RWANDA REFUGEES IN Tanzania...KAGAME ....

usisahau ile zawadi bado ipo au nikutumie tena ile list?

koba, huwezi kumdanganya tena yeyote hapa, ufedhuli wa watusi umeshajulikana popote pale duniani, hamna wa kuwaoneeni huruma tena maana mnanuka damu za watu, tafsiri ya genocider kwenu ni wale wahutu wanaoonekana tishio kwa utawala dhalimu wa fashisti kagame.
 

You dont have any right to tell Tanzanians what to do! It is you who is fake eeeh...as for me am a real Tanzanian by birth.. All real Tanzanians knw who you tutsi real are...so dont think they are naive! Anyway it is just wastage of tym replying to yr senseless comments...tushawapa vipande vyenu ishieni tu kutukana
 
ndugu yangu, unapoteza muda wako na hoja mufilisi za koba anayekiri kukimbia rwanda na kuolewa marekani lakini bado anamtetea dikteta kagame!

Hahaaa na kweli kaka...ila ana mahasira sana; nahisi hajaonana na bwana wake muda mrefu..
 

majibu mazuri sana yenye maono, hawa watu ni kizazi la lucifer!
 

how old are u...rushasha do u think you are intelligent enough to rate my argument?hell not!if u had some brains u would've spotted no difference between colonial masters in mozambique and the tragedy ended by RPF in 1994....what the hell were your uncles after in Uganda during amin reign....huna akili una sh 500 ya vocha na kujiunga promo basi...if not him Crazy Mutikila where else do they manufacture hatred in TZ?am affraid the guys is spoiling u with lies and zaidi wewe mwenye huwezi chambua nini ukweli nini uongo...unameza kila unasikia huyo mwenda wazimu mwenzako anasema....
 

And who gave you the right to speak for all tanzanian? you dimwit? speak for yourself boy!!
 
And who gave you the right to speak for all tanzanian? you dimwit? speak for yourself boy!!
I am a Tanzanian and I should stand to speak for my people. Hivi, by the way nani kawakaribisha kwenye hii forum ya wastaarabu? Mmejiingiza huku so you should abide to the rules, sio kutukana matusi kama kagame wenu...
 
You don't have to know my age; and am SORRY to challenge yr arguments, but if you don't like challenges and you just want us to agree with what you say, then this is a wrong forum for you!
 

I have followed this discussion and only to discover a number of issues....one JF is an international forum which provide venue for people from different nations in Eastern and Central Africa to argue,....Ruzibiza it is not Mutikila, it is Mtikila...this is a second time you mistaken the name....by the way karibu Tanzania...
 
I am a Tanzanian and I should stand to speak for my people. Hivi, by the way nani kawakaribisha kwenye hii forum ya wastaarabu? Mmejiingiza huku so you should abide to the rules, sio kutukana matusi kama kagame wenu...
Angalia kubwa jinga hili,eti mmekaribishwa na nani? kwani wewe ulikaribishwa na nani?makelele tuu lakini hujawahi changia hata dollar moja JF,next time click support jamiiforums mshamba wewe!!
 
Angalia kubwa jinga hili,eti mmekaribishwa na nani? kwani wewe ulikaribishwa na nani?makelele tuu lakini hujawahi changia hata dollar moja JF,next time click support jamiiforums mshamba wewe!!
Hahahaaaa....you again!
 
Angalia kubwa jinga hili,eti mmekaribishwa na nani? kwani wewe ulikaribishwa na nani?makelele tuu lakini hujawahi changia hata dollar moja JF,next time click support jamiiforums mshamba wewe!!

Mkuu Mkoba, hivi wewe ni Tutsi uliyelowea Tanzania?
 
Naiyona vita kwa asilimia zaidi ya 90 na hii inatokana na utajiri wa kongo
hakuna asiyejua kuwa rwanda inajengwa na fedha chafu za kongo sasa inapofika wanaambiwa wasizichukue unafiri itakuwaje?
 
Naiyona vita kwa asilimia zaidi ya 90 na hii inatokana na utajiri wa kongo
hakuna asiyejua kuwa rwanda inajengwa na fedha chafu za kongo sasa inapofika wanaambiwa wasizichukue unafiri itakuwaje?

rwanda ina makabila makuu mawili, wahutu na watusi. siyo sahihi kusema fedha za damu kutoka kongo zinaijenga rwanda! wahutu wanabaguliwa sana rwanda na kuwa mhutu tu unabambikizwa ugenocider! fedha za damu kutoka kongo zinatumika kujenga na kuimarisha hima empire bila kusahau kufadhili magenge ya mauaji ndani ya kongo m 23 ni baadhi ya mfano mdogo uliodhihirika tu.
 
Mkuu Mkoba, hivi wewe ni Tutsi uliyelowea Tanzania?
tena kapitia ccp na kurasini , ndiyo anajiona anaifahamu sana Tanzania. Hata amini alipata mafunzo yake ya kijeshi mtego wa simba -morogoro lakini haikuwa sababu ya kushindwa kumchakaza!
 
tena kapitia ccp na kurasini , ndiyo anajiona anaifahamu sana Tanzania. Hata amini alipata mafunzo yake ya kijeshi mtego wa simba -morogoro lakini haikuwa sababu ya kushindwa kumchakaza!

Mkuu, nafikiri sasa ni wakati wa kuanza kuwapiga chini, Wanyarwanda wote waliojipenyeza na kupata nyadhifa mbali mbali Serikalini, hata kama wamesomeshwa na na Serikali ya JMT.
 
Mkuu, nafikiri sasa ni wakati wa kuanza kuwapiga chini, Wanyarwanda wote waliojipenyeza na kupata nyadhifa mbali mbali Serikalini, hata kama wamesomeshwa na na Serikali ya JMT.

wanachukua nafasi zetu tunazoweza kuzijaza wenyewe, TUCHUKUE HATUA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…