But he has altenatives, no?
Pia wapo baadhi wa Watanzania kutokana na ukiritimba kwenye bandari ya Dar wameamua kutumia bandari ya Mombasa kupitishia bidhaa zao na kisha kusafirisha kwa njia ya barabara kuja Tanzania.
Hata DRC wanaweza kuacha kutumia bandari ya Dar, maana baadhi ya wafanyabiasha wa huko wanalalamika kwa chini chini.
let them Go nothing to worry! kuendelea kulialia na RWANDA&UGANDA kutumia bandari yetu au lah kwetu ni changamoto lakini pia tujue kua ni muda mrefu hawakupenda kufanya hivyo ila kwa sasa ndo wamejidhiirisha roho zao zikoje! Tumshukuru Mungu kwakua na bahari cha msingi apa ndo iwe chachu ya kusimamia na kuanzisha vyanzo vya mapato vingine..leo tunalaumiana lakini tujiulize je nchi ambazo hazina BAHARI chumi zao zinaendeshwaje? Tuwekeje kwenye GAS na italipa tu acha watuondolee Jams na usumbufu
Binafsi napitisha mizigo yangu bandari ya Mombasa kupitia boder ya Holili na hili si kwangu bali kwa wafanyabiashara wengi wa kanda ya kaskazini Arusha,Kilimanjaro,Manyara...Wakati tunalilia Rwanda na Uganda kupitisha mizigo yao bandari ya Mombasa hatujiulizi ni kwanini watanzania wengi wanapitisha mizigo bandari ya Mombasa ?.
kwli ni land-locked if u really are learned huwezi argue hivo economically imekula kwetu...na ndo maana umeona bwana PK anatafuta mbadala kabla hakijanuka zaidi...politics is killing us
Nimesikia baadhi ya vyombo vya habari vikisema eti ni hujuma! Come on! Tumerogwa?!
Hii kitu lazima itakula kwetu.
Hao majirani walishaamua kutugawa tu tangia Kikwete atoe tamko la kukomesha mauaji yanayofanywa na M23 wakiongozwa na Rwanda na Uganda. Hayo mambo mengine wanashingizia tu, hata tungeliwaruhusu wapitishe hayo mafuta bure basi wasingepitisha!! Wameamua kututenga wakijua kwamba tutayumba kiuchumi, hilo wala lisitutishe jambo la kwanza ni kujitoa katika jumuiya yao ya kipuuzi (EAC), kuhimizana uzalendo na kuanza kupigania upya maendeleo ya uchumi wetu! Vyanzo vya mapato ni vingi mno, tunatakiwa kuwa wazalendo wa kweli kweli sasa kupigania nchi yetu na kuikomboa kutokana na hawa wakoloni waafrica! Kama wao wanatembeleana kwa kutumia ID sisi tutaanzisha mfumo wa VISA ambao kila atakaeingia nchini mwetu kutokea hayo mataifa matatu (RUK) alipie VISA!
Binafsi napitisha mizigo yangu bandari ya Mombasa kupitia boder ya Holili na hili si kwangu bali kwa wafanyabiashara wengi wa kanda ya kaskazini Arusha,Kilimanjaro,Manyara...Wakati tunalilia Rwanda na Uganda kupitisha mizigo yao bandari ya Mombasa hatujiulizi ni kwanini watanzania wengi wanapitisha mizigo bandari ya Mombasa ?.
Bado tutakuwa tuko na Malawi Zambia na DRC plus Burundi.
We can go bila kutegemea mizigo ya waganda ama wa rwanda, ali mradi banadri yetu iko pale na itaendelea kuwepo hata wakijitoa. madhumuni ya bandari yetu hasa ni kwa kwa ajili ya watanzania wenyewe, hatuwezi kubembeleza watu kama hawataki kufuata utaratibu wetu, hayo ndo mambo yaliyotokea katika madini. Kenya mara zote ndivyo walivyo sio watu wazuri kabisa mnakumbuka pia watalii wengi wanaokuja tanzania wanapitia kenya, cctv africa ya china iko nairobi lkn ukiitazama habari nyingi wanatangaza ni za kenya kwao tu. wataenda watarudi wenyewe.kwani hela ya rwanda na uganda ni sh ngapi mpaka tuwe na wasiwasi nayo?
Pamoja na hayo huyu anakuambia kuwa
Sijui na hao wakiondoka tutakuwa na akina nani kama hata Watanzania wanatumia bandari ya Mombasa?
Ni lazima tujiulize kwanini baadhi ya Watanzania bado wanatumia bandari ya Mombasa ikiwemo mimi mwenyewe wakati ya kwetu ipo?? Sijawahi kusikia wala kuona Wakenya wakitumia bandari yetu.
Jibu: Hii ni kwa sababu ya huduma mbovu zilizopo bandari ya Dar-es-salaam kama, ucheleweshaji wa kutoa mizigo, wizi, rushwa iliyo kithiri, ukiritimba, uzembe, ufisadi,longolongo na mengine mengi. I think we are not serious! This is a lesson to learn.. something needs to be done, else we are done.
Pamoja na hayo huyu anakuambia kuwa
Sijui na hao wakiondoka tutakuwa na akina nani kama hata Watanzania wanatumia bandari ya Mombasa?