Sisi wanaume wa TZ soko letu linazidi kupanda siku hadi siku na kasi ya kivuka mipaka na kuoa nje inaongezeke..lakini nyie?
Si wale vikongwe wanaotafuta pa kutumia hela zao africanisha ana BF mjerumani
Kizee kile, afu wazee tuu ndo wanaoa wadada wa kibongonisha ana BF mjerumani
Watafute kitonga sio waume, kitaa njaa...sahv wanaume nao wanataka kudanga, sasa kuviziana nani amdamge mwenzie ndo tunatafuta masoko ya kimataifawaacheni watafute waume nje ya mipaka ya TZ
Handsome wengi huwa mchelemcheleeWapenda mahandsome mnaitwa
Handsome wengi huwa mchelemchelee
Wewe na wanao kuzunguka ndiyo wenye kasoro na walemavu haswa!Kwani sisi sio ma HB
Afu demu wa bongo ni bongo tu haez kua na mwanaume wa nchi nyingine
Dada zetu wanakasoro nyingi sisi tu ndio tunaweza kuwavumilia