Mjanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,238
- 324
Hizi figure zimekaa kisiasa zaidi!
ukichukua hiyo hela ukatoa makato yote yanayorudi serikalini (Kwa TZ)
the remaining ammunt ni significant low (haina kitu) ndo maaana hata elimu wanayoitoa ni mradi tu,
so wanalazimika kukimbizana na mikukuta ili kufidia gepu!