmoja.
400 ni umbali ambao makombora yote yenye ukubwa kuanzia mpira wa gofu yanaweza kutunguliwa.Zaidi ya hilo,kuna umbali wa ziada wa km 250,katika umbali huu makombola ya adui hufanyiwa jamming,kuhakiwa au kuvurugwa mifimo yake bila kufunguliwa,sasa kombola likikoswa ndani ya kilomita hizo 250 za kwanza,ndo huja kutunguliwa ndani ya km 400 hizo nyingine.Kwa maana hii S 400 hufanya kazi ndani ya KM 650.Ndio maana S 400 ilipofungwa Siria kipindi flani,ilitengeneza "NO FLY ZONE" katika nchi tano zilizipo karibu na Siria ukijumlisha na Israel ( Hakuna kitu chochote ambacho kiliweza kuruka katika nchi hizo tano bila ya kufumuliwa)
Hii Iron Dome,inaonekana ni bora kwa sababu Israel inapigana na HAMAS( Kikundi kidogo tu) lakini kwenye vita kamili au vita na mataifa ya kibabe, Iron Dome haiwezi kuwa na ufanisi wa kutisha.
Hiyo S 400 iliwahi kushambulia wapi na tukaona huo ufanisi wake.Iron dome ufanisi wake ni kwa roketi za masafa mafupi.
Mwaka 2006 vita baina ya Hizbullah na Israel takribani roketi 4000 za masafa mafupi yalirushwa na Hizbullah na kuleta madhara makubwa Israel.
Mwaka 2000 na 2008 zaidi ya 4000 mortars na roketi 4000 zilirushwa kutokea Gaza kuelekea Israel ndiyo ikapelekea kuundwa Iron Dome ambayo range yake ni 70km.
Huwezi ukapima ufanisi wake kwa vikombora dhaifu vinavyorushwa na HAMAS. Ufanisi wake utapimwa kwenye vita kamili.
Kwa ufupi Iron Dome ni kwa ajili ya wanamgambo wa HAMAS na Hizbullah.
S-400 ni ya masafa marefu. Ina locate tageti kwa umbali wa km 600 na ikaiharibu kwa umbali wa km 400.
S-400 inapambana na tageti 72 kwa wakati mmoja na kutrack tageti 160 kwa wakati huo huo.
Inashambulia aina zote za aerial target ikijumuisha aircraft, ballistic na cruise missile kwa range ya km 400...... Nitaishia hapa!
Kwa ufupi S-400 ni kwa ajili ya silaha za kisasa tishio.
Ijapokuwa kazi zake ni tofauti ila S-400 ni bora zaidi ya Iron Dome.
hukusoma???. Siku ukijua utakuwa umechelewa sana dogo.we dada unaongea uongo mwingi mpk unaboa.
hiz stori za kimbea kakumezesha nani?
Iron dome ni outdated in-terms of range na efficient ni kama S-300 hiyo S-400 ni habari nyingine chiefIron Dome ni bora sana mkuu, yaani HAMAS wamerusha zaidi ya kombora 1,500 lakini zote zimekuwa intercepted na Iron Dome,kilichoangukia Israel ni mabaki ya Rockets za HAMAS lakini si makombora yao
Iron Dome imefanya kazi kwny vita ipi? Kudungua vikombora vya Hamas vilivyoundwa kienyeji nacho ni kipimo cha kulinganisha na S400?Hiyo S 400 iliwahi kushambulia wapi na tukaona huo ufanisi wake.
Iron Dome inafanya kazi kila siku na tunaona.
Hamas wana makombora yao yale ukiyafyatua unaweza kuya-trace hewani kama zile fataki za sherehe. Mengi ya makombora yao yanatengenezwa gereji hayana hata guidanceIron Dome imefanya kazi kwny vita ipi? Kudungua vikombora vya Hamas vilivyoundwa kienyeji nacho ni kipimo cha kulinganisha na S400?
nakubaliana na wewe mkuuKwa sasa hivi duniani hakuna Defensive system hatari kama hii S 400 ukiacha S- 500 ambayo haijawa released bado ...
Ukiona mpaka Marekani wanakataza nchi nyingine kuwa na huu mfumo basi kuna kitu kwenye huu mfumo sio burenakubaliana na wewe mkuu
S-400 hi nikiboko sio mchezo ukiona zinavyotema zil kombola,,Na ndio mfumo bola nazani na very expensive
Sasa mkidiscuss hiv vitu, tanzania tunaiweka wap?Mimi nadhani swala la ulinzi na usalama wa nchi ni swala siri ya vyombo husika kwa nchi husika.
Sio rahisi kwa nchi kuweka wazi kila kitu kuhusu security details zake. Hivyo naamini tunachoelezwa kuhusu ufanisi wa hizi teknolojia za kiusalama za nchi fulani ni sehem ndogo sana ya uhalisia wa teknolojia yenyewe, na pia inakua disclosed kwa kiwango ambacho hakitaathiri usalama wa nchi.
Hivyo kwa mtazamo wangu ni vigumu sana kuweza kuwa na mizania sahihi ya kupima ni security system ipi ni bora zaid ya nyingine katika mazingira kama haya.