jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Usiwasikilize wapiga debe hao.
Budget ya Tanzania inajitegemea kwa 70% na iko funded kwa 30%.
Budget ya Rwanda inajitegemea kwa 66% na iko funded kwa 34%.
Sasa hapo nani ni afadhari?
Mkuu correct me if iam wrong, budget yetu itategemea wahisani kwa 8% tu according to waziri.