mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Yaani nimegundua ndio maana Nkurunzinza kang'ang'ania madaraka. Wakimbizi wote waliokuja Tanzania ni wahutu, na waliokimbilia Rwanda ni watutsi, hii hypothetical argument inafaa kufanyiwa kazi kujua kulikoni. Anyway tunafahamu slogan ya 'Sindumja' wanayoimba watutsi, kwa wale wasiojua maana ya 'Sindumja' ni 'mimi sio mtumwa wako'. Kwa maana nyingine kama wahutu watakubali kutawaliwa na Mtutsi ina maana wao ni 'Abhaja' kwa watutsi na kama watutsi wataendelea kutawaliwa na Mhutu maana yake wamkubali kuwa watumwa wa wahutu. sasa ni nani akubali kuwa mtumwa wa mwingine??? Nkurunzinza please continue to stay in power. Hao wanaosema is against the will of Burundians hawajui ukweli is against the will of Tutsi.Mbona wakimbizi wakitutsi hao
Ndugu unapigana machoni tutaonaje? hahahahahaaaaaaYaani nimegundua ndio maana Nkurunzinza kang'ang'ania madaraka. Wakimbizi wote waliokuja Tanzania ni wahutu, na waliokimbilia Rwanda ni watutsi, hii hypothetical argument inafaa kufanyiwa kazi kujua kulikoni. Anyway tunafahamu slogan ya 'Sindumja' wanayoimba watutsi, kwa wale wasiojua maana ya 'Sindumja' ni 'mimi sio mtumwa wako'. Kwa maana nyingine kama wahutu watakubali kutawaliwa na Mtutsi ina maana wao ni 'Abhaja' kwa watutsi na kama watutsi wataendelea kutawaliwa na Mhutu maana yake wamkubali kuwa watumwa wa wahutu. sasa ni nani akubali kuwa mtumwa wa mwingine??? Nkurunzinza please continue to stay in power. Hao wanaosema is against the will of Burundians hawajui ukweli is against the will of Tutsi.
naona leo umepata kiingilio! tatizo lako ukizidiwa point auchelewi kukimbia... hahaha! sio lazima uongee kihaya hapa kwani kiswahili kimekushinda? wacha nirudie tena labda utafurahi, TANZANIA NAIPENDA KWA WEMA NA UKARIMU WALIOWATENDEA WAZAZI WETU (lakini mimi simo kwani ni mzawa na nilikuwa na haki zote ukiacha KATIBA iliyonilazimisha kuchagua moja, lol) KWA MIAKA YOOOOOTE ILE! unajuwa ndugu yangu ujinga wako ndio unatufanya tusielewane! akili za namna hii zitawafanya msiendelee milele! Kwani we unaona hatari kukumbushana jinsi Nkurunziza anavyotuchangisha bila sababu? wacha nikuambie, serikali ushughulishwa na watu na kama kiasi hicho cha pesa zinapotezwa kwa sababu ya ujinga wa Nkurunziza, basi tuna haki yote ya kupata habari kama hizi na kuishauri serikali itilie mkazo swala hili, ikiwemo kujaribu kila njia kusudi warundi warudi kwao kuiendeleza nchi yao! sio kuwasimanga kama unavyofikiri wewe! kwani nani kakuambia wanafurahia ukimbizi? wasaidie uone kama wote hawatarudi kwao...who knows, labda hata nyinyi Nyerere(RIP) angewapa data zote na ukalinganisha na umasikini wa kipindi kile, labda mngeishauri serikali isaidie wanyarwanda warudi kwao... we HABYARIMANA anasema nchi imejaa tena kabila moja analitimua kabisa! halafu majirani mnaona poa tu kusaidia wakimbizi bila kuishughulisha serikali hiyo ya kibaguzi? sio kila kitu unataka kubishana tu na kutaka watu waonekane wabaya kama ulivyo! je hawa sasa utasemaje? Danish MPs approve seizing valuables from refugees dunia ya sasa ni maslahi tu ndugu yangu, ndio maana hamuwaelewi wakenya... hata mtoto wako ukimkimbiza kwako akaja kuishi kwangu ujuwe utalipia msosi wake upende usipende!Mambo mengine bwana!! Mbona Wanyarwanda chungu nzima walikuwa wanapewa hifadhi ya Ukimbizi Tanzania tangu miaka ya 1960s - sikuwahi hata siku moja kusikia Tanzania ikitangazia Dunia kuhusu ukarimu wetu and what have you - Watanzania tunajua hakuna sababu ya kutafuta sifa kwenye wajibu - waswahili usema tenda wema uendezako usilazimishe shukurani.
Taifa lolote linalo chukulia suala la wakimbizi kama ndio mtaji wa kisiasa yaani waonekane wanajali zaidi kuliko Mataifa mengine basi hao hawana nia thabiti ya kusaidia bali wanawatumia wakimbizi kwa ajenda zao za siri - tupe takwimu katika wakimbizi idadi ya Wahutu ni wangapi?
Mkuu ni hivi: Binadamu mwenye utu hawezi kulalamika eti "fedha zinazo tumika kuwasitili wakimbizi zengeweza kujenga madaraja/hydroelectric power generating station!!!" - akili gani hizi -yaani mnatoa msaada kwa Wakimbizi huku mnawasimanga!! Nyei binadamu wa design gani?
Nikiwasema eti nawachukia, niwachukie kwa lipi - heshimuni binadamu wenzenu muone kama ntatia neno.
Labda nikukumbushe kitu, baadhi ya Wanyaranda kwenye Serikali ya Kagame waliishi hapa Tanzania wakasomeshwa bure kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu, Kaberuka akiwa mmoja wao na wengine ambao sitawataja hapa bila ya kusahau wewe ukiwa mmoja wao, sasa tujaribu kufatia thread zako unazo andika kuhusu Tanzania - kuna popote panapo onyesha kwamba "OINA AKAIJUKO" hicho ni Kihaya waulize Wanyarwanda wanaojua Kihaya au Wanyankole wakwambie maana yake, hata PK na M7 wanajua maana yake, kitu hicho huna kabisa labda M7 tuliye muhifadhi kijiji cha Muhutwe Bukoba vijijini.
Bukyanagandi hao jamaa wana roho ya hovyo. Hata hizo figures zitakuwa zimeongezwa sifuri.
Akina Kagame hawana shukrani, tuliwahifadhi makumi ya miaka, Watu wao wamesoma hapa tena tukiwajua, wakafanya kazi hapa lakini dharau haziishi.
Angalau Museveni anakumbuka alikotoka
wow, leaked? not really! "recruited in the Mahama camp" is no longer a leaked info! honestly, I rushed to read the name of Instructors, training location and... but as always, you guys disappoint! mumble mumble BukyanagandiA confidential report to the UN Security Council accuses Rwanda of recruiting and training Burundian refugees with the aim of overthrowing Burundi's President Pierre Nkurunziza, Reuters news agency is reporting.
The report, by UN-appointed experts who monitor sanctions on the Democratic Republic of Congo, alleges that training was carried out in a forest camp in Rwanda, Reuters says.
The experts said in the report that they had spoken with 18 Burundian combatants in eastern Congo's South Kivu province, according to the news agency.
"They all told the group that they had been recruited in the Mahama Refugee Camp in eastern Rwanda in May and June 2015 and were given two months of military training by instructors, who included Rwandan military personnel," Reuters quotes the report as saying.
Rwanda has not the commented on the leaked report, but it has strongly denied similar allegations in the past.
Burundi has been hit by unrest since April, when President Pierre Nkurunziza announced he was running for a third term, which he subsequently won.
He survived an attempted coup in May, and four ex-generals have been sentenced to live in prison for plotting to overthrow him.
Sijui hii habari imetoka lini ila Rwanda katika ripoti ya UN iliyotoka siku zilizopita inataja Rwanda kuwa inawafundisha baadhi ya wakimbizi, watoto na wanajeshi kutoka Burundi.Mambo mengine bwana!! Mbona Wanyarwanda chungu nzima walikuwa wanapewa hifadhi ya Ukimbizi Tanzania tangu miaka ya 1960s - sikuwahi hata siku moja kusikia Tanzania ikitangazia Dunia kuhusu ukarimu wetu and what have you - Watanzania tunajua hakuna sababu ya kutafuta sifa kwenye wajibu - waswahili usema tenda wema uendezako usilazimishe shukurani.
Taifa lolote linalo chukulia suala la wakimbizi kama ndio mtaji wa kisiasa yaani waonekane wanajali zaidi kuliko Mataifa mengine basi hao hawana nia thabiti ya kusaidia bali wanawatumia wakimbizi kwa ajenda zao za siri - tupe takwimu katika wakimbizi idadi ya Wahutu ni wangapi?
Mkuu ni hivi: Binadamu mwenye utu hawezi kulalamika eti "fedha zinazo tumika kuwasitili wakimbizi zengeweza kujenga madaraja/hydroelectric power generating station!!!" - akili gani hizi -yaani mnatoa msaada kwa Wakimbizi huku mnawasimanga!! Nyei binadamu wa design gani?
Nikiwasema eti nawachukia, niwachukie kwa lipi - heshimuni binadamu wenzenu muone kama ntatia neno.
Labda nikukumbushe kitu, baadhi ya Wanyaranda kwenye Serikali ya Kagame waliishi hapa Tanzania wakasomeshwa bure kuanzia chekechea mpaka vyuo vikuu, Kaberuka akiwa mmoja wao na wengine ambao sitawataja hapa bila ya kusahau wewe ukiwa mmoja wao, sasa tujaribu kufatia thread zako unazo andika kuhusu Tanzania - kuna popote panapo onyesha kwamba "OINA AKAIJUKO" hicho ni Kihaya waulize Wanyarwanda wanaojua Kihaya au Wanyankole wakwambie maana yake, hata PK na M7 wanajua maana yake, kitu hicho huna kabisa labda M7 tuliye muhifadhi kijiji cha Muhutwe Bukoba vijijini.
Hawa jamaa bwana yani ni burudani tupu kwa misifa yao. Fedha za kuhudumia wakimbizi huwa zinatoka Rwanda au zinatoka UN? few years ago marekani alipunguza just $250,000 kwenye misaada, Kagame ilibidi achangishe kwa nguvu wafanyakazi wa umma kupitia 'agaciro fund' kwa sababu ya ukata uliokuja, leo eti wana $94mil za kusaidia wakimbizi? Kwa hizi propaganda hata Nape would be embarrassed! 😀
Mkuu, unafikiri walishia hapo? Walikwenda mbali zaidi kwa kulazimisha baadhi ya Wanyarwanda wanao ishi nje ya Nchi wachangie mfuko wa "agaciro"!! Sasa ukata uliokuwa umewakumba wameudhibiti kwa kutumia mbinu gani?
Leo hii wanazuga watu kwa kutumia publicity stunts za kujifanya wanatoa misaada kwa wakimbizi kumbe ukweli wa mambo misaada imetolewa na UNHCR!!! Wasanii kweli kweli.
Nimekuelewa kaka, tatizo watu wengi hawaelewi wanaishia kumlaumu NkurunzinzaNdugu unapigana machoni tutaonaje? hahahahahaaaaaa
naona leo umepata kiingilio! tatizo lako ukizidiwa point auchelewi kukimbia... hahaha! sio lazima uongee kihaya hapa kwani kiswahili kimekushinda? wacha nirudie tena labda utafurahi, TANZANIA NAIPENDA KWA WEMA NA UKARIMU WALIOWATENDEA WAZAZI WETU (lakini mimi simo kwani ni mzawa na nilikuwa na haki zote ukiacha KATIBA iliyonilazimisha kuchagua moja, lol) KWA MIAKA YOOOOOTE ILE! unajuwa ndugu yangu ujinga wako ndio unatufanya tusielewane! akili za namna hii zitawafanya msiendelee milele! Kwani we unaona hatari kukumbushana jinsi Nkurunziza anavyotuchangisha bila sababu? wacha nikuambie, serikali ushughulishwa na watu na kama kiasi hicho cha pesa zinapotezwa kwa sababu ya ujinga wa Nkurunziza, basi tuna haki yote ya kupata habari kama hizi na kuishauri serikali itilie mkazo swala hili, ikiwemo kujaribu kila njia kusudi warundi warudi kwao kuiendeleza nchi yao! sio kuwasimanga kama unavyofikiri wewe! kwani nani kakuambia wanafurahia ukimbizi? wasaidie uone kama wote hawatarudi kwao...who knows, labda hata nyinyi Nyerere(RIP) angewapa data zote na ukalinganisha na umasikini wa kipindi kile, labda mngeishauri serikali isaidie wanyarwanda warudi kwao... we HABYARIMANA anasema nchi imejaa tena kabila moja analitimua kabisa! halafu majirani mnaona poa tu kusaidia wakimbizi bila kuishughulisha serikali hiyo ya kibaguzi? sio kila kitu unataka kubishana tu na kutaka watu waonekane wabaya kama ulivyo! je hawa sasa utasemaje? Danish MPs approve seizing valuables from refugees dunia ya sasa ni maslahi tu ndugu yangu, ndio maana hamuwaelewi wakenya... hata mtoto wako ukimkimbiza kwako akaja kuishi kwangu ujuwe utalipia msosi wake upende usipende!
reka sha! ahubwo Imana izakugirire ubuntu utahe iwanyu mumahoro!Kwani wakenye wana nini cha zaidi kuwashinda watanzania/wanyarwanda/warundi. Maisha ya wananchi wa EA yanafanana katika hali zote, au unasifia Kenya kwa ajili ya majengo marefu? au unafurahia unyan'gau unaofanywa na wakenya dhidi ya wakenya wenzao? au wasio wakenya?? tukirudi kwenye ajenda yako, wanyarwanda (Tutsi) hata mfanyaje, mnaeleweka. Hakuna jipya, matamanio yenu mliyodanganywa na mkoloni Mbeligiji kwamba ninyi mmezaliwa kuwa watalawala hiyo ilikuwa mbinu yao ya 'divide and rule'. Principle hiyo kwa sasa haifanyi kazi. Jambo la msingi, tengenezeni Rwanda iliyo na usawa kwa makabila yote, hali kadhalika Burundi wafanye hivyo hivyo, laikini ku assume superioty over others ni kuirudisha nchi kwenye machafuko ya umwagaji damu. 'Imana ibhagilile ikigongwe'
sifa?Hawa watu inabidi wapigwe na amnesia ili wasau kuhusu jadi yao ya majivuno na kutaka sifa. Sasa hiyo power dam si mkaijenge, mmelazimishwa kuwasaidia.., yaan sifa tu..