Rwanda yajiunga rasmi na Jumuiya ya Madola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rwanda yajiunga rasmi na Jumuiya ya Madola

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Mar 10, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Rwanda yajiunga rasmi na Jumuiya ya Madola

  Bendera ya Rwanda inatarajiwa kupeperushwa kwa mara ya kwanza mjini London, katika makao makuu ya jumuiya ya madola.

  Rwanda ambayo ilikuwa koloni ya Ubelgiji, ilijiunga kama mwanachama wa hamsini na nne wa jumuiya hiyo ambayo hutumia kiingereza kama lugha rasmi Novemba mwaka uliopita.

  Waandamanaji wamesema watafanya wataandamana kulalamikia rekodi mbovu ya haki za kibinadam ya Rwanda.

  Lakini akiongea na BBC, waziri wa masuala ya nchi za kigeni wa Rwanda Louise Mushikiwabo amesema raia wenzake wa Rwanda wana haki zote wanazohitaji.
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  huyu mkuu naona anacheza na wafaransa,naona amesahau yaliyomkuta patrice lumumba.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mi nilifikiri nchi za Jumuiya ya Madola ni zile zilizo tawaliwa na Mwingereza tu!
   
 4. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Mkuu siku hizi imeingia kasumba big is good. Kila unachofanya lazima kiwe big ... ... lazima mzaliane muwe wengi kama Wachina au Wahindi, ukila lazima ule sana yaani chakula kingi sana, ukienda kijisaidia lazima unye mavi mengi sana basi tu anything big is good for you. Huoni hata EAC lazima iwe big hata na Afrika tuungane tuwe big kuwashinda USA kwa eneo. Think big ... .... ... hata EU wanaungana wana-think big.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sasa mbona nasikia tena bongo kuna wanasiasa wanataka kuvunja muungano? Au wao hawataki hiyo big is good!?
   
Loading...