Rwandan 'Assassins' kill Newsreporter Jean Leonard Rugambage

Rwandan 'Assassins' kill Newsreporter Jean Leonard Rugambage

Siku za Kagame kuendelea kutawala Rwanda zinaanza kuhesabika. Kama ameanza ku-fall out na wapiganaji wenzake wa RPF, hiyo ni dalili mbaya sana maana hao wanajua mambo mengi sana ndani ya serikali na hata njia walizotumia kuunda RPF na hatimaye kuja kuanzisha vita ambayo iliwapeleka madarakani.

Mpaka sasa Kagame na Mseveni haziivi na hakuna anayetoa sababu za kueleweka. RPF iliundwa kwa msaada wa Mseveni na walianza kupigana wakitokea Uganda. Hii migogoro ya chini chini inayoendelea inazidi kum-expose Kagame ndani na nje ya Rwanda.

Hata kama Rais ana-deliver in terms of kukua kwa uchumi, anatakiwa kuwa amechaguliwa kihalali na pia ahakikishe demokrasia ya kweli iko ndani ya nchi yake. Kwa nchi yenye historia ya machafuko kama Rwanda, siwezi kushangaa nikisikia wahutu wameingia msituni na kuanzisha vita kwa kutumia machete na silaha nyinginezo za asili. Nina uhakika wahutu wakiingia mstuni wanaweza kupata support kubwa sana ya watusi ambao wamechoshwa na ukandamizaji wa Kagame na hayo yanayoendelea kutokea ndani ya nchi.

Ukiangalia picha ya mwandishi wa habari ni mtutsi, lazima kutakuwa na watutsi wenzake ambao hawajafurahishwa na hayo mauaji ikiwa ni pamoja na watutsi wengine waliokimbilia nje ya nchi kuomba hifadhi ya kisiasa.
 
Duh... swali zuri hili!!!! lakini sidhani kama JF imefikia hatua ya kuchafua amani.... miminaona JF iko balanced na kuna fair arguments and discussions across the board

Umesoma article aliyoandika huyo jamaa alieuawa? mbona ilikuwa ya kawaida tu..

Jamani JF members mlioko Kigali can you still access the site?
 
Umesoma article aliyoandika huyo jamaa alieuawa? mbona ilikuwa ya kawaida tu..

Jamani JF members mlioko Kigali can you still access the site?

Inawezekana ilikuwa ya kawaida lakini pia inategemea baada ya kuonywa ali'respond vp. Nadhani ndio kilicho mgharimu.
 
Kitu cha ajabu ni viongozi wetu kutosema kweli kwa sababu marais wote east africa wanajua njama za kuigawanya DRC lakini hutamsikia hata mmoja akitamka hayo.
 
Nilikua nachanganya kiinglishi na kiswahili mkuu...samahani....:biggrin1:

Mbona shwari tu hujakosea kitu, nilimaanisha kuwa hakuna wapinzani wa kweli ndani ya RW, wapinzani wote wameshaikimbia nchi
 
Mbona shwari tu hujakosea kitu, nilimaanisha kuwa hakuna wapinzani wa kweli ndani ya RW, wapinzani wote wameshaikimbia nchi

Got you bro.

Opposition ya Rwanda iko based in foreign countries na tatizo linakuja pale ambapo
serikali ya huyu bwana inapoanza kuhusisha kabila f'lani au au ukoo flani na opposition .
Yaani unakua 'guilty by association' na kujitetea inakua ngumu kweli.

Kuna watu wanamtetea Kagame but to me I believe with deep conviction that the
man got blood on his hands. 'Penye moshi pana moto' ndivyo wahenga walivyosema.
These killings are too many and the arbitrary arrests show that he cannot stand criticism.
Anatumia kigezo cha incitement na genocide as a smoke screen to his dealings.

Soma hii article mkuu... allAfrica.com: Rwanda: Opposition Leader Held, Journalist Shot

Mungu isaidie Rwanda!
 
Nilifahamu yatakuwa haya muda si mrefu. Niliposikia kuwa Rwanda wanafanya vizuri ki-uchumi basi nikafahamu kuwa yataanza maneno sasa hivi. Warusi walishambuliwa sana na hasa Putin kwa ubabe wake. Ila ki-KGB kile kiliwawekea ngumu na ubavu wa Russia ukamsaidia. Vinginevyo, ninaamini kabisa kuwa Putin angelikuwa ameshauliwa au kukamatwa na kupelekwa sijui wapi kwenye mahakama zao.......

Kuna kitu kinachoendelea kati ya Museven na Rwanda. Hawa watu kwa mtu usiyeifahamu hasa siasa ya Uganda/Rwanda basi unaweza kusema kuwa fulani hana hatia, fulani kaonewa, fulani hivi. Nafikiri kuna kimchezo kichafu kinaendelea hapa kati ya Uganda-Rwanda-West. Tutakuwa tunafanya makosa yaleyale kusikiliza media za upande mmoja na kumhukumu Kagame. Wamekaa kimya juu ya Museven kwa sababu tu anawasaidia. Walikaa kimya juu ya viongozi wengi tu kwa sababu tu wako kwao. Ukijaribu kuwatenga basi wataamua kukupaka matope wee hadi uonekane mbaya kabisa.

Hawa watu wa west leo hii wakikosana na Kikwete, watampaka matope hadi aonekane hafai kabisa. Kumbukeni maneno ya Nyerere juu ya Malecela kuwa jamaa ni MUHUNI. Je, leo hii uhuni wa Malecela na uhuni wa Mkapa, upi una nafuu? Mtoto wake Mkapa akaja kuuza nchi yake Nyerere. Tuliletewa Mwinyi na akampamba hadi tukamchagua kwa kura nyingi tu. Mwisho, mwenyewe akasimama na kusema hafai.
MWaka 2005 tulimchagua Kikwete kwa kura nyingi tu. Leo hii sidhani kama atachaguliwa kwa kura nyingi kiasi hicho ila basi kwa sababu media zinampamba, kuna wengi watamchagua. Kama akifufuka leo Nyerere na kusema mabaya ya Kikwete (wote tunayafahamu) na kuonyesha jinsi ambavyo hafai kuchaguliwa tena na kwa sababu ni Nyerere basi media zote zitaandika hiyo habari, basi unaweza kukuta Kikwete hachaguliwi kuwa Rais.

Binadamu tunakuwa wepesi sana kusikiliza maelezo ya upande mmoja na kuamini kuwa the best option ni KUMUONDOA KAGAME. Kama aliondolewa Habyarimana na wakafa watu milioni moja, sasa akiondolewa Kagame, watakufa wangapi? Au hilo hatujiulizi na tunaanza tu kushabikia ugomvi wa Kagame na Museven (with West). Kwangu mie huyu Kagame alikuwepo hapo siku nyingi tu akiuwa watu na hajaanza leo. Ila kwa sababu alikuwa akiwasaidia West, hakuna aliyeliona hilo. Leo hii ndiyo wanaliona.

Kama Rwanda inasonga mbele, ni HERI wachache wafe na Demokrasia pia ife ili WENGI wafaidike. Kama uchumi na hali ya Rwanda inapendeza basi na iwe hivyo. Hawa wenye uchu wa madaraka wakitaka kupambana na Kagame acha wafe tu. Na mie tangu niangalia film ya Mganda fulani aliyekimbilia Sweden akilalamika kuteswa na Museven, sina hamu tena na hawa watu. Jamaa alisaidia hasi familia yake ikaja Sweden kutoka Tanzania. Wamekaa pale siku moja jamaa kapotea. Wameenda kumtafuta Kampala, anawapigia simu kuwa anawaona wanakunywa kahawa sehemu fulani na kuwa wasimfuatefuate. Waandishi wa habari wa Sweden wakasema "tutananawa mikono na siasa na Uganda..." Kwangu mie na mabaya ya Kagame, bado naona ndiye mtu anayewafaa wale watu. Angelitufaa hata sisi Watanzania maana walau hawa mafisadi na hasa wale wanaotoka karibu na Rais (urafiki wao haukuanzia barabarani) basi wangelikuwa wameshapigwa risasi.
Apple_logo_Think_Different.png

THINK DIF
 
Kagame kishajiharibia na si ajabu umwagaji mkubwa wa damu ukatokea tena huko Rwanda na yeye sidhani kama ana maisha marefu. Ukishaamua kupambana na wapinzani wako kwa kuwaua basi na wao watapanga mikakati ya kukumaliza pia. Rwanda si shwari tena, Watanzania mlioko huko fanyeni juu chini muondoke kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Nilifahamu yatakuwa haya muda si mrefu. Niliposikia kuwa Rwanda wanafanya vizuri ki-uchumi basi nikafahamu kuwa yataanza maneno sasa hivi. Warusi walishambuliwa sana na hasa Putin kwa ubabe wake. Ila ki-KGB kile kiliwawekea ngumu na ubavu wa Russia ukamsaidia. Vinginevyo, ninaamini kabisa kuwa Putin angelikuwa ameshauliwa au kukamatwa na kupelekwa sijui wapi kwenye mahakama zao.......

Kuna kitu kinachoendelea kati ya Museven na Rwanda. Hawa watu kwa mtu usiyeifahamu hasa siasa ya Uganda/Rwanda basi unaweza kusema kuwa fulani hana hatia, fulani kaonewa, fulani hivi. Nafikiri kuna kimchezo kichafu kinaendelea hapa kati ya Uganda-Rwanda-West. Tutakuwa tunafanya makosa yaleyale kusikiliza media za upande mmoja na kumhukumu Kagame. Wamekaa kimya juu ya Museven kwa sababu tu anawasaidia. Walikaa kimya juu ya viongozi wengi tu kwa sababu tu wako kwao. Ukijaribu kuwatenga basi wataamua kukupaka matope wee hadi uonekane mbaya kabisa.

Hawa watu wa west leo hii wakikosana na Kikwete, watampaka matope hadi aonekane hafai kabisa. Kumbukeni maneno ya Nyerere juu ya Malecela kuwa jamaa ni MUHUNI. Je, leo hii uhuni wa Malecela na uhuni wa Mkapa, upi una nafuu? Mtoto wake Mkapa akaja kuuza nchi yake Nyerere. Tuliletewa Mwinyi na akampamba hadi tukamchagua kwa kura nyingi tu. Mwisho, mwenyewe akasimama na kusema hafai.
MWaka 2005 tulimchagua Kikwete kwa kura nyingi tu. Leo hii sidhani kama atachaguliwa kwa kura nyingi kiasi hicho ila basi kwa sababu media zinampamba, kuna wengi watamchagua. Kama akifufuka leo Nyerere na kusema mabaya ya Kikwete (wote tunayafahamu) na kuonyesha jinsi ambavyo hafai kuchaguliwa tena na kwa sababu ni Nyerere basi media zote zitaandika hiyo habari, basi unaweza kukuta Kikwete hachaguliwi kuwa Rais.

Binadamu tunakuwa wepesi sana kusikiliza maelezo ya upande mmoja na kuamini kuwa the best option ni KUMUONDOA KAGAME. Kama aliondolewa Habyarimana na wakafa watu milioni moja, sasa akiondolewa Kagame, watakufa wangapi? Au hilo hatujiulizi na tunaanza tu kushabikia ugomvi wa Kagame na Museven (with West). Kwangu mie huyu Kagame alikuwepo hapo siku nyingi tu akiuwa watu na hajaanza leo. Ila kwa sababu alikuwa akiwasaidia West, hakuna aliyeliona hilo. Leo hii ndiyo wanaliona.

Kama Rwanda inasonga mbele, ni HERI wachache wafe na Demokrasia pia ife ili WENGI wafaidike. Kama uchumi na hali ya Rwanda inapendeza basi na iwe hivyo. Hawa wenye uchu wa madaraka wakitaka kupambana na Kagame acha wafe tu. Na mie tangu niangalia film ya Mganda fulani aliyekimbilia Sweden akilalamika kuteswa na Museven, sina hamu tena na hawa watu. Jamaa alisaidia hasi familia yake ikaja Sweden kutoka Tanzania. Wamekaa pale siku moja jamaa kapotea. Wameenda kumtafuta Kampala, anawapigia simu kuwa anawaona wanakunywa kahawa sehemu fulani na kuwa wasimfuatefuate. Waandishi wa habari wa Sweden wakasema "tutananawa mikono na siasa na Uganda..." Kwangu mie na mabaya ya Kagame, bado naona ndiye mtu anayewafaa wale watu. Angelitufaa hata sisi Watanzania maana walau hawa mafisadi na hasa wale wanaotoka karibu na Rais (urafiki wao haukuanzia barabarani) basi wangelikuwa wameshapigwa risasi.
Apple_logo_Think_Different.png

THINK DIF

Kwa hiyo ni sawa tu kuua kila mtu mwenye mawazo tofauti na yakwako hata waandishi wa habari?. Kama unapenda kiongozi mwenye staili ya Kagame kwanini unampigia debe Dr. Slaa?:whistle:
 
Kikombe kisafi ni kile kiko safi ndani na si nje. Ukiangalia maneno yangu kwa nje basi ni kweli yana walakini Mkubwa.

Inabidi uyachungulie kwa ndani ndipo utafahamu ni nini kinaendelea.

Kwenye vita ya pili ya dunia, Waingereza wali-practice hii kitu kwa kutuma marubani 7 kama sikosei na ndege za kijeshi zikiwa zimepakwa rangi ya jeshi la German. Kisa tu ni kwamba, wafahamu je, USA iko upande upi? Guess what? Watoto wa watu walipopolewa kama ndege kwani USA ilifikiri imeshambuliwa na German. Hapo Waingereza wakafahamu kuwa USA iko na sisi.........

Siasa ni ngumu sana na hasa kama unataka kuwatumikia ki kweli watu wako. Tanzania tuna Marais ambao wapo kuwatumikia RAFIKI zako. Are you happy with Tanzania now?? Dr. Slaa, unafahamu kama huwa anatetea RAFIKI zake wabovu? Pia kumbuka kuwa Tanzania na Rwanda ni ngoma tofauti. Kwa hali tunayokwenda Tanzania, sintashangaa kuwa siku moja tukafikia huko maana uchumi wa nchi unaposhikwa na wachache, yanatokea hayohayo.

Namaliza kwa kurudia tena "Kama Kagame anafanya kazi nzuri kwa Wanyarwanda wengi, basi acha aendelee......."

Ahaa nimekuelewa mkuu tumwache tu aendelee na kazi yake safi, yetu sisi ni macho na masikio.....
 
Ahaa nimekuelewa mkuu tumwache tu aendelee na kazi yake safi, yetu sisi ni macho na masikio.....

Huyo Sikonge mie hata nimeshindwa kumuelewa maana nashangaa anapasisha mauaji ya watu ilimradi
'wengi wafaidike'. Hao wengi sijui ni kina nani. Sijui pia kama wangekua jamaa zake wa karibu kama ndugu
na dada angetoa kauli kama hio?

Meanwhile kuna hii:

Rwanda's Hutus live in fear of attacks, repression​

By GODFREY OLUKYA and JASON STRAZIUSO,
Associated Press Writers – Tue Jun 29, 5:14 pm ET

KAMPALA, Uganda – The Rwandan refugee was walking home one night when four men jumped him and put him in a stranglehold. He lay still, pretending to be dead as one attacker made a phone call and announced the hit had been carried out.

With his assailants just yards away, Mani Uwimana jumped up and fled, startling the attackers and becoming a survivor of what appears to be an assassination campaign targeting Rwandan dissidents at home and abroad.

International human rights groups have condemned Rwanda in recent weeks for clamping down on dissent, curbing freedoms and silencing opponents in advance of the country's August presidential election.

Among the apparent victims was a former senior Rwandan military commander who had a falling out with President Paul Kagame. Lt. Gen. Faustin Kayumba Nyamwasa was shot in the stomach outside his home in South Africa, and his wife blamed Kagame — an accusation the president denied. Nyamwasa survived the June 19 shooting.

A human rights report released this week said Rwanda's Tutsi-led government is oppressing Hutus in neighboring Uganda and the ethnic divisions that sparked Rwanda's 1994 Genocide have re-emerged. At least 500,000 ethnic Tutsis and moderate Hutus were killed in the Hutu-led slaughter — violence that ended when a Tutsi-dominated militia headed by Kagame entered the country, causing droves of Hutus to flee.

Rwanda's government has denied involvement in the recent attacks. Kagame, who is running for a second seven-year term, bristled at a news conference Monday over the allegations of repression and said the country is not experiencing any ethnic tension.

Uwimana, a Hutu who fled Rwanda two years ago, says he caught the attention of Rwandan authorities after criticizing them over human rights abuses .

On May 15, the 27-year-old said he was walking home from the roadside kiosk he operates selling soap and other toiletries outside Uganda's capital, when he was jumped by four men who wrestled him to the ground.

"They squeezed my neck attempting to strangle me. I pretended that I was dead," he said. "They moved a short distance from me and one of them made a phone call."

Speaking in Rwanda's Kinyarwanda language, the attacker reported that Uwimana was dead, and "they should send a vehicle to take away my dead body."

That's when Uwimana jumped up and ran for his life.

Other Hutu Rwandan refugees in Uganda say they live in fear of Kagame's Tutsi-led government.

"Our lives are in danger," said Hope Semukanya, one of some 18,000 Rwandans who live in Uganda. "We fear that we can be killed anytime by Rwandan spies."

Police in Uganda told The Associated Press on Tuesday that the editor of an opposition Rwandan newspaper escaped an attack last week on the outskirts of the Ugandan capital, Kampala.

Uganda police spokeswoman Judith Nabakooba said police officers rescued Jean-Bosco Gasasira, who is now reportedly in hiding.

Six men confronted Gasasira, editor of the opposition Umuvugizi newspaper, on June 22, according to Timothy Mugabi, a friend of the victim. Gasasira ran to his house and called police, Mugabi said.

Rwanda's ambassador to Uganda, Maj. Gen. Frank Mugambage, said it is "nonsense" to believe Rwandan authorities were behind the assault.

Two days after the attack on Gasasira, the deputy editor of Umuvugizi, Jean-Leonard Rugambage, was shot dead in Rwanda's capital, Kigali.

Kagame said Monday he has ordered Rwanda's police, intelligence agents and army to find the journalist's killers. "We will not rest until we get to the bottom of this and make it clear to everyone," he said.

Though Kagame faces little real opposition in the August election,Carina Tertsakian , a researcher at Human Rights Watch who specializes in Rwanda, said she believes it is possible the government was behind Rugambage's slaying.

In a report released Monday, the International Refugee Rights Initiative and the Refugee Law Project said Rwanda is using the legacy of the genocide to repress Hutus. Refugees in Uganda are afraid to return home and some reported that Rwandan authorities were torturing, imprisoning and even killing Hutus, the report said.

"This situation threatens to shatter Rwanda's outward peace and prosperity as the cycles of violence based on ethnicity continue, it said.

Mugambage, the ambassador, dismissed the report as "hopeless and fabricated." He said the research is not credible and is based on only a few interviews. The reports' authors say they interviewed 102 refugees.
___
Rwanda's Hutus live in fear of attacks, repression - Yahoo! News
 
Wataendelea kukataa mpaka lini? yale mauaji ya kimbari ya '94 yalianza hivi hivi ..kwani hivi hawa watu hawawezi kukaa pamoja bila mikwaruzano kweli?
 
Back
Top Bottom