Hivi hii tabia iliyo jengeka ya ku-invent excuses for the US's inability to design a reliable liquid fuel rocket engines, lengo lake ni nini hasa - visingizio hivyo vinawasaidia nini kisaikilojia au mnataka kuonyesha nini kwamba Mataifa mengine hayana wataalamu wabobezi katika masuala ya uundaji reliable/proven rocket Engines? Unawezaje kuja na hoja hapa eti Amerika inanunua Rocket Engines kutoka Mataifa mengine kutokana na gharama na sio vingine!! What a lame excuse? Mara ngapi kampuni za USA zimejaribu ku-reverse Engineer Engine za Urusi bila mafanikio, wamekiri wenyewe kuhusu ukweli huo, Amerika tangu lini ikajali gharama kama imepania kufanya kitu gharama kwao si hoja hata kidogo,chukulia mfano wa fighter jet F-35 Kampuni ya Lockheed Martin wame-rip off Serikali yao bila huruma wakati ndege zenyewe zina matatizo lukuki. Tangu afariki mtaalamu Mmerikani mwenye asili ya Kijerumani one Wener Von Braun huyo ndiye alikuwa kichwa kweli kweli kwenye masuala ya ROKETI tangu aondoke Duniani sekta hiyo kidogo iliyumba.
Kuhusu Air Defense System kama S-300/400 wasikilize Israel wana maoni gani kuhusu System hizo, kwa nchi za Ulaya S-300 hipo Nchni Ugiriki baada ya kuinunua kutoka Urusi miaka mingi iliyo pita - Waisrael wali wahi kutumia ndege zake za vita kuifanyia majaribio makali S-300 kwa makubaliano ya Serikali ya Ugiriki - matokeo yake Ndege za Israel zilishindwa kuidhibiti S-300 walitumia mbinu zote za ki-electonic ili wai-jam lakini wakashindwa, Waisrael wanasema muda wote Sytem hiyo ilikuwa inaona ndege zao na kuzilenga!! - Hii inamaanisha System hiyo ingeweza kutungua ndege zote zilizo jaribu kui-defeat electronically.
Hata mashambulizi ya juzi juzi huko Syria, ndege za vita za US,Uingereza na Ufaransa zilirusha makombora kutoka umbali wa Km50 -100 kutoka mpakani mwa anga la Syria - hakuna ndege ilitia pua katika anga la Syria waliogopa sana kutunguliwa na S-300/400 - ndege zote za mashambulizi ziliweza kutambuliwa zimeruka kutoka upande gani, kinacho shangaza zaidi Sytem ina uwezo wa kujua ndege imeudwa wapi(nchi gani), za aina gani nk - Russia haikurusha kombora lolote ku-intercept in coming missiles, kazi hiyo waliwachia Jeshi la Ulizi wa anga la Syria, jeshi la Syria walitumia System za kizamani lakini zilikuwa very effective.