alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,198
Lipo jambo wengi wetu bado hatuelewi. Nalo ni AMANI ILIYOPO RWANDA PAMOJA NA UBABE WA KIONGOZI WAO!
Mnakumbuka kabla ya kuitishwa kura ya maoni ya ama mhula wa Kagame aendelee kubakia madarakani au la alielekea ktk jiji la Roma,Vatican!Mliewa madhumuni ya safari ile?!
Ni hivi,Paul Kagame mara baada tu ya kushika madaraka ya nchi yake alitaka kuingia ktk mgogoro mkubwa na kanisa Katoliki hapa Rwanda.Alilituhuma kanisa Katoliki kuhusika kwa namna moja au nyingine ktk mauaji ya kimbali.ALILITAKA KANISA KATOLIKI LIOMBE RADHI.KANISA KATOLIKI WALIKATAA KUFANYA HIVYO!Na hapo ndiposa mgogoro ulipotaka kukomaa!
Vitimbi vya hapa na pale kutoka mamlaka ya nchi ya Rwanda kwa kanisa Katoliki vilianza!Kitimbi kikubwa zaidi na ambacho kwalo kilileta sintofahamu ni kanisa Katoliki kutakiwa kunyang'anywa ardhi walioimiliki kwa haki kabisa!
Katoliki waligoma kunyang'anywa ardhi yao!Mgogoro ukawa mkubwa na hii ilipelekea hata baadhi ya WATENDAJI KTK WIZARA YA ARDHI HAPO RWANDA KUKATAA kutekeleza amri ile. Hii ni kwa sababu wengi wao walikuwa ni waumini wa madhehebu hayo.
Sakata hilo lilipelekea kustafishwa km mkuu wa majeshi kwa jenerali fulani na kuhamishiwa ktk wizara ya ulinzi.Hii ni kwa sababu hata yeye hakukubaliana na jambo lile na hii ilipelekea uasi wa kimya kimya ndani ya jeshi.
Baada ya kuhisi jambo hilo litaleta shida kubwa ktk nchi Kagame akaamua kuachana nalo.Alimwita kardinali wa Katoliki huko Rwanda na kumtaka wamalize tofauti zao na kumsihi ajaribu kila awezalo kuuzima uasi ulioanza kimya kimya ndani ya jeshi na vyombo mbalimbali vya dola vya Rwanda. HII NI KWASABABU VIONGOZI KM SI WOTE WENGI WAO NI WAKATOLIKI!kardinali alikubali na yakaisha.
Ndipo sasa urafiki na mapatano ya kanisa Katoliki Rwanda na utawala wa Kagame yalipoanza.Hii ilipelekea kuandaliwa kwa safari ya bwana Kagame kwenda kuonana na Papa.
Baada ya safari ile bwana Kagame akawasilisha ombi la kuungwa mkono na kanisa ktk safari yake ya kutaka kuongezewa mhula wa uongozi ndani ya nchi yake. Km ilivyotarajiwa,kanisa kupitia kwa kardinali wa Katoliki huko Rwanda alikubali na kumpa baraka zote.
Kifupi ,kuondoka kwa Kagame ktk utawala ni hadi kanisa Katoliki hapo Rwanda liamue!