Rwanda yawatimua raia wa Burundi

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
150508171604_burundi_refugees_640x360__nocredit.jpg

Maafisa nchini Burundi wanasema kwamba Rwanda imewafukuza zaidi ya raia elfu moja wa Burundi kutoka nchini humo katika kipindi cha wiki moja iliyopita, baada ya wao kukataa kuhamishiwa hadi katika kambi ya wakimbizi.

Afisa mmoja amesema kuwa wale ambao walikataa kwenda katika kambi ya wakimbizi, walinyanganywa mali yao na kisha wakafukuzwa.

Makumi kwa maelfu ya Warundi walikimbilia Rwanda tangu ghasia zilipoanza nchini mwao mwaka mmoja uliopita, kufuatia uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza wa kuwania Urais kwa muhula wa tatu kinyume na katiba.

Rwanda pia imewatimua Warundi ambao wameishi na kufanya kazi nchini humo kwa miaka mingi.

Chanzo: BBC
 
PAKA ameshamaliza kazi yake ya ku train mercenaries wa kuangusha Serikali ya Burundi, sasa anawarudusha nchini mwao aakamalize kazi, ngoja tusubiri tuone mtanange
 
Hiz ichi wangezigawa along Racial line..(Watusi-Rwanda ) (wahutu -Burundi..) kukaaa pamoja kutaendelea kuleta problems
 
PK ana hasira na taarifa ya UN kuwa anafadhili waasi wa Burundi.

Hivyo, kaamua kuwaondoa Warundi warudi kwao wakatatue shida zao na sio kumuingiza yeye.
 
150508171604_burundi_refugees_640x360__nocredit.jpg

Maafisa nchini Burundi wanasema kwamba Rwanda imewafukuza zaidi ya raia elfu moja wa Burundi kutoka nchini humo katika kipindi cha wiki moja iliyopita, baada ya wao kukataa kuhamishiwa hadi katika kambi ya wakimbizi.

Afisa mmoja amesema kuwa wale ambao walikataa kwenda katika kambi ya wakimbizi, walinyanganywa mali yao na kisha wakafukuzwa.

Makumi kwa maelfu ya Warundi walikimbilia Rwanda tangu ghasia zilipoanza nchini mwao mwaka mmoja uliopita, kufuatia uamuzi wa Rais Pierre Nkurunziza wa kuwania Urais kwa muhula wa tatu kinyume na katiba.

Rwanda pia imewatimua Warundi ambao wameishi na kufanya kazi nchini humo kwa miaka mingi.

Chanzo: BBC

Tena nailaumu sana na mno Rwanda kwa kuchelewa kuchukua haya maamuzi. Tena warudi upesi sana huko Kwao Burundi wapeleke ukatili wao huko huko na wasituambukize dhambi yao ya mauaji waliyotufanyia mwaka 1994. Mwenyezi Mungu atawalaani mno Wahutu na inabidi kila siku watubu tu dhambi yao ya kudumu kwa sisi Watutsi. Hatumtaki Mrundi ( Mhutu ) yoyote kwetu nchini Rwanda tafadhali watupishe tu. Kudos Rwanda, Rais wangu Paul Kagame na Wanyarwanda wote.
 
Mtusi ULIYETUKUKA wewe ni kati ya Members mnaonikosha sana hapa JF
 
Akhsante, shukurani, ubarikiwe na nimefurahi kama siyo kufarijika kwa hii post yako ukizingatia kwamba kukubalika na Member mmoja tu wa JF ni sawa na kukubalika na " Majiniasi " milioni tano ( 5 ) waliopo dunia nzima ambapo kati ya hao laki tatu ( 3 ) wapo humu JF ambao ni nyie members huku waliobaki milioni tatu na wapo nchini Israel ( Wayahudi ) na milioni moja na laki saba wapo nchini Rwanda ( Watutsi )
 
Utakufa kibudu we munyamurenge! Hizo hasira zako za kikabila ufe nazo hukohuko uliko, Mungu aiepushe dunia na ushetani wako.
 
Nae huyo arudi kwao Rwanda asituambukize virusi vya ubaguzi nchi yetu ya amani asilete hoja mfu
 
Duh hii ni aibu kubwa PAKA itabidi aombe msaada Tanzania imsafishe.
 
Amiri Jeshi Mstaafu Jakaya alipotimua Wanyarwanda baada ya uhusiano kuvurugika 2014 alilaumiwa sana na Nyumbu akiwemo Mkuu wao Mstaafu aliepo uhamishoni Canada lakin leo Kagame anaiga mbinu za Kimedani za Amiri Jeshi wetu. Hata wewe ukigombana na Jirani yako hatua ya kwanza ni kutimua watoto wake
 
Kanuni ni kwamba Wakimbizi duniani note lazima waishi kwenye kambi zao na hiyo ni baada ya kukidhi hadhi za kuwa Wakimbizi.
Wakimbizi kutoka Burundi wanatatizo la kutopenda kukaa kwenye Kambi. Kigoma wametapakaa sana na kwa bahati mbaya wengine wameingia na silaha zao na hawajazikabidhi. Hilo linafanya hali ya usalama huko Kigoma , Katavi , Rukwa, Kagera na Geita kuwa tete sana. Hali kama hiyo pia ilijitokeza huko Rwanda kwenye maeneo yanayopakana na Burundi. Kulikuwa na tetesi kuwa Warundi walikuwa kwenye Makambi wanapata mafunzo ya kijeshi kutoka serikali ya Rwanda. Kama ni kweli au la wangalizi kutoka UN watalisema. Ila kama Paul Kagema ameamua kuwarudisha Wakimbizi wa Burundi ambao wakaidi kuishi kwenye Kambi siyo kosa. Wakimbizi lazima waishi kwenye Makambi ili nyendo zao ziratibiwe. Haruhusiwe Wakimbizi kuzagaa kiholela kama wanafanya Kwa upande wa Tanzania. Historia inaonesha tawala za Rwanda na Burundi hazijawahi kuwa rafiki. Hivyo kuondoa kutoaminiana baina ya nchi hizo basi bora Wakimbizi wa Burundi ambao hawakukidhi hadhi ya ukimbizi warudi kwao.
 
Akhsante, shukurani, ubarikiwe na nimefurahi kama siyo kufarijika kwa hii post yako ukizingatia kwamba kukubalika na Member mmoja tu wa JF ni sawa na kukubalika na " Majiniasi " milioni tano ( 5 ) waliopo dunia nzima ambapo kati ya hao laki tatu ( 3 ) wapo humu JF ambao ni nyie members huku waliobaki milioni tatu na wapo nchini Israel ( Wayahudi ) na milioni moja na laki saba wapo nchini Rwanda ( Watutsi )
Huyo ndio GENTAMYCINE wa JF.sawa mtusi ULIYETUKUKA
 
Hiz ichi wangezigawa along Racial line..(Watusi-Rwanda ) (wahutu -Burundi..) kukaaa pamoja kutaendelea kuleta problems
Tazama vizuri history ya watu na si nchi, hujiulizi PAKA kaua watutsi wangapi? Kayumba nyamwasa anaishi na risasi mwilini kwa mpango wa nani?, wahutu? Col karegeya aliuliwa na wahtu? Dawa ni kuingiza roho ya utu ndani ya akina PAKA, Hata kama PAKA atabaki na uko wake tu ataua yeyote atakaye onesha kuwa threat kwa power na political superiority yake, ni blood suckers hawa.
 
Umezungumza/kuandika vizuri mno. Na huo ndio ukweli wenyewe!
 
Back
Top Bottom