Rwanda: Rais Kagame, Kanisa Katoliki na hatma ya nchi...

Rwanda: Rais Kagame, Kanisa Katoliki na hatma ya nchi...

Mbona Kanisa Katoliki Walishaiomba msamaha Rwanda officially?.Tuache kulishana ujinga especially kwa wale wasioelewa na wakurupukaji .Go back to the facts
Mleta Uzi kesema hapo kuwa muafaka ulipatikana.
Nadhani alimaanisha pia kuwa Kanisa liliomba Radhi...!
 
This institution called itself "Ecclesia" is led by the "Genius of Satan" which makes even pagans to admire it. The term "Cardinal" is not Biblical and many other nonsenses!!!!
 
Ndugu Mtoa Mada kardinar si mkubwa wa Kanisa katoliki ktk Nchi popote duniani mfumo wa kanisa katoliki ni kwamba kila askofu WA Jimbo ndie Mkuu ktk Jimbo lake
Kardinar ni mtu mdogo Sana ktk madaraka. Ndio mana Kuna makardinar mapadre pia. Pia ktk Nchi nyingine Kuna makardinar zaidi ya watatu au zaidi.
 
Katoliki ni shida wakiunga mkono kitu unabidi ufuate kwani wao ni kila kitu. Enzi ya Vatican One Pope akisema 1+ 1 = 3 inabidi useme "Yes "ya nguvu

Si unajua hata Alisema Mungu Baba +Mungu Mwana + Mungu Roho =Mungu Mmoja
Yaani 1+1+1=1 !!!
 
Mbona Kanisa Katoliki Walishaiomba msamaha Rwanda officially?.Tuache kulishana ujinga especially kwa wale wasioelewa na wakurupukaji .Go back to the facts
Wakatoliki wana amini wao ndio wanaoongoza tawala za dunia,waache waendelee tu nafikra zao za kijingajinga. Na ni wakatoliki wanaosababisha mgogoro kati ya wakristo na waislamu kuwa mkubwa
 
Lipo jambo wengi wetu bado hatuelewi. Nalo ni AMANI ILIYOPO RWANDA PAMOJA NA UBABE WA KIONGOZI WAO!

Mnakumbuka kabla ya kuitishwa kura ya maoni ya ama mhula wa Kagame aendelee kubakia madarakani au la alielekea ktk jiji la Roma,Vatican!Mliewa madhumuni ya safari ile?!

Ni hivi,Paul Kagame mara baada tu ya kushika madaraka ya nchi yake alitaka kuingia ktk mgogoro mkubwa na kanisa Katoliki hapa Rwanda.Alilituhuma kanisa Katoliki kuhusika kwa namna moja au nyingine ktk mauaji ya kimbali.ALILITAKA KANISA KATOLIKI LIOMBE RADHI.KANISA KATOLIKI WALIKATAA KUFANYA HIVYO!Na hapo ndiposa mgogoro ulipotaka timbi vya hapa na pale kutoka mamlaka ya nchi ya Rwanda kwa kanisa Katoliki vilianza!Kitimbi kikubwa zaidi na ambacho kwalo kilileta sintofahamu ni kanisa Katoliki kutakiwa kunyang'anywa ardhi walioimiliki kwa haki kabisa!

Katoliki waligoma kunyang'anywa ardhi yao!Mgogoro ukawa mkubwa na hii ilipelekea hata baadhi ya WATENDAJI KTK WIZARA YA ARDHI HAPO RWANDA KUKATAA kutekeleza amri ile. Hii ni kwa sababu wengi wao walikuwa ni waumini wa madhehebu hayo.

Sakata hilo lilipelekea kustafishwa km mkuu wa majeshi kwa jenerali fulani na kuhamishiwa ktk wizara ya ulinzi.Hii ni kwa sababu hata yeye hakukubaliana na jambo lile na hii ilipelekea uasi wa kimya kimya ndani ya jeshi.

Baada ya kuhisi jambo hilo litaleta shida kubwa ktk nchi Kagame akaamua kuachana nalo.Alimwita kardinali wa Katoliki huko Rwanda na kumtaka wamalize tofauti zao na kumsihi ajaribu kila awezalo kuuzima uasi ulioanza kimya kimya ndani ya jeshi na vyombo mbalimbali vya dola vya Rwanda. HII NI KWASABABU VIONGOZI KM SI WOTE WENGI WAO NI WAKATOLIKI!kardinali alikubali na yakaisha.

Ndipo sasa urafiki na mapatano ya kanisa Katoliki Rwanda na utawala wa Kagame yalipoanza.Hii ilipelekea kuandaliwa kwa safari ya bwana Kagame kwenda kuonana na Papa.

Baada ya safari ile bwana Kagame akawasilisha ombi la kuungwa mkono na kanisa ktk safari yake ya kutaka kuongezewa mhula wa uongozi ndani ya nchi yake. Km ilivyotarajiwa,kanisa kupitia kwa kardinali wa Katoliki huko Rwanda alikubali na kumpa baraka zote.

Kifupi ,kuondoka kwa Kagame ktk utawala ni hadi kanisa Katoliki hapo Rwanda liamue!
cheki Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Katoliki waligoma kunyang'anywa ardhi yao!Mgogoro ukawa mkubwa na hii ilipelekea hata baadhi ya WATENDAJI KTK WIZARA YA ARDHI HAPO RWANDA KUKATAA kutekeleza amri ile. Hii ni kwa sababu wengi wao walikuwa ni waumini wa madhehebu hayo.
Hapo kwenye bold sidhani kama ndio sababu, sababu kubwa ni hi, Vatican ndio wana run dunia, wakiamua rais yeyote awe madarakani anakua na wakiamua kumtoa yeyote madarakani, THEY CAN. RC ndio wanao run dunia by remote, vinchi vidogo kama Rwanda is just like a small drop of rain in the sea!
 
duh kwaiyo vatcan wanamkubali kim?

vip na castro walikuwa wanamtaka ? je na apo iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh kwaiyo vatcan wanamkubali kim?

vip na castro walikuwa wanamtaka ? je na apo iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nianze na hapo kwenye bold; vuta kumbukumbu zako siku ile amekufa the former Pope John Paul wakati George Bush akiwa rais wa USA na Iran rais wake akiwa Ahmednajad, then nenda kaangalie hao "mahasimu" walikaeje siku ile ya mazishi na wote walikuwepo pale Vatcan, mkuu hi dunia haiongozwi na sharia, kuna mtu/kitu kina remote everything. Uliwahi kuamini kama huyo the former presida wa Iran nae ni member wa kile chama cha SIRI!? Halafu hicho hicho chama cha siri mkuu wake ndio huyo huyo ambaye we unahofia kwamba hao wengine hawakuwahi kumuheshim.
 
kukaa sio shida na chama cha siri ni kipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom