Rwanda: President Kagame fires Military Intelligence Chief

Huyu Kagame kuna siku hao watu watamlamba risasi
 
Hawa jamaa majina yao yanafanana sana na ya waTanzania, na wengi majina haya yameshika nafasi za juu nchini, natamani kama Rwanda na Burundi zingekuwa sehemu ya Tanzania kama ilivyo Zanzibar.
 
Sababu za kufukuzwa hazijawekwa wazi. Ila hiyo kwamba wakifukuzwa huwa hawabaki salama ni perception tulioijenga tu. Hata kama ilishawahi tokea kwa baadhi either kwa kukusudia au bahati mbaya, haimaanishi ndio utaratibu. Anyway, let us wait and see
wait and see what now for him to kill or for him to run to a safer place maana hata yule mwingine alifuatwa s. Africa akauliwa tuu halafu jamaa anasifiwa ile mbaya atawamaliza huyo mpeni tuu miaka mingine
 
Hawa jamaa majina yao yanafanana sana na ya waTanzania, na wengi majina haya yameshika nafasi za juu nchini, natamani kama Rwanda na Burundi zingekuwa sehemu ya Tanzania kama ilivyo Zanzibar.
wewe Zanzibar inatupeleka puta unataka ulete wahutu na watusi tena balaa lake ni baya wacha wakae kwao. Tutakimbilia wapi wakianza wapenda na waunguja- wahutu na watusi tuombe Mungu yaishe salama
 
wewe Zanzibar inatupeleka puta unataka ulete wahutu na watusi tena balaa lake ni baya wacha wakae kwao. Tutakimbilia wapi wakianza wapenda na waunguja- wahutu na watusi tuombe Mungu yaishe salama

Vita zikitokea kwao wanakimbilia huku daima, na kusema ukweli wapo wengi sana nchini humu, hii mipaka ni ya kufikirika tu, ni bora wangekuwa wenzetu tungewameza. Sizungumzii muungano kama wa Zanzibar...
 
Hawa jamaa majina yao yanafanana sana na ya waTanzania, na wengi majina haya yameshika nafasi za juu nchini, natamani kama Rwanda na Burundi zingekuwa sehemu ya Tanzania kama ilivyo Zanzibar.
Sababu za kufukuzwa hazijawekwa wazi. Ila hiyo kwamba wakifukuzwa huwa hawabaki salama ni perception tulioijenga tu. Hata kama ilishawahi tokea kwa baadhi either kwa kukusudia au bahati mbaya, haimaanishi ndio utaratibu. Anyway, let us wait and see
tatizo unajadiliana na watu wanaoendeshwa na chuki bila kushughulisha ubongo! hawajuwi lolote... wanaleta majina ya watu waliokwepa mkono wa sheria eti ndio "upinzani" huku kwetu kila mtu anashughulishwa kama akipatikana na hatia... kuna wengine ambao wapo magerezani, kunawaliotoka na kuna wanaoelekea huko... lakini baada ya hayo yote tuna dunda noa hapa mitaani! sasa tufanyeje? sheria situmejitilia wenyewe! kwa mfa Lt. Col. Nyamurangwa alipigwa mvua sita akavumilia na akatoka tena alitoka kanawili kweli na hivi ni pastor, upo hapo? hawa Interahamwe kina jMali na Imbonerakure vyuma chuki zao zinawaziba macho/masikio, kero tupu! alafu wanasema hivyo vi pointless vyao eti ndi NONDO... balaa hili lakini hakibadiliki kitu Maziku Masunga Jr. MALCOM LUMUMBA Bukyanagandi
 
Bora ya mtumbua majipu atakuacha uende segerea hilo la kuua hivyo ni hatari sana kwa watu wa damu yako kumwaga damu. wewe ukiondoka wanao hawawi marais sasa unawaweka pabaya sana watahangaika sana. mungu turehemu na janga hili
 
Siku hizi kahamia Salasala...
 
Hawa jamaa wanahitaji kufanya sala ya toba watu wote hao wanapotea tuu, unajua rais anauwa kwa kutumia madaraka inadhuru ardhi ya nchi . Tunamajirani hatari sana nimeona kwanini Mkwere alimindi sana Jeshi baada ya kukorofishana na huyu jamaa
 
Mkuu habari za Salasala
 
hivi kwa nini unapenda kuvizia? kama watu hawapo basi unatiririka na misumu yako mpaka basi! hao watu tusha wajadili sana na madhambi yao wote yanajulikana... halafu unapofika kwa watu nnaowajuwa fika, tena nje ndani kama GAHIMA na RUDASINGWA nabaki kukuonea huruma tu... hivi umesahau jinsi alivyomfungia ndugu yako kwenye container marekani kwa sababu ya ukabila tu? today is your HERO right?
 
Hamna cha ajabu, ni wajibu wa Rais kubadili kila wakati wakuu wa majeshi na usalama pale anapoona kuna haja. Kiusalama huyu jamaa hana tatizo ataendelea kuishi vizuri Rwanda, ingawa kuna baadhi wanamtabilia ubaya siyo wao ni mungu, au watabiri wa maisha ya wengine.
 
Hawa jamaa majina yao yanafanana sana na ya waTanzania, na wengi majina haya yameshika nafasi za juu nchini, natamani kama Rwanda na Burundi zingekuwa sehemu ya Tanzania kama ilivyo Zanzibar.
Kwahiyo unataka tuzichukue hizo nchi halafu tuzitangaze kama ni wilaya au mikoa ya Tanzania?
 
Wakina murutongore mchambawima1 na Koba wanapita kama hawaoni hii teh teh teh

Hahhaha....tell me something of substance. Huo ndio maana ya uongozi, Kagame habweteki na kulea incompetence..if you are not up to the standards you step aside, right there and then. Rekodi yake speaks for itself. Amekuwa consistent throughout his presidency. Haonei mtu bali anawajibisha mtu ambae anaonekana analegalega. Mtajifunza mengi tu.
 
Huyu Bwana mkubwa ni bingwa wa kueliminate watu asiowapenda ,sasa ajifunze kuishi kama Gen Kayumba Nyamwasa.
 
Lazima atauawa katika mazingira ya kutatanisha, hawezi kumwacha hai na siri zote alizonazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…