Why warn him? Mbona kina Al Bashir hawakupewa warning? Is there a single nation which has committed serious atrocities and crimes against humanity than the US in this world? Kagame alitakiwa awe amekamatwa siku nyingi kwa kusaidia wauaji kama Nkunda na Ntaganda, lakini kwa undumilakuwili wa US ataendelea kudunda.
Mimi sina tatizo naye binafsi nisicho taka ni hizi vurugu zake za kupanga hili nchi jirani isitawalike kwa manufaa yake na wanyamlenge wenzake, hasifanye dunia haijuhi mbinu zake hizo za kutaka kumega kipande cha nchi jirani, asije akajidanganya kwamba anaweza kufanikiwa katika hilo (anaweza ku-fool some of the people....), hasipo kuwa makini katika matendo yake atajikuta anakuwa mkimbizi kwa mara ya pili katika nchi ya Uganda, mara hii itakuwa ndio moja kwa moja.
Nchini kwake mwenyewe amefanya mazuri na mabayal. Hivi kwanini watu hawasemi the terrible terror Rwandese live in when it comes to freedom of speech? umeona wapi nchi haina upinzani? nchi haina "next generation of leaders"?Tofauti na vurugu nyingi Africa ambazo huwa na mkono wa nchi za magharibi, matatizo ya DRC yana mkorogo mbaya sana toka kwa nchi za Africa. Kagame amefanya mambo mengi mazuri kwa nchi yake ya Rwanda, lakini there is a very dark side ya huyu kiongozi. Pamoja na kujawa na unafiki, nchi za Magharibi ziko sahihi kwenye hili la kuchukua hatua ili walau watu wa Kivu wapumue. Wameteseka sana.
Nchini kwake mwenyewe amefanya mazuri na mabayal. Hivi kwanini watu hawasemi the terrible terror Rwandese live in when it comes to freedom of speech? umeona wapi nchi haina upinzani? nchi haina "next generation of leaders"?
Isitoshi, all private contractors in charge of nhational reconstrucion belong to his wife and sibblings or they have shares in it: Ufisadi! Ujenzi wa arabara, they have shares in it. kiwanda cha makaratasi (baada ya kukataza plastic bags kiwanda kimija tu kilipewa ukiritimba), he has shares in it. matofari, mbegu za n'gombe, alol have one firm with monopoly, na familia yake haikosi shares. kweli wanyarwanda wamaona hali yao ikibadilika ila pia kuna ufisadi, kuna human right abuse na the entire system is not sustainable. alijenga juu ya mmchanga, akitoka kila kitu chini!
Mind you ameunda mahakama ya Gacaca to deal with the "tutsi genocide" ila halina ruhusa ya kudeal na Hutu mass massacre. hadi sasa haijaitwa genocide despite the fact that the number of hutu who died during the war is almost the same, and the number of hutu who were killed in the DRC makes it double. Unadhani wahutu wanalichukuliaje hili? kweli wanashukuru kwa kua nchi imeendelea kiuchumi, umaskini umepungua na Rwanda imepata sifa nzuri kimataifa ila vitu vidogo vidogo kama hivi vinaziwia makovu kupona. Kumbuka FDLR bado wapo next door na wanasubiri the first sign of defaillance kurudi. nani atawaziwia? Congo? They can come back anytime, they just fear for their legitimacy ila wakipata support from inside ile nchi inarudi vitani. Ndio maana the Rwandan government has resisted their repatriation by all means.Nakubaliana na wewe. Amefanya mambo mengi mazuri na nchi imepiga hatua. Lakini kama ulivyosema amejenga juu ya mchanga. Kuna strong odour of uncertainty when it comes to post-Kagame question. And most worringly, section ya jamii inatembea na nyongo kali ambayo inaweza kutemwa kwa gharama kubwa!
Mind you ameunda mahakama ya Gacaca to deal with the "tutsi genocide" ila halina ruhusa ya kudeal na Hutu mass massacre. hadi sasa haijaitwa genocide despite the fact that the number of hutu who died during the war is almost the same, and the number of hutu who were killed in the DRC makes it double. Unadhani wahutu wanalichukuliaje hili? kweli wanashukuru kwa kua nchi imeendelea kiuchumi, umaskini umepungua na Rwanda imepata sifa nzuri kimataifa ila vitu vidogo vidogo kama hivi vinaziwia makovu kupona. Kumbuka FDLR bado wapo next door na wanasubiri the first sign of defaillance kurudi. nani atawaziwia? Congo? They can come back anytime, they just fear for their legitimacy ila wakipata support from inside ile nchi inarudi vitani. Ndio maana the Rwandan government has resisted their repatriation by all means.
Tofauti na vurugu nyingi Africa ambazo huwa na mkono wa nchi za magharibi, matatizo ya DRC yana mkorogo mbaya sana toka kwa nchi za Africa. Kagame amefanya mambo mengi mazuri kwa nchi yake ya Rwanda, lakini there is a very dark side ya huyu kiongozi. Pamoja na kujawa na unafiki, nchi za Magharibi ziko sahihi kwenye hili la kuchukua hatua ili walau watu wa Kivu wapumue. Wameteseka sana.
(Reuters) -
The Netherlands has suspended 5 million euros ($6.15 million) in aid to Rwanda over its reported support for rebels in Congo, a spokeswoman said on Thursday, hours after Kigali said a similar move by the United States was regrettable and would be proved wrong.
The Dutch reaction to a report from United Nations experts saying Kigali was backing insurgents in the east of the Democratic Republic of Congo follows Washington's $200,000 cut in military aid at the weekend.........
crimes charges.
Mkubwa kweli kabisa because the guy na wenzake hawatamani tu CONGO ila hata nchi kama Tanzania ambayo inautajiri mkubwa ndo maana hata kwenye EAC wanapush sisi tu-sign nao mikataba ya ardhi,so if the VIGILANTE ANARCHY LOVER is done with CONGO and gets to rebuild his army interms of technological advancement,man power,equipment and expenditure the RICHEST COUNTRY in Central and Eastern Africa will be the next and which is the richest state in Central and Eastern?its simply Tanzania,leo tumezungukwa na maadui wengi tu ila hatujui na kwa bahati mbaya kagame hawezi kuja direct hapa kwetu kwasababu kuna viongozi wana tabia kama zake,maybe even worse we all know what our government is capable of doing to its enemies,nirudi kwenye maada KAGAME IS DANGEROUS THOU PEOPLE SAY HE'S COURAGEOUS,I DON'T THINK THAT'S COURAGE!IT'S BRUTALITY BECAUSE COURAGE PRESERVES HUMAN DIGNITY AND NOT ELSE!I JUST HOPE THE GUY ROTS IN HELL.Jamani mbona wanangu wengine wanaanza kuongea lugha za ajabu ajabu bila kujua kuwa JF ni si forum ya kikabila? Kagame ameanza ku-goof na kupanic baada ya janja yake kugundulika. Bahati mbaya sana watawala wetu huwa hawana ubongo wa kujifunza. Angejua kuwa hata Saddam Hussein, Osama bin Laden, Hosni Mubarak, Idd Amin, Joseph Desire Mobutu na wengine walitengenezwa na Marekani na kuwateketeza au kuwatelekeza baada ya kuwa wamefanikiwa malengo yao. Mfano wa karibu ni bazazi Charles Taylor na Manuel Antonio Noriega wanaoozea magerezani baada ya kugeukwa na mabwana zao. Kagame alianzisha Genocide akapata madaraka akasahau kuwa ile damu itamuandama. Sasa kumekucha anaanza kulalamika. Angejua wamarekani wana maslahi ya kudumu lakini rafiki au nyumba ndogo ya kudumu asingewaamini. Hata hivyo angefanya nini kukwepa kunyea debe baada ya genocide? Nenda Kagame ukale ugali na Taylor, Laurent Gbagbo na maimla wenzako.