Rwanda pushes for military action against FDLR, Tanzania hesitant

Rwanda pushes for military action against FDLR, Tanzania hesitant

When TPDF were fighting M23 liberators hamkuona war mongering. Leo ndugu zenu wa FDLR muda wao umefika mnakimbia ili kuwaokoa. Werevu tulilijua hili from the getgo. I am ashamed of being Tanzanian over this. Siamini kodi yangu inatumika kuwalinda na ku-prop waasi wauaji. Membe is a goof ball. Anyway, RDF imejipanga vizuri kwa kuwa walilijua hili la double standards za Tanzania. Hao genocidaire wa FDLR watanyukwa kwa maana wana damu mikononi mwao. Wameachiwa huru kwa miongo miwili sasa. The deadline has passed. Justice will be served.

huwezi kuwa M-tz, na hata ikitokea ukawa M-tz, utakuwa msaliti. una kesi ya kujibu....
 
huwezi kuwa M-tz, na hata ikitokea ukawa M-tz, utakuwa msaliti. una kesi ya kujibu....
Prof maji marefu kila topic ya Rwanda upo busy hating,una maslahi gani wewe?au FDLR ni ukoo mmoja
 
..uamuzi ukifanyika ktk vikao unakuwa uamuzi wa pamoja.

..Nyerere must be turning in his grave kwamba Tz imekaa kimya kwa miaka 20 huku Rwanda ikiua Wahutu na wananchi wa Congo, na kupora mali na madini ya Congo.
Nyerere was a big time supporter of RPF/Kigali and he called out your Habyarimana/interahamwe na baba yako mobutu MURDERERS,na FYI during Nyerere TZ haikuwahi kuwa na uhusiano wowote wa maana na hao wauaji mnaoimba humu kila siku kuwapa support.
 
Hapa waziri kafanya cha maana, u can't just go in someone's country watu hawana uniform afu hujui yupi ni yupi ukabaki unapiga tu, wasio na hatia wataumia wengi ikifanyika hivo, ka Membe alivosema bora majeshi yao kwanza yawatambue walio na hatia ni wapi kabla ya kuchukua action yoyote..
 
Hapa waziri kafanya cha maana, u can't just go in someone's country watu hawana uniform afu hujui yupi ni yupi ukabaki unapiga tu, wasio na hatia watahumia wengi ikifanyika hivo, ka membe alivosema bora majeshi yao kwanza yawatambue walio na hatia ni wapi kabla ya kuchukua action yoyote..
Siyo hivyo tu, UN Resolution 3126 niliyoweka hapo juu (Ingawa hawa wanyarwanda hawakuelewa), imesisitiza repatriation hasa ya watoto kurudi nchi walizotoka.
 
Prof maji marefu kila topic ya Rwanda upo busy hating,una maslahi gani wewe?au FDLR ni ukoo mmoja

hapo kwenye red...Acha dharau!! kwani hilo ni jina la Mheshimiwa fulani hapa Bongo. Kwa upeo wako hauwezi kutofautisha "hate" na "different opinion"...Hivi kuna ukoo unaitwa FDLR?
 
October ifike haraka ili Kikwete na Membe wake warudi kulima tu. Wameenda Congo kwa maslahi binafsi na watatoka kwa maslahi binafsi ingawa kwa gharama la jeshi letu. I don't care about M23 or FDLR and their sympathizers
 
Tanzania says such action would not be justified until the Democratic Republic of Congo government identifies the insurgents, disarms them and calls in the UN High Commissioner for Refugees to repatriate them to Rwanda in line with an accord reached in the Unites States last September."

Source:The East African
Tanzania imesema inapinga hatua hizo mpaka kwanza DRC iwatambue waasi, iwanyang'anye silaha, na iwaite UNHCR waje wawarudishe Rwanda. Mwandishi wa habari has no clue nini kinaendelea huko masikini ya Mungu.

Sasa, kama utakuwa umeshawatumbua waasi, umewanyang'anya silaha na umewarudisha kwao, vita dhidi ya waasi vya nini tena? Sidhani kama Membe anaweza kusema kitu pinheaded namna hiyo. Such dreadful press in East Africa, nothing you read makes sense!

Alichosema Membe kipo ndani ya quotation marks ..... identify and deport.
Kama operesheni Kimbunga ilivyokuwa. Deportation process can be fought in court individually or as a group. You can fight deportation by seeking asylum.
But it can also be by force, and once you fail to comply and decide to fight, that's when the guns will start blazing.
 
Najiuliza kwanini Tanzania anakuwa kama kizuizi cha kuingia Congo ? Kwanini Rwanda wasiende wenyewe huko unatafuta kuungwa mkono wakati kwenu its a matter of national security? Go inside Congo drc then we will see....
 
Tanzania imesema inapinga hatua hizo mpaka kwanza DRC iwatambue waasi, iwanyang'anye silaha, na iwaite UNHCR waje wawarudishe Rwanda. Mwandishi wa habari has no clue nini kinaendelea huko masikini ya Mungu.
Sasa, kama utakuwa umeshawatumbua waasi, umewanyang'anya silaha na umewarudisha kwao, vita dhidi ya waasi vya nini tena? Sidhani kama Membe anaweza kusema kitu pinheaded namna hiyo. Such dreadful press in East Africa, nothing you read makes sense!

Anachosema Membe ni kuwa Tanzania imeenda kule kupigana na waasi wa kongo sio waasi wa Rwanda.M23 walikuwa waasi wa kongo wakitaka kuiangusha serikali ya kongo.

Anachosema anataka Waasi wa Rwanda watambuliwe wapokwe silaha na warudishwe kwao Rwanda.Halafu wale waasi wazawa wa kongo Tanzania iachiwe iwashughulikie kwani haikwenda kule kwa kutumwa na Rwanda kushughulikia waasi wao.Kongo kuna waasi kibao wakongoman wanaomsumbua Kabila hao ndo Tanzania inawataka,JWTZ haikwenda kongo kama kikosi kilichotumwa na KAGAME kwenda kuwapiga waasi wa Rwanda kwa niaba ya RPF. Umeelewa?
 
poilci.png

The Tanzanian President Jakaya Kikwete and his foreign minister Bernard Membe are sending two different messages as to how Tanzania will deal with Rwandan FDLR rebels in eastern Democratic Republic of Congo (DRC).
Tanzania has about 3400 troops part of the UN combat brigade in eastern DRC around areas neighbouring Rwanda. Despite a UN Security Council directive for the UN mission in Congo and Kinshasa to forcefully disarm the rebels after a January 02 deadline to willingly surrender passed, Tanzania will not be party to any military action.
"If Congo will not use its security forces to identify the Rwandans and get them deported to their respective destinations, Tanzania will for the first time not comply with the UN directive to take immediate military action against the rebels," said minister Bernard Membe in interview with The EastAfrican newspaper. The story was published on Friday last week - the same day his boss met with foreign diplomats, and also gave a different policy direction.
"As we speak, most of these resolutions have not been applied," added Membe. "Thus, as a country we won't be ready to join any combined attack against the rebels because not all people in eastern DR Congo are FDRL rebels."
He said isolation of the rebels scattered in eastern DR Congo was essential to maintaining peace in the region.
The same day the story featuring the minister was released, is the same day President Kikwete spoke about the FDLR rebels in the address to foreign diplomats. The President said he was "setting the record straight" that Tanzania would support action on the militia group which slaughtered Tutsis in Rwanda during the genocide in 1994, and fled across to the then Zaire.

"Let me use this opportunity to set records straight about Tanzania's position and role in the evolving security situation in the Eastern DRC and the ongoing voluntary surrender and disarmament exercise by the FDLR rebels," said Kikwete.
"We have always been supportive and will continue to be supportive of these efforts to ensure the Eastern DRC is free of armed groups that threaten the security of the people of Congo and Congo's neighbours. Any misrepresentation of Tanzania's position is done by people who pretend to read Tanzania's mind and make their thinking the truth. This is preposterous and contemptible. It is done by people who have ill intensions against our country."
Were the two leaders deliberately giving conflicting messages, or the President had over-ruled his foreign minister. What is clear is that from President Kikwete's message, he did not give any categorical position as to how Tanzania is going to "support".
Tanzania is no stranger to FDLR. Its commanders use Tanzanian passports to travel outside the bushes of eastern Congo. As News of Rwanda has extensively reported, Tanzania considers FDLR as "freedom fighters" despite their genocidal agenda to annihilate Tutsis.
The most recent report on DRC established a clear link with the FDLR, who are under UN sanctions.
 
Mwisho wa siku kagame atalazimishwa akae nao aongee nao. Amejitahidi sana ku lobby lakini bado. Hayuko smart kiasi hicho. Na sasa hivi nchi yake haina pesa tena kama alivyozoea kuiba mali kule congo.
 
Are you serious??? Reka uwomukino tse, haiwezekani kuua watu wote. Mimi najua hizo ni chuki za watutsi na wahutu, kwa vile FDLR ni wahutu basi makombora yavurumishwe kila kona penye wahutu bila kujali hawa ni FDLR. TZ ijitoe muendelee kuchinjana.

kukimbia tatizo siyo suluhisho la tatizo, kagame na watusi waliojaa chuki dhidi ya ndugu zao wahutu ni lazima waendelee kufunzwa adabu na jumuiya ya kimataifa.
 
Anachosema Membe ni kuwa Tanzania imeenda kule kupigana na waasi wa kongo sio waasi wa Rwanda.M23 walikuwa waasi wa kongo wakitaka kuiangusha serikali ya kongo.

Anachosema anataka Waasi wa Rwanda watambuliwe wapokwe silaha na warudishwe kwao Rwanda.Halafu wale waasi wazawa wa kongo Tanzania iachiwe iwashughulikie kwani haikwenda kule kwa kutumwa na Rwanda kushughulikia waasi wao.Kongo kuna waasi kibao wakongoman wanaomsumbua Kabila hao ndo Tanzania inawataka,JWTZ haikwenda kongo kama kikosi kilichotumwa na KAGAME kwenda kuwapiga waasi wa Rwanda kwa niaba ya RPF. Umeelewa?

PAKA kweli ni juha, anataka kutumia uwepo wa majeshi ya JWTZ DRC kuwatisha na kulisambaratisha jeshi la ukombozi wa RWANDA FLDR! TANZANIA IMESTUKA, TUPO DRC KUPAMBANA NA WAASI WA DRC NA SI WAPIGANIA UHURU NA HAKI WA RWANDA.
 
When TPDF were fighting M23 liberators hamkuona war mongering. Leo ndugu zenu wa FDLR muda wao umefika mnakimbia ili kuwaokoa. Werevu tulilijua hili from the getgo. I am ashamed of being Tanzanian over this. Siamini kodi yangu inatumika kuwalinda na ku-prop waasi wauaji. Membe is a goof ball. Anyway, RDF imejipanga vizuri kwa kuwa walilijua hili la double standards za Tanzania. Hao genocidaire wa FDLR watanyukwa kwa maana wana damu mikononi mwao. Wameachiwa huru kwa miongo miwili sasa. The deadline has passed. Justice will be served.
Vitutsi utavijua tu,vimekonda mwili na akili
 
Mkuu jMali ni kweli wanajeshi wa jeshi la Congo wenye asili wa kitutsi wako kwaajili ya Rwanda siku zote vita inapotokea wanavujisha siri Rwanda na hivyo kuwa rahisi kuchwapwa na Rwanda.

Wanajeshi wa jeshi la Congo waliokuja kuchukua mafunzo yao TMA Monduli bahati nzuri tulikuwa tunakunywa nao sehemu mbali mbali hapa Jiji Arusha hili wanalijua sana ndio maana hapakuwa hata na mwanajeshi mmoja mwenye asli ya kitutsi aliyebahatika kupata mafunzo Monduli TMA.Hii haikuwa bahati mbaya bali mkakati maalumu wa serekali ya Kabila kuondokana na mamluki wa Kitutsi katika jeshi lao.

Mkuu nadhani unakumbuka sakata la mwajeshi wetu aliyetorokea Rwanda baada ya kubainika anavujisha siri Rwanda.Huu ni mkakati wa muda mrefu wa serekali ya Kagame wa kuwatumia watutsi waliotapakaa nchi za Uganda,Tanzania,Burundi na Congo kwa manufaa yake.Bahati nzuri Tanzania ilipobaini mkakati wa Kagame hatua stahiki za kiusalama zilichukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwabaini,kuwaondoa katika nafasi nyeti au kuwatimua mara moja.Mkakati huu tumeupeleka Congo kwa kuanzia hakuna mtusti atakayeajiriwa na jeshi la Congo au chombo chochote cha usalama,kupandisha ada ya visa kwa raia wote wa Rwanda nadhani ulisikia walivyolialia baada ya serekali ya Congo kuanzisha utaratibu wa VISA huu ni mkakati maalumu wa kuhakikisha hakuna raia wa Rwanda wataoaingia Congo bila kutambuliwa na kupunguza idadi ya raia wake wanaoingia Congo hovyo.

Sababu nyingine kubwa ni kuwa walikuwa wanachapwa! Rwanda siku zote huwa inafanya vita kwa kutumia mamluki na fitna lakini sio uwezo wa kijeshi.

1. Uasi wao wa miaka ya 90 ulizimwa kwa sababu walikuwa wanapigana kwa mbinu za kijeshi.
2. waliweza kupindua Rwanda mwaka 94 kwa sababu walijifanya wanataka amani wakasaini mkataba arusha, lakini kumbe walikuwa wamepenyeza askari wa ziada kinyume na mkataba pale kigali, halafu wakatungua ndege ya rais, jambo ambalo halikutegemewa na jeshi la Habyarimana (FAR), jeshi la habyarimana likachanganyikiwa kwa sababu ile ilikuwa ambush, na pale ndipo wale askari waliojipenyeza na silaha zao nzito walipoweza kuwafurusha FAR mpaka DRC. Ingekuwa ni vita ya haki kwa haki, RPF wangepigwa tu.
3. Sasa shida ikawa kufikia DRC, FAR wakawa wamejipanga, na sasa ndio baadhi yao wamo FDLR, kuanzia hapo Rwanda kila akiwafuata kule misituni anachapwa kama mtoto mdogo, hasira zake anamalizia kwa watoto na wanawake wakimbizi lakini kamwe hawezi kumaliza FDLR. Hii ni kwa sababu 80% ya wanyarwanda ni wahutu, lakini jeshi ni overwhelmingly watutsi. watutsi hawa huwa wanalazimishwa tu kujiunga jeshi lakini sio askari toka mioyoni mwao. Hivyo wakipelekwa front-line wanadundwa tu.
4. RDF inajisifia kwa kupindua DRC na kuwapiga waganda ndani ya DRC. Hii ni kweli, ila hapa huwa wanatumia ile mbinu ya mamluki. Askari wa DRC na Uganda ambao wana asili ya kitutsi ndio ambao hutumika kufanya sabotage ya majeshi ya nchi yao kwa ajili ya Rwanda, hutoa siri, huharibu mipango, n.k ndio maana DRC kila siku alikuwa anapigwa na Rwanda sio kwa sababu Rwanda wana uwezo, bali ni kwa sababu robo ya jeshi la DRC ni watutsi, sometimes ilikuwa inatokea DRC wakipigana na Laurent Nkunda wanajeshi wanarudi njiani wanadai wamepigwa lakini basically ni kuwa wamempisha tu Nkunda. Ndio maana kuna wakati waasi wa kitutsi waliposamehewa na kurudishwa jeshini, DRC ikasema sharti mojawapo ni wao kuwa deployed maeneo mengine mbali na eastern DRC, WALIKATAA! ni kwa sababu ili Rwanda ifanikiwe DRC, wale mamluki lazima wawe maeneo yale yale ya eastern DRC ili kufanya uhujumu.
Hio ndio sababu wanaweza kwenda DRC kuteka maeneo ya madini lakini hawawezi kuwapiga FDLR ambao kwa sasa ni wachache sana, kwa miaka 20 sasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom