Rwanda pushes for military action against FDLR, Tanzania hesitant

Rwanda pushes for military action against FDLR, Tanzania hesitant

Kagame angekuwa na jeshi kama letu nadhani East Afrika tungeshika adabu!!!
 
Sihamii Rwanda. Mimi ni m-Tanzania. You flat-nosed s.o.b!

most pf us bantus are flat-nosed, you sound like a tutsi-supremacist ambaye of course has a pointed nose, badili matusi yako angalau yasikutambulishe kama mtutsi mbaguzi mwenye msimamo mkali!
 
wewe sama tanzania haiwezi mwaga damu za wahutu,ila za watusi mko tayari.

swali ni why? why would Tanzania with over 120 tribes be so hostile against the tutsi only? what's so special about the tutsi that they have to be hated so much?
 
Hivi RDF (RWANDA) si imewahi kwenda CONGO DR mara nyingi, hawakufika huko waliko FDRL?

Walikuwa busy wanapora madini...
Sijui wakiruhusiwa kwenda madini hawatayaona?

Sababu nyingine kubwa ni kuwa walikuwa wanachapwa! Rwanda siku zote huwa inafanya vita kwa kutumia mamluki na fitna lakini sio uwezo wa kijeshi.

1. Uasi wao wa miaka ya 90 ulizimwa kwa sababu walikuwa wanapigana kwa mbinu za kijeshi.
2. waliweza kupindua Rwanda mwaka 94 kwa sababu walijifanya wanataka amani wakasaini mkataba arusha, lakini kumbe walikuwa wamepenyeza askari wa ziada kinyume na mkataba pale kigali, halafu wakatungua ndege ya rais, jambo ambalo halikutegemewa na jeshi la Habyarimana (FAR), jeshi la habyarimana likachanganyikiwa kwa sababu ile ilikuwa ambush, na pale ndipo wale askari waliojipenyeza na silaha zao nzito walipoweza kuwafurusha FAR mpaka DRC. Ingekuwa ni vita ya haki kwa haki, RPF wangepigwa tu.
3. Sasa shida ikawa kufikia DRC, FAR wakawa wamejipanga, na sasa ndio baadhi yao wamo FDLR, kuanzia hapo Rwanda kila akiwafuata kule misituni anachapwa kama mtoto mdogo, hasira zake anamalizia kwa watoto na wanawake wakimbizi lakini kamwe hawezi kumaliza FDLR. Hii ni kwa sababu 80% ya wanyarwanda ni wahutu, lakini jeshi ni overwhelmingly watutsi. watutsi hawa huwa wanalazimishwa tu kujiunga jeshi lakini sio askari toka mioyoni mwao. Hivyo wakipelekwa front-line wanadundwa tu.
4. RDF inajisifia kwa kupindua DRC na kuwapiga waganda ndani ya DRC. Hii ni kweli, ila hapa huwa wanatumia ile mbinu ya mamluki. Askari wa DRC na Uganda ambao wana asili ya kitutsi ndio ambao hutumika kufanya sabotage ya majeshi ya nchi yao kwa ajili ya Rwanda, hutoa siri, huharibu mipango, n.k ndio maana DRC kila siku alikuwa anapigwa na Rwanda sio kwa sababu Rwanda wana uwezo, bali ni kwa sababu robo ya jeshi la DRC ni watutsi, sometimes ilikuwa inatokea DRC wakipigana na Laurent Nkunda wanajeshi wanarudi njiani wanadai wamepigwa lakini basically ni kuwa wamempisha tu Nkunda. Ndio maana kuna wakati waasi wa kitutsi waliposamehewa na kurudishwa jeshini, DRC ikasema sharti mojawapo ni wao kuwa deployed maeneo mengine mbali na eastern DRC, WALIKATAA! ni kwa sababu ili Rwanda ifanikiwe DRC, wale mamluki lazima wawe maeneo yale yale ya eastern DRC ili kufanya uhujumu.
Hio ndio sababu wanaweza kwenda DRC kuteka maeneo ya madini lakini hawawezi kuwapiga FDLR ambao kwa sasa ni wachache sana, kwa miaka 20 sasa.
 
When TPDF were fighting M23 liberators hamkuona war mongering. Leo ndugu zenu wa FDLR muda wao umefika mnakimbia ili kuwaokoa. Werevu tulilijua hili from the getgo. I am ashamed of being Tanzanian over this. Siamini kodi yangu inatumika kuwalinda na ku-prop waasi wauaji. Membe is a goof ball. Anyway, RDF imejipanga vizuri kwa kuwa walilijua hili la double standards za Tanzania. Hao genocidaire wa FDLR watanyukwa kwa maana wana damu mikononi mwao. Wameachiwa huru kwa miongo miwili sasa. The deadline has passed. Justice will be served.

mtanzania gani wewe unayedai M23 were liberators, liberators from whom? M23 were terrorists pure and simple, just like RPA were terrorists.
FDLR is formed by refugees who ran away from RPA massacres. FDLR sio waasi, ni wanyarwanda halali waliopinduliwa serikali yao na waasi wa RPA. Membe ni mwanaume kamili anaye-call a spade a spade, sio mende-rodi anayetishia nyau kwa mipasho ooh "i will hit.." akiulizwa utam-hit nani anakaa kimya.
RDF imeshindwa kuwapiga ex-FAR since 1994 mpaka leo, in 2009 walichapwa na FDLR in DRC mpaka wakalalamika eti UN ndio imewasaidia, leo nini kimebadilika? Mmesikia FDLR wamerudisha silaha ndio mnajifanya kuchimba mikwara ya kuwapiga? Kama RDF inataka vita na FDLR na sio mazungumzo bora SADC iwarudishie FDLR bunduki zao halafu tuwaachie uwanja tuone.
 
All FDLR regardless of age must be exterminated like the vermin they are. An AK47 wielding teenage genocidaire is fair game for an RDF bullet.

funny how interahamwe had the same ideology you espouse and butchered harmless tutsis just because they were tutsis in 1994. You guys need prayers. You are calling them vermin while they called you cockroaches. Tanzania is trying to help you break this devilish cycle of events, coz trust me after you finish "exterminating the vermin" as you put it, what would stop over 80% of banyarwandans from dealing with 15% "cockroaches" again?
 
JMali, kamuulize JK simu alizopata kutoka kwa wanaoongoza dunia.
Tuwe wazi tu! Hamna mjadala na Angola imeeleza hivyo.

true ni kweli, na inawezekana kabisa FDLR wakapigwa kivita lakini angalau hatutakuwa na mkono katika hilo, tutalala kwa amani usiku bila majinamizi ya dhambi ya kuua wakimbizi wasio na hatia.
 
Duh,hapo kwenye kikao cha mwisho kazi ipo.

Mkuu Msolopagaz, hakuna kikao chochote hii news jMali kaleta ni ya juzi, unajuwa ndugu yangu, Angola wanapesa zao hawatumiwi na SA kama wezangu na mie hapo, waangola baada ya kusikia Zuma anaitisha mkutano tena kwenye nchi yao ndio wakaona wacha wamtolee uvivu, kuna mkutano tarehe 19 lakini Angola ishasema asithubutu mtu kuongelea mambo ya FDLR kwani iyo issue hivi iko mikononi mwa UN! na ule mkutano alioitisha Zuma wa Tarehe 15 waangola hawautambui, hawatapokea mtu
 
..usidanganye.

..Angola ni mwenyekiti wa ICGLR kwa sasa hivi.

..SA ni mwenyekiti wa SADC defence organ.

..Kikao cha Luanda hakikuitishwa na Zuma kilipangwa tangu awali ktk mkutano wa wakuu wa ICGL + SADC.
 
hii tabia yenu ya kulopoka bila facts ndio inaharibu mambo! enhe, lini sasa? tarehe 15 kwa mujibu wa Zuma au 19 kwa mujibu wa ICGL + SADC? je ni kuhusiana na FDLR?
 
swali ni why? why would Tanzania with over 120 tribes be so hostile against the tutsi only? what's so special about the tutsi that they have to be hated so much?

nikuulize wewe jmali unijibu kwani hata mimi sijakuelewa jinsi chuki yako dhidi ya watusi inatisha.
 
mtanzania gani wewe unayedai M23 were liberators, liberators from whom? M23 were terrorists pure and simple, just like RPA were terrorists.
FDLR is formed by refugees who ran away from RPA massacres. FDLR sio waasi, ni wanyarwanda halali waliopinduliwa serikali yao na waasi wa RPA. Membe ni mwanaume kamili anaye-call a spade a spade, sio mende-rodi anayetishia nyau kwa mipasho ooh "i will hit.." akiulizwa utam-hit nani anakaa kimya.
RDF imeshindwa kuwapiga ex-FAR since 1994 mpaka leo, in 2009 walichapwa na FDLR in DRC mpaka wakalalamika eti UN ndio imewasaidia, leo nini kimebadilika? Mmesikia FDLR wamerudisha silaha ndio mnajifanya kuchimba mikwara ya kuwapiga? Kama RDF inataka vita na FDLR na sio mazungumzo bora SADC iwarudishie FDLR bunduki zao halafu tuwaachie uwanja tuone.

yani mimi natamani membe awe rais watanzania katika uchaguzi ujao labda kitaeleweka kwani maneno yamekua mengi sana,labda ata cross ule mstari halafu ale kipondo ahaha jmali utakimbia sijui break safari hii utaikamatia wapi???
 
hii tabia yenu ya kulopoka bila facts ndio inaharibu mambo! enhe, lini sasa? tarehe 15 kwa mujibu wa Zuma au 19 kwa mujibu wa ICGL + SADC? je ni kuhusiana na FDLR?

..wanaopotosha ni magazeti ya Kagame kwa malengo binafsi.

..kwa mfano, mlipotosha pale mlipodai kuwa Tz na SA ndiyo waliwapa FDLR miezi 6 kuweka silaha chini wakati mkielewa kwamba uamuzi huo ulifanywa na kikao cha SADC + ICGLR na Rwanda ilishiriki kikao hicho.

..kama unataka habari za uhakika inabidi u-quote source za uhakika kama taarifa toka SADC, ICGLR, MONUSCO, au UN.

..The East African Magazine, na Rwanda New Times, siyo vyombo vya kuaminika katika suala hili
 
yani mimi natamani membe awe rais watanzania katika uchaguzi ujao labda kitaeleweka kwani maneno yamekua mengi sana,labda ata cross ule mstari halafu ale kipondo ahaha jmali utakimbia sijui break safari hii utaikamatia wapi???

..wacha kutisha watu wewe.

..tulisha cross the line kwa kuwabonda M23/RDF na hamjafanya lolote.

..tena JWTZ walipita huko huko kwenu kwenda Congo kufanyiza, that was ur opportunity to do something kama kweli mna uwezo.
 
..wanaopotosha ni magazeti ya Kagame kwa malengo binafsi.

..kwa mfano, mlipotosha pale mlipodai kuwa Tz na SA ndiyo waliwapa FDLR miezi 6 kuweka silaha chini wakati mkielewa kwamba uamuzi huo ulifanywa na kikao cha SADC + ICGLR na Rwanda ilishiriki kikao hicho.

..kama unataka habari za uhakika inabidi u-quote source za uhakika kama taarifa toka SADC, ICGLR, MONUSCO, au UN.

..The East African Magazine, na Rwanda New Times, siyo vyombo vya kuaminika katika suala hili

Ndio! kwani ni uongo? mlilazimisha miezi sita lakini Rwanda, Uganda, Angola etc wakapinga wakisema ya kwamba ni mda mrefu sana, wakapendekeza miezi mitatu lakini mkang'ang'aniza miezi 6 basi wakaona isiwe tabu, ila time imefika mnaanza kusua sua, aiubu tupu I think Nyerere(RIP) must be turning in his grave.
 
..uamuzi ukifanyika ktk vikao unakuwa uamuzi wa pamoja.

..Nyerere must be turning in his grave kwamba Tz imekaa kimya kwa miaka 20 huku Rwanda ikiua Wahutu na wananchi wa Congo, na kupora mali na madini ya Congo.
 
lakini miezi sita ishapita.
 
yani mimi natamani membe awe rais watanzania katika uchaguzi ujao labda kitaeleweka kwani maneno yamekua mengi sana,labda ata cross ule mstari halafu ale kipondo ahaha jmali utakimbia sijui break safari hii utaikamatia wapi???

kipondo hicho anakitoa nani? jeshi la RDF linalochapwa kwa miaka 20 na a group, not an army, a group of 1500 kids? ikitokea vita kati yetu nyie tutawapiga kwa kutumia hawa panya road!!!
 
lakini miezi sita ishapita.
UN deadline for M23 rebels passes

2013-08-01 18:39

bfc4a9cd1f384b4794cb363256a9cc0f.jpg
United Nations peacekeepers in the DR Congo.(File, AP)

Kinshasa - A deadline set by UN peacekeepers for rebels in the volatile eastern Democratic Republic of Congo to lay down their weapons passed on Thursday, with the fighters facing force if they fail to disarm.
The M23 rebel group, which launched a fresh offensive against the Congolese army outside the flashpoint city of Goma on 14 July, on Wednesday dismissed the ultimatum as irrelevant.
The UN mission in DR Congo, Monusco, gave them until 16:00 (14:00 GMT) on Thursday "to hand in their weapons to a Monusco base" and join a demobilisation programme.
"We consider that this measure does not concern us," said M23 chief Bertrand Bisimwa. He said his fighters were not in the region south of Goma where much fighting has taken place recently.
A new UN intervention brigade will be used for the first time to help the DR Congo army set up a "security zone" around the city, the international body said.
​
 
nikuulize wewe jmali unijibu kwani hata mimi sijakuelewa jinsi chuki yako dhidi ya watusi inatisha.

Watanzania hatujui kuwa tunachukia watusi ila nyinyi watutsi ndio mnasema hivyo. Ni wewe ndie unatakiwa kusema kwa nini unadhani hivyo.
 
Back
Top Bottom