Maelezo meengi hayana facts wala evidence.
Wayahudi mnawaona watu wema sana, lakini tambua kuwa hawaukubali ukristo na yesu hawamtambui pia. Na wakristo walioko israel hawafiki asilimia 3.
Sikiliza wanachoulizwa kuhusu yesu
ukitamka yesu sema yesu gani
kama walikuwa matajiri hivo na wakaanzisha www1 kwa nini
waliuawa kwa wingi na kirahis ivo. Mfano Nchini ujermani wayahudi million 6.walikufa.
Rejea Holocoust Massacre. Na wanaadhimisha kila mwaka?? Kwa nini shetani auawe hivo wkt ana uwezo?? si mnamuita Mkuu wa ulimwengu au...
Kwa nini waisraeli hawapendwi Duniani kote ni kwa sababu wana
hela.
Uwezo km wote.
Akili mingi.
hawashindwi jambo wakiliamulia.
mashupavu.
siyo legelege!!
Hawapendi umbea.
Wamejibeba kimaslahi.wao km wao!
Wanapendana na kujaliana Duniani kote.wana mambo yao kivyao.
USA,Israel citizens wanajipenda wao kwa wao kuliko miafrica.Asians Europeans wengi ndo kosa lao kubwa la kuhusishwa na shetani. Wivu wa kike.
wameamua kuwa wao baaasi ndo chanzo cha chuki zote hizi.
hii computer unayosemea ni wao.
Uswahilini au kwenu hapo ukiwa na hela tu ndg zako wanakuchukia Mno uongo? Tena watakuua....
Ukipendwa kwenu basi wee jua ni kapuku wa milele huna nyota ya pesa!
Kwa nini Israel waungwe mkono na USA tu? Na wala siyo urusi?? Au china. Si wana hela pia?
Mbona urusi wanaunga wapalestina mkono hamsemi??
Jibu ni kuwa Hamsemi kwa kuwa hawana hela....wajinga wajinga tu.
hkn mweusi anaetamani kuishi Russia.hata walio kwenda huko kiubishi ni maskini tu mpaka kesho wana tia huruma km kina Dr cheka.....kavuna ukichaaa!!
Shetani wa USA ni mtamu Bana analipa. Kikwete alienda tibiwa USA Ako swafii
jiulize ni wapi Mungu alipo ni wapi shetani kati ya nchi hizo na Africa yako na kumbuka usemi.....fadhili zake ni za milele!!
Na kwa nini USA liwe taifa la shetani toa sababu....Vinginevo una chuki tu fanya kazi wewe...
Tatizo ni kuwa maskini mkiona watu wengine wana hela km Diamond!! NaSasa km UsA,israel nk, roho zinawauma mnamuhusisha na ushetani kwa nini?
Nchi Maskini mnacheka sana! Wala hamsimulii habari yake wala hata kumjua tu. Km nchi ya Mayote hata weye hujui ni wapi!!
Ila kwa sababu USA/ISRAEL ni wababe mnawashobokea na kuwasema mashetani kwa sababu mmewashindwa ndo mlivo!!
hata Africa ilikuwa super power huko nyuma watu walikuwa wana kimbilia africa ya weusi kwa mfano makamanda wazungu km
Napoleon Bonaparte
Alexander de great nk
hamkuwasema, kuwa Misri ilikuwa ya shetani.sababu ni ya waafrica wenzenu,??
Kwa nini leo mnawasema USA.ISRAEL? Sababu tu wana
hela?
ELIMU.
wababe.
Wanawalisha
Mnapewa mikopo
Tech.ya kisasa.
Hamjui kuwa kutesa kwa zamu.si mnasemaga wenyewe??
Ona mnaanza kunyoosha midole. kwa nini nyie hamna??
Kwanza Hata shetani tu hawataki??
Kwa hiyo wewe una soma na kula hela ya misaada ya shetani?? Mna ushirika na shetani unadhani utaenda mbinguni? Ki vipi!! Si ndo wanawalea au...
Soko la kariakoo unapouzia vihepe wamejenga wao.
UDISM wao.
Hotel 777 wao
Kilimanjaro hotel wao.
Ikulu wao
Kia.
jnia weee!
Hela mnapewa mnasonsomela vya shetani mbona hamuachi???
mbona hamjaacha kusoma pale kwa chuo cha shetani?
Mmejazana ubalozi wa USA kila siku kumbe mnaenda kwa shetani tena mnalipa cash...
Kwani freemansons si mjenzi huru? Na kweli USA citizens wako huru!!
Sasa amekosea kuwa huru au?
Maskini mswahili akiona Mtu ana mijengo.vijibasi tu oooh! Freemanson.
Acheni roho za kiswahili hizo!! Matema beach oooh! Eti Mchawi!
Mkinga akitajirika kidogo tu ajili ya kujinyima oooh! Mchawi.
Ukiwa na mtoto taahira Tu ndani oooh! Mchawi yule.
kamtia mwanae msukule!! Heee! Nyie wagalatia??
Kuna mashoga wangapi hapo bongo? Na mnawalea?? Anzieni hapo kwanza.
Kuiga iga tu !! nyie weusi mnaamini shoga ni kupigwa miti tuuuu!! Baasi!
Hamjui shoga smart hana jinsia huyu!!Hapanuliwi.
Wasio na jinsia bongo wapo wengi tu ila wanaogopa kujitokeza mta wananga!! Lkn huko wasomi wanaelewa sana.
Mweusi Ukisikia shoga tu unasimamisha mwee! Hujui Kuna wengine ni vilema ni double sex!
Mdada nïdude mbovu zote hazifanyi kazi. wangine hawana kabisaa! Pameziba Nyie mnaangalia kiswahili mnoo!! Tena eti mnaiga kuuza nnyaaa zenu!! Ptyuuu!!
Wenzenu majuu siyo hivo! japo kuna wengine kweli wapo, ni km nyie tu hapo bongo!!
Lkn siyo hawa wajeda wote wako ivo usikariri!! Bali Elewa...
Pia inategemea ni organ ipi iko active ili ifanye kazi.ya kukaza au kukazwa.
unaweza kuta dada mzuri Bomba hasa. lkn ana boro kubwa huko chini ni usipime.hawanaga vibamia.
ukijilengesha tu. atakugeuzageuza mpaka ukome Humu hautarudi tena sasa sijui utamsimulia nani....
Vile vile kuna mijike dume kabisaaa ina maku na ina midevu kabisaaa. likikoroma besi utajinyea tena wako bongo hii!!
Flat screen mibabe kabisaa. mumewe akijikoroga tu analo!
Na halitaki kumuacha.linamtia jamaa ake vitasa si kitoto na me hawasemagi "I wish" ungempata wa hivi ili utie akili....hili kisayansi ni tatizo la hormons wewe!!