Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
oyoeshefekenyaeda
Siyo km hizo ndg ni zile ndogo kabisa na teknolojia yake ni ya kawaida tu.Halafu si kweli kwamba ni za waRwanda bali ni waMarekani Rwanda yeye anawalipa kwa kila safari.Ifahamike Rwanda jografia ya nchi yao ni vigumu mno kufikika ki rahisi toka eneo A kuelekea eneo B.Milima na mabonde ni kikwazo kwao kuwafikia wagonjwa kwenye changamoto km hizo kwa kutumia usafiri wa gari.Kwa mfano,kuna kipande cha kati ya pori la hifadhi la Nyungwe keulekea vijiji vya upande wa kusini ni vigumu mno kufikika kwa usafiri wa gari.Acha wafanye hivyo ni hasa kwa sababu ya changamoto km hizo.Vijidege hivyo pia si km ambulance la hasha ni kwa kukupeleka damu tu iliyo ktk vikasha vya plastiki.
Hizo ndege kwa ajili ya KAZI gani? Vita vyao wahutu na watutsi?
Kagame na Kikwete[emoji106][emoji6] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hizo ndege kwa ajili ya KAZI gani? Vita vyao wahutu na watutsi?
alisema atamvizia kwenye kona amzabe vibaoKagame na Kikwete[emoji106][emoji6] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Km huelewi jambo ni vyema kukaa kimya tuWako smart hao kupita maelezo mkulu wetu lugha za kidiplomasia zilipita kushoto nguvu nyingi akili........................
Acha kupotosha.Kwanza si kweli kwamba Rwanda hivyo vijidenge ni vyao bali ni vya waMarekani.Pili si ndege kubwa km unavyofikiri ww ni vijidege vidogo vya kubebea kasha za plastiki zilizobeba damu (nazo hazizidi theluthi ya tani).Wanachofanya serikali ya Rwanda pitia wizara ya afya ya Rwanda ni kuwalipa hao 'waMarekani' nauli ya usafirishaji wa kasha hizo.Tambua,jiografia ya nchi ya Rwanda si rafiki ktk nyanja ya usafiri wa Barbara.Milima na mabonde ni kikwazo kikuu ktk nyanja hiyo.Kwa mfano,vijiji vilivyo kusini mwa pori tengefu la Nyungwe si rahisi kufikika kwa njia ya barabara.Pia,Toka Cimerwa kuelekea kusini karibu na mpaka wa Burundi pia changamoto km hizo ni kubwa.Ndiyo maana hao American's wakaona waitumie hiyo fursa kibiashara.Ambacho hutambui ww ni nauli yake ni sawa tu na kugharamikia ambulance kulingana na umbali husika.Wako smart hao kupita maelezo mkulu wetu lugha za kidiplomasia zilipita kushoto nguvu nyingi akili........................
Natambua.Ieleweke tu kwamba hizo si km zile drones za ki vita.Kingine wengi wa nataka kupotosha juu ya hilo na kutaka kuuaminisha umma kwamba pengine sisi hatuwezi.Mkuu technology ya drones sio ya kitoto
Natambua.Ieleweke tu kwamba hizo si km zile drones za ki vita.Kingine wengi wa nataka kupotosha juu ya hilo na kutaka kuuaminisha umma kwamba pengine sisi hatuwezi.
Mkuu nimekuelewapiga ua bongo hiwezi kuendelea, yaani watu wazima wanakaa kujadili maendeleo ya nchi nyingine na kushindwa kupanga ya kwao, mbaya zaidi wanawaponda hata hao wengine waliojitaidi tena kwa maneno makali na ya chuki, et sio zao, et hata azam wanao, et hizo sio drones, et ka nchi kadogo, hahahaahahahaaha looooh hii nchi sijui nani alieiroga? haya sie ni wajinga tushajikubari, acha walio serius waendelee kua serius, mpaka burundi, sudan kusini, somalia na wengine watakuja kutupita, tumekalia kujadili ya watu wengine na kuyapinga maendeleo yao while sisi kutwa kucha tunamjadili mwalim msigwa na scorpion mtoboa macho.
Hapa anajenga uwezo kwa kununua na mwisho wa siku ndie atakuwa mbabe kwa kulitawala anga lote la Afrika Mashariki na Kati. Kagame anataka kuitawala anga ya Afrika Mashariki na Kati.Hizo ndege kwa ajili ya KAZI gani? Vita vyao wahutu na watutsi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ole wao zifuke mpaka
Haipo japo kwenye picha za mleta mada ni vile vidogo zaid vya kusambazia damu/maeneo ya milimani ambapo ambulance haziwez kwendaNi ndege hipi kati ya hizo walizo nunua?