tatizo hawakuwepo mawaziri wenye uchungu na nchi boara sasa jembe mwakyembe alivyokuwepo ila wasiwasi wangu ni kwamba hapati support ya kutosha kutoka serikali kuu
kilichobaki tuangalie mbele yaliyopitwa si ndwele uganda na rwanda hatuwezi kuwarudiisha kwenye bandari yetu,hasa kwa uhusiano waliokuwa nao so tuangalie mahali pengine ambapo tunaweza kufanikiwa kuwawinMkuu tuko pamoja, ndio maana nikasema hatuna viongozi wenye uchungu na uchumi na nchi, wao wanajali matumbo yao na kujilimbikizia mali tu. Kama kungekuwa na viongozi makini na wanaojitahidi kama anavyofanya Mwakyembe, I believe hata hizo siasa za Uhuru zisingengefanikiwa. Sasa tumekumbuka shuka wakati kumekucha. Bandari ya Dar ni matatizo tupu.
Tiba
kisha mniambie kuwa EAC itarejea kwenye utengamano wake ! THUBUTU, upo mgogoro mkubwa unafukuta, na tusipokuwa waangalifu TUTAUMIA, tutafute marafiki wapya kusini mwa Afrika,
wasiwasi wangu wasije wakaunda millitary alliance tu hapo ndipo hali itakapokuwa mbaya
wasiwasi wangu wasije wakaunda millitary alliance tu hapo ndipo hali itakapokuwa mbaya
sasa kama mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya bajeti ni andrew chenge unategemea watu wako serious kweli na serikali hii?
Yaani ktk watu wote mzee wa vijisent ndio amepewa uenyekiti?
Kazi tunayo
sijakwambia kwamba naogopa vita nimesema point yangu ni kwammba formation of military aliance huwa zinaanza hivi hivi,by the way hatutarajii vita and i hope haitokuja kutokeaTatizo la watanzania kila saa ni kuogopa kuvamiwa kwa taarifa yako security nzuri dunia ya leo ni kuwa na uchumi imara, watu watakuogopa, hata pale kijijini kwenu mtu aliye na mali anaogopeka, hakuna kibaka kuingia ktk himaya ile the same at the level of a country.Tanzania jengeni uchumi hakuna atakayekuvamia.3Ks they are planning to be super power in the EA economy Tanzania hata katiba imetushinda kila kukicha CDM,majanga kweli
Jk katufikisha hapa?
Waende tu hatuwahitaji?
mbona hizo mbwe mbwe tu .... atake asitake bado nchi yake ni "land locked country-rwanda" atake asitake.