Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,720
Hata kama pesa ya Kenya ipo juu mtoa mada asishabadilisha katika dola "he speaks interms of dollar " licha ya mtoa hoja kwa makini elimu ya Kemya ipo juu na ni ya vitendo hakuna blaablaa. Unakumbuka madokta wa Kenya walipogoma Uhuru aliagiza madokta kutoka Tz unajua Wakenya walisemaje?