S.1954 Masela Secondary School

Madodi

Senior Member
Apr 10, 2011
176
58
Unaweza ukadhani ni masihara ila ni ukweli mtupu Shu,e inaitwa Masela sec school na matokeo yake ni haya:
div-i=0, div-ii=0, div-iii=0, div-iv=9, FLD=10.
 
Chakushangaza kipi?
Darasa lina wanafunzi 19 tu.
9 wamepata daraja la nne. Na 10 wamefeli kabisa.
Matunda ya shule za kata.
Mtu hajui kusoma wala kuandika anafaulu kwenda sekondari.
Mtiani wa kuwachuja wakiwa kidato cha pili, ukafutwa.
Wakawa wanapita tu, ukianza kidato cha kwanza, unanyoosha mpaka mtiani wa kidato cha nne.
SISHANGAI.
 
me mwenyewe sishangai sana...kwani ndo TZ hii
 
Unaweza ukadhani ni masihara ila ni ukweli mtupu Shu,e inaitwa Masela sec school na matokeo yake ni haya:
div-i=0, div-ii=0, div-iii=0, div-iv=9, FLD=10.

hii itakuwa vijana waliofeli la 7 walijikusanya na kuanzisha shule yao
 
Mh! Majina mengine,tabu kwelikweli.

Pengine ndio maana wanafunzi nao wamepata 'divisheni za masela'.
 
masela oyeee hivi yule mtoto wa mkwer.e kwanini hakusoma masela sekondary kuliko kuitia najisa Feza girls.
 
Back
Top Bottom