Rwanda na Atletico Madrid

Rwanda na Atletico Madrid

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
517
Reaction score
524
Hii Kinshasa wakiona sijui itakuwaje👇🤣
 
Attachments

  • WUoM4xLMXbWXBBue.mp4
    389.1 KB
  • z_BBpWdZxIzWtvxC.mp4
    1.5 MB
  • 20250430_150853.jpg
    20250430_150853.jpg
    299.6 KB · Views: 17
Akili gani hapo upoteza $30m kutangaza Vist Rwanda wakati hata cha ku vist akipo, wanyarwanda wanakufa njaa ni masikini unapoteza 70bn Tanzania shilling huo ni upumbavu.
Punguani wewe,Sekta ya Utalii Tanzania Ndio inaongoza kuchangia pato la taifa.

Achana sekta nyingine zinazolishwa na utalii.

Hizi Ndio vitu tulitakiwa kuvifanya Tanzania kuwa Tourisim Hub,

Bilioni 7 sio kitu,Nitakupa tu mchanganuo, mdogo

Ziltengwa bilioni 30 kukarabati uwanja wa taifa,Bila shaka zimepigwa,Kuna magari ya wakurugenzi yananunuliwa milioni 500 huko

Haya ni maeneo machache tuu.

Lakini zingwekezwa kutangazwa utatalii zingeleta Tija japo zingepigwa pia,mkataba wa bilioni 70 tungeambiwa bilioni 100
 
Alianzia EpL akaenda league one na ss laliga. Angekuwa hapati faida asingeendelea kufanya hivyo
Ni mradi wawatu ungekua unafaida kwa wanyarwanda along toka EPL na kuenda ligi nyingine, kwasbb hamna mtu anae angalia ligi nyingine bila kua anafuatilia epl, mkuu huyu mtu ni sycophant wa wazungu anatumikiashwa to cover up uchafu mqingi anao fanya Rwanda.
 
Punguani wewe,Sekta ya Utalii Tanzania Ndio inaongoza kuchangia pato la taifa.

Achana sekta nyingine zinazolishwa na utalii.

Hizi Ndio vitu tulitakiwa kuvifanya Tanzania kuwa Tourisim Hub,

Bilioni 7 sio kitu,Nitakupa tu mchanganuo, mdogo

Ziltengwa bilioni 30 kukarabati uwanja wa taifa,Bila shaka zimepigwa,Kuna magari ya wakurugenzi yananunuliwa milioni 500 huko

Haya ni maeneo machache tuu.

Lakini zingwekezwa kutangazwa utatalii zingeleta Tija japo zingepigwa pia,mkataba wa bilioni 70 tungeambiwa bilioni 100
Ukiwa unabagi kichwani usije jf kwasbb unajidhalilosha mpumbavu mkubwa mada ni Rwanda sio Tanzania huwezi kulinganisha Rwanda na Tanzania watu 65m kwa watu 12m land coverage mara 50 ya Rwada GdP ya $68bn kwa GDP ya $9bn, mkuu acha kulewa mchana uwe unavuta usiku basi.
 
Acheni wivu, Kusema ukweli Rwanda inapata pesa nyingi na kuifanya nchi ijulikane kwa upana. acheni ujinga wa kufikiria karibu. think big
 
Hapo ni kilo 250 tu ya pure gold kutoka DRC tayani imeshaiweka Rwanda kwenye mkataba na Atletico Madrid
 
Akili gani hapo upoteza $30m kutangaza Vist Rwanda wakati hata cha ku vist akipo, wanyarwanda wanakufa njaa ni masikini unapoteza 70bn Tanzania shilling huo ni upumbavu.
Mkuu mtu kaamua kufanya investment ambayo yeye kwa sababu zake na mahesabu yake kaona inamlipa, anatokea mtu kama wewee unasema tena bila sababu za msingi kuwa anafanya ujinga, wewee upo category ipi? Hao warwanda wanakufa njaa sababu ya hizo $30m kwingine njaa zimetaradadi kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom