RwandAir Bankrupting Rwanda

Ndege kwetu sisi ni hasara.hi biashara waachie mashirika makubwa yenye uzoefu wa mda mwngi km ethiopia kenya sa emirates qatar sisi tuwape route tu na c vinginevyo.cku tukiwa nauwezo tutafanya hyo biashara kwasasa barabara za lami na reli ndyo ya muhimu.
 


Kwani kabla ya Bombardia TZ ilikuwa nchi tajiri? Au kama tusingenunua Ndege nini jingebadilika? Nijuavyo mimi watu wanalia hali ngumu tangu awamu ya Nyerere mpaka leo hii!
 
Nyinyi muna wivu tu, si lazima shirika la serikali lipate faida cha msingi ni Huduma nzuri za kizalendo.
 
sawa a good post with substantial warnings to Tanzania and Uganda.

Herebelow, I present my views on problems that face Airline Operators. There are 3 studied and documented operational issues:
1) Management decision problems on how to attract more loyal customers.
2) Marketing Research problems on how to identify the factors that influence loyalty of airline passengers.
3) Marketing Research objective on how to differentiate Wetjet from the competitions.

Exploratory research has revealed that the customer's choice of an airline is influenced by Safety, Ticket price, frequent flyer program, convenience of scheduling and Brand Name.

sawa, in your post you did not give us details on why RwandaAir has been draining government coffers.

However, for Tanzania with a great pontential in the Tourist Industry, if ATC can focus it based on the above operational issues, it could break-even.
 
Unahitaji kuifahamu biashara ya aviation ilivyo
Impact ya hiyo biashara inaonekana indirectly ndio maana licha ya mashirika mengi kuwa yanapata hasara lakini nchi zinaendelea kuzi-support[/QUOTE
KAMA NCHI GANI
 
Taarifa ya uongo hii, itakuwa ni ya wapinzani wa kagàme
 
Aliokutuma amefanya vizuri sana tatizo umekosea kuwasilisha ujumbe
 
Huyu Himbara alieleta huo uchambuzi sio wa kumuamini kirahirahisi. I personally know the guy.
 
Biashara ya usafiri wa anga inahitaji maarifa na mtaji wa kutosha sio kuwekeza ki sifasifa ama kibwegebwege,Namibia nao wameanguka vibaya na midege yao. Hata hivyo Rwanda sio sehemu nzuri TZ kujifunzia mambo yake I we kiuchumi,kisiasa,kijamii,kidini nk. Chamuhimu kila uwekezaji tunaotaka kuuingia ufanyiwe upembuzi yakinifu wakutosha kabla na sio MTU mmoja/kakikundi kawatu wachache kujitutumua utadhani a/wanajua kilakitu.
 
Unahitaji kuifahamu biashara ya aviation ilivyo
Impact ya hiyo biashara inaonekana indirectly ndio maana licha ya mashirika mengi kuwa yanapata hasara lakini nchi zinaendelea kuzi-support

Yep, kuna vitu vingine ni muhimu inabidi utoe huduma na siyo lazima kuangalia faida katika muda mfupi kama miaka miwili, mitano.

SGR, ujenzi wa barabara, hospital, shule, vyuo, madaraja, ferry, hivi vitu vinaweza kuchukua zaidi miaka 10 kutoa faida.

Muhimu ni kwamba hizo huduma ni muhimu kwa nchi husika au siyo muhimu. Mfano kama Ndege inasaidia kutoa matunda, maua, samaki, nyama haraka kutoka eneo moja kwenda lingine mfano, Tanga, Mtwara, Mwanza, Mbeya kuja Dar au kupeleka bidhaa zetu nchi jirani, huu unaweza kuwa uwekezaji wenye tija. Itasaidia wakulima kupata soko la uhakika, kuongeza ajira, kuongeza kipato.

Pia unaweza kutoa huduma na kupata faida. Inategemea na mipango. Hata ukileta Mashirika ya nje, kuna route nyingine hazina faida hawatakubali kwenda mpaka uwape subsidy na concession. Sasa si bora utumie kampuni yenu.
 
Kunakipindi kwenda Uganda,napanda ndege yao unanzia dsm,mnatua Kia,mnatoka Kia mnatua Kigali mnatoka Kigali ndio mnaenda Entebe kwa waliopenda safari ndefu walifurahi sana.
Ilikuwa poa sana wana vibia vyao vinaitwa Skol kama mnywaji mpaka kufika Entebe uko tungi
 
Unahitaji kuifahamu biashara ya aviation ilivyo
Impact ya hiyo biashara inaonekana indirectly ndio maana licha ya mashirika mengi kuwa yanapata hasara lakini nchi zinaendelea kuzi-support
Ungefafanua basi. Indirect nature ya hiyo impact ni nini. Otherwise, ni blaa blaa tu.
 
Hiyo Rwanda Air naona ni kama mgonjwa wa ICU, leo kaamka vizuri kidogo hadi amekunywa uji ila baada ya siku kadhaa anakuwa marehemu...!!!

Sio muda mrefu hilo shirika litatoboa mbeleko na litakufa. Kwa dunia ya sasa ilivyo nchi za dunia ya tatu ku-run biashara ya ndege ni kujidanganya tu.
Mashirika kama Qatar Airways, Air Emirates yameharibu hii biashara kwa kupokea ruzuku kubwa kutoka serikali zao.
 
hao wakubwa wenyewe wanapata hasara , eg kenya , ethiopia , SA mashirika yao ni hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…