So it is not wrong for Kagame to host Laurent Nkunda and M23 at his private home!
but jk is not kabila and m23 and nkunda are not fighting tanzania
When we talk of national interest, Kagame ni tatizo for our national interest. Usione tu Kenyatta ana-side na Kagame ukadhani kwamba Kenyatta ana mapenzi na Kagame, it's all about national interest, Kenyan interest! Achana na internal politics kwenye hili suala; Kagame ni tatizo regardless kama iliyo madarakani ni CCM, CHADEMA, CUF or whoever. Unapolinda mipaka ya nchi yako isn't all about "huyu hajanishambulia mimi" au "hajanichokoza mimi" it's all about studying the reckless behavior of a particular leader. Katika masuala ya usalama ni muhimu sana kuangalia tabia za jirani yako. From 1980 to 1988, Kuwait alimsaidia sana Saddam Hussein kifedha kwenye vita kati ya Iraq na Iran. Lakini miaka miwili tu baada ya kwisha vita ya Iran-Iraq, Saddam Hussein yuleyule aliyesaidiwa na Kuwait akaivamia nchi iliyomsaidia! Paul Kagame, ni aina ya viongozi sawa na Saddam Hussein.but jk is not kabila and m23 and nkunda are not fighting tanzania,naona jk baada ya kushindwa kuacha legacy yoyote anajaribu kutaka kumpindua kagame,..sipendi chokochoko hizi wakati tunakaribia kuitwa bankrupt nation.
Mbaya zaidi ni kwamba anatafuta pa kushikia wakati amefumba macho...kinachofuata hapo ni kugusa nyaya za umeme ambazo hazipo insulated huku zikiwa ni high voltage...
And to make it short, Tanzania ni taifa huru! Hakuna wa kutupangia nani aingie na nani asiingie nchini mwetu! Hakuna wa kutupangia nani tujadiliane nae na nani tusijadiliane ndani ya ardhi yetu! Kama kuna anayeona tatizo katika hilo; hiyo ni juu yake na sio juu yetu! Kama anaweza kupigana na apigane badala ya kulialia!It is stu.id as well as provocative to suggest that Tanzania is welcoming terrorists in the country. I may be not conversant with whether FDLR is designated as terror group.
If Tanzania hosted FDLR members there has to be a reason, a genuine one. But i do not believe that Rwanda can cry foul because Rwanda is itself doing so. If i am not mistaken there is a guy called General Rwarakabije, why is it a sin for Tanzania to host members of FDLR if Rwanda itself does the same?
You can never be a Catholic more than the Pope. Kama issue ndio hiyo basi waanze kulalamikiwa wanyarwanda wenyewe kwa kumkaribisha Rwarakabije, sisi hatuwezi kupambana na machinjachinja kuliko wanyarwanda wenyewe.
By the way huyu leo anayeitwa Paul Kagame tulimkaribisha mara ngapi wakati akiwa msituni? Vijana wetu wengi pale Shycom (japo watusi) walikwenda kujiunga na RPF. Inakuwaje iwe vizuri kumkaribsha yeye na sio wengine?
Au ndio unafiki.
Hilo mkuu wangu nalifahamu sana na hata humu jamvini kuna mtu nimemwambia hapo kabla kwamba Kagame isn't that fool hata afikirie kuanzisha vita na TZ! Nakubaliana na wewe, anataka kuhamisha attention ya watu na watu katu hatutahama. Tutajadili kila jambo at every right time.Mkuu Kagame akili anayo hawezi kuanzisha full war na bongo.. Anajua kitakachomkuta.. Sema anajaribu ku-create tension ili kuhamisha attention za watu kutoka yale mauaji anayowafanyia wapinzan wale kwenda kwa majiran zake.. Huyu jamaa ni janga aiseee..
Acha kuleta siasa za ndani kwenye masuala ya kitaifa wewe.Mkichokoza vita na Rwanda tutawapeleka mafisadi wote wa CCM pamoja na familia zao wakapigane hivyo vita,Tunachohitaji sasa hivi ni jinsi ya kulipunguza hili deni la taifa la shilingi trillioni 60,kupunguza tatizo la ajira,kupunguza mfumuko wa bei,kupunguza gharama za maisha kwa kufuta kodi na tozo za kipuuzi kwa watu binafsi,kwa wazalishaji na wafanyabiashara au kupunguza viwango vya kodi na sio hivi vita vya kipuuzi mnavyovitafuta.Damn it!!!
,Tunachohitaji sasa hivi ni jinsi ya kulipunguza hili deni la taifa la shilingi trillioni 60,kupunguza tatizo la ajira,kupunguza mfumuko wa bei,kupunguza gharama za maisha kwa kufuta kodi na tozo za kipuuzi kwa watu binafsi,kwa wazalishaji na wafanyabiashara au kupunguza viwango vya kodi na sio hivi vita vya kipuuzi mnavyovitafuta.Damn it!!!
Na kwa bahati mbaya raia hatufahamu kwamba wakati watu usiku tunakoroma huku wengine wakibadilisha kiwanja hiki na kile ucku kucha, wala hatufahamu kwamba kuna wengine wanakesha kuhakikisha usalama wa nchi! Tunadhani, muda wa kulala ukifika, basi Watanzania woooooooote tunalala na wengine wanaenda kujirusha kumbe kuna vijana huko wanakesha kuhakikisha watu tunalala na tunaendelea kulala kila cku pasi na shaka!Aliyekwambia tunataka vita watanzania nani ? Wapi? Kinachoongelewa ni amani ya kudumu ipatikane kongo na Rwanda sasa na siku zijazo.Kongo na Rwanda tunapakana nazo watu wetu wanaenda kwao na wao wanakuja kwetu.Kukiwa na amani watu wa pande zote watafurahi na watu wetu watafurahi.Kukiwa hakuna amani kongo au Rwanda miaka yote Tanzania ndio tumekuwa tukiumia zaidi kwa kupokea wakimbizi wanaomaliza raslimali zetu na kutuletea matatizo makubwa kiuchumi na kibajeti.Ndio maana ufumbuzi ni muhimu kwa uchumi wetu na bajeti yetu.
Deni la taifa ni pamoja na gharama kubwa za ulinzi wa mipaka maeneo yasiyo na amani kama hayo ya kongo na Rwanda.Moja ni kuhakikisha nchi tunazopakana nazo zinakuwa na amani ili na sisi tulale usingizi.Hela za ulinzi zipungue na kodi za watu kugharimia ulinzi zishuke!
Aliyekwambia tunataka vita watanzania nani ? Wapi? Kinachoongelewa ni amani ya kudumu ipatikane kongo na Rwanda sasa na siku zijazo.Kongo na Rwanda tunapakana nazo watu wetu wanaenda kwao na wao wanakuja kwetu.Kukiwa na amani watu wa pande zote watafurahi na watu wetu watafurahi.Kukiwa hakuna amani kongo au Rwanda miaka yote Tanzania ndio tumekuwa tukiumia zaidi kwa kupokea wakimbizi wanaomaliza raslimali zetu na kutuletea matatizo makubwa kiuchumi na kibajeti.Ndio maana ufumbuzi ni muhimu kwa uchumi wetu na bajeti yetu.
Deni la taifa ni pamoja na gharama kubwa za ulinzi wa mipaka maeneo yasiyo na amani kama hayo ya kongo na Rwanda.Moja ni kuhakikisha nchi tunazopakana nazo zinakuwa na amani ili na sisi tulale usingizi.Hela za ulinzi zipungue na kodi za watu kugharimia ulinzi zishuke!
FDLR has an international acclaim as a Terrorist group, President Kikwete should be careful with this, but we should not intervene in domestic affairs of a sovereign state.
Pres Kagame ni mtu makini sana. Hawezi kutaka vita na Tanzania kwani anajua wazi ndio mpango wa kumuondoa utakamilika. My heart bleeds to see my country Tanzania having a track record of backing Hutu extremist murderers. Kama kweli FDLR wamekuwa hosted na Tanzania basi nchi hii imepoteza mwelekeo. Naanza kuamini madai ya muda mrefu kuwa hata silaha wanazotumia waasi wa FDLR zinapitia bandari za Tanzania. Hii ni aibu. Kwa maoni yangu, Rais Kagame ana kila haki ya kushtushwa na hili la Tanzania allegedly hosting FDLR and those selfish, ungrateful RNC traitors. Huwezi kuwakarimu wauaji wa ndugu zangu halafu uje kunishauri eti nizungumze nao, it's simply preposterous.
Hit the nail on the head, thank you sir!Those stupid utterance have a good or bad end. you will never, never dictate your discriminatory ideology and practice to TANZANIA. You can flare whatever at the end of everything Tanzania does not receive orders from Kigali. As for eac you made a wrong decision to think that will influence Tanzania to be sympathetic tour criminal course
FDLR has an international acclaim as a Terrorist group, President Kikwete should be careful with this, but we should not intervene in domestic affairs of a sovereign state.