Rwanda Tops Africa in Broadband Speed

  • Thread starter Kibanga Ampiga Mkoloni
  • Start date

Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
16,716
Points
2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
16,716 2,000
Rwanda has the fastest broadband Internet in Africa, according to latest statistics from Ookla's NetIndex, overtaking Ghana.
The latest broadband speed results, show that Rwanda currently has download speeds of up to 7.28 Mbps from 3.28 Mbps six months ago, emerging 65th the world. The country is followed by Libya with 5.12 Mbps and Ethiopia with 4.82 Mbps.
Ghana which ranked top with the fastest broadband speed in Africa in March 2012 has now dropped to the 4th position in the ranking with broadband download speeds of up to 4.42 Mbps, down from 5.14 Mbps about six months ago.
Speaking to The New Times yesterday, the Minister of Youth and ICT, Jean Philbert Nsengimana welcomed the development, although he said there is a lot more that Rwanda needs to do.
"This shows that our efforts are paying off although we still need to do more in the area of affordability of broadband.
"Rwanda's performance in broadband speed is a result of deliberate efforts of the government that invested in fibre optic rollout and purchase of capacity," said Nsengimana.
He added that part of the plan to make broadband affordable, is reducing the cost from US$700 Mbps to US$ 125 Mbps during peak hours and US$60 off peak.
Other African countries with the fastest broadband speeds include Kenya with 4.34 Mbps, currently ranked 5th in Africa, dropping from 2nd position six months ago; Morocco with 3.51 Mbps, ranked 8th in Africa; and South Africa with 3.31 Mbps, ranked 10th in Africa and 118th in the world.
According to the report, Hong Kong ranks number one in the world with 42.08 Mbps, followed by Japan with 37.13 Mbps and Lithuania in third position with 36.81 Mbps.
Nigeria ranks 13th in Africa and 138th in the world with broadband download speeds of 2.73 Mbps and remains the second West African country with the fastest broadband speed after Ghana.
Ookla is the global leader in broadband testing and web-based network diagnostic applications. Based on millions of recent test results from Speedtest.net, the NetIndex compares and ranks consumer download speeds around the globe.
Rwanda currently relies on three submarine fibre optic cable systems for Internet connection such as the East Africa Submarine Cable System (EASSY), The East African Marine Systems
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,000
I was thinking why not Tanzania, the this question came:Do we need super-information Highway while we still have plenty of super slow thinkers(Magambaz)?It like buying Lamborghini in bumpy roads with lots of traffics.
 
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
10,444
Points
2,000
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
10,444 2,000
Hapa Tanzania bado sana kwa broadband kufikia huko,kuna usanii mwingi sana wa ISP kuweka shared pool kwa users wengi sana,na kupelekea speed kuwa ya ajabu sana on peak time...labda uwe macho kama muda huu ndio uta enjoy full DL speed.
 
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
194
Points
195
Bejajunior

Bejajunior

Senior Member
Joined Sep 19, 2011
194 195
Kuna mambo tumekumbatia ambayo kimsingi hayana maana. Hapa tutafika ila utachukua muda sana.
 
L

Ludewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2009
Messages
215
Points
0
L

Ludewa

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2009
215 0
mie nimeipenda hii kauli ya kuwa, "Rwanda's performance in broadband speed is a result of deliberate efforts of the government."

wakati wenzetu wanafanya such deliberate efforts, sisi hapa Tz naibu waziri wetu yupo busy 'kupiga' picha kwenye bajaj.

Poo Tanzania. No deliberate efforts!!'
 
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
3,938
Points
1,195
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
3,938 1,195
Rwanda mawasiliano yao yanapita hapa Dar
 
Endangered

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
931
Points
195
Endangered

Endangered

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2011
931 195
Hapa Tanzania bado sana kwa broadband kufikia huko,kuna usanii mwingi sana wa ISP kuweka shared pool kwa users wengi sana,na kupelekea speed kuwa ya ajabu sana on peak time...labda uwe macho kama muda huu ndio uta enjoy full DL speed.
Hili naona nitatoa maoni kwenye tume ya katiba mpya, iwe haki ya msingi ya kila mwananchi ku-enjoy mkongo wa mawasiliano uliotandazwa along Tanzania ili tupate yanayoendelea kwa wakati muafaka, na si kusubiri mida ya kuwanga. :D
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
16,716
Points
2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
16,716 2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
16,716
Points
2,000
Kibanga Ampiga Mkoloni

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
16,716 2,000
Rwanda mawasiliano yao yanapita hapa Dar
Ni kweli kumbuka wana fiber ya 2,500KM ina maana hata hapa tukiwapa 100Mbps wao kijijini itafika hiyo hiyo au nusu ya hiyo so ukipiga average ni speed kubwa sana.
 
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,307
Points
2,000
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,307 2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,761
Points
2,000
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,761 2,000
RWANDA kila kitu wana achieve to the maximum,tanzania projects zipo ktk papers makabrasha
 
bigboi

bigboi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
597
Points
1,000
bigboi

bigboi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
597 1,000
ya tanzania we top in blablabla and ufisadi rwanda wanapiga hatua wanafunzi sasa wanapewa special laptop sisi huku wanacheza viduku yaan sijui tanzania tumelaaniwa labda tukifa kwa mungu kuna broadband ya blazing speed
 
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
865
Points
500
utakuja

utakuja

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
865 500
ahh ahsanteni kwakunisahihisha wakuu kwamba wanachukua average ya nchi yote ndio wanapata izo figures ...
lakini matter of size inamatter Rwanda kadogo mno ofcourse policies zitafanya vizuri hadi internet maana ya size ..embu fikiria ugumu wa kusambaza optic Tz yote
 
Endangered

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Messages
931
Points
195
Endangered

Endangered

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2011
931 195
RWANDA kila kitu wana achieve to the maximum,tanzania projects zipo ktk papers makabrasha
kama umesahau, basi nikukumbushe kuwa sisi ndo wazee wa feasibility study. Naamini tuko ndo the best katika hilo.
 
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
3,938
Points
1,195
chitambikwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
3,938 1,195
Ni kweli kumbuka wana fiber ya 2,500KM ina maana hata hapa tukiwapa 100Mbps wao kijijini itafika hiyo hiyo au nusu ya hiyo so ukipiga average ni speed kubwa sana.
Hiyo ni ngumu kuamini kwa sababu kama una sehemu ndogo ya utawala na kodi ni ndogo
 

Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,915
Top