Rwanda's First Domestic Mobile Phone Factory

deny_all

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
431
30
Rwanda's First Domestic Mobile Phone Factory

The first mobile phone to be manufactured in Rwanda has been shown off to the public by the company. The Alira handset will sell locally for RWF19,900 (US$37) before any deals from the local operators.



The handset is the first off the line from a joint venture set up last year between the Rwanda Information Technology Authority and the Chinese firm, Chinalink Digital and Technology.

The company says that it has two more model under development - but production is limited to a maximum of 700 units per day.

In a promotional statement, the company said "Rwanda's position as the region's Information and Communication hub has been vindicated by the first mobile phone manufacturing plant in the south of the Sahara."

The company expects to seek export markets shortly.

Posted to the site on 1st September 2008

Source: Cellular News


Tanzania itaendelea kuwa wachuuzi wa bidhaa za wengine mpaka lini? .....Nchi inahitaji visionary leaders now. Rwanda miaka michache iliyopita tulikuwa tunawacheka kwa kuuana lakini kiuchumi muda si mrefu wanaweza kuwa mbali sisi tutabakia na amani tusiyoweza kuitumia kwa manufaa yetu kichumi.
 
Rwanda has strategic intentions to become the ICT hub for Africa. I believe a lot more would be revealed in the next 2 years. Good on them!!

Siye tumeshindwa hata ku-convince investors kuprocess udongo wa dhahabu hapa nyumbani. Badala yake tunapeleka udongo huo nje ya nchi.
 
Kagame ni mmoja wa marais wachache katika afrika mwenye mapenzi ya dhati kwa nchi yake.Ni mtu ambaye anapokea ushauri wa wataalamu wa fani mbali mbali na kuufanyia kazi kwa manufaa ya wananchi wake.Anachukia ufisadi kwa matendo! Wakati mwingine huwa najikuta naamini kwamba JK angeweza kuwa kama Kagame kama asingezungukwa na maswahiba wenye tamaa.Wanamfanya ashindwe kutimiza ndoto zake za kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.

Anahitaji ujasiri wa Kagame kuweza kupunguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya kawaida ya serikali na kuongeza budget kwenye matumizi ya maendeleo huku akiendelea kupiga mizinga kwa wafadhili kwaajili ya miradi mingine ya maendeleo. Ni kwa kubana au kuondokana na matumizi yasiyo ya lazima katika idara na wizara za serikali yetu ndiyo yatakoyopelekea kufikia malengo ya milenia bila hivyo kila tunachokipanga katika nchi hii kitakuwa hadithi!
 
Back
Top Bottom