Rwanda na Atletico Madrid

Rwanda na Atletico Madrid

Ni mradi wawatu ungekua unafaida kwa wanyarwanda along toka EPL na kuenda ligi nyingine, kwasbb hamna mtu anae angalia ligi nyingine bila kua anafuatilia epl, mkuu huyu mtu ni sycophant wa wazungu anatumikiashwa to cover up uchafu mqingi anao fanya Rwanda.
Madini ya congo YAPO.
 
Punguani wewe,Sekta ya Utalii Tanzania Ndio inaongoza kuchangia pato la taifa.

Achana sekta nyingine zinazolishwa na utalii.

Hizi Ndio vitu tulitakiwa kuvifanya Tanzania kuwa Tourisim Hub,

Bilioni 7 sio kitu,Nitakupa tu mchanganuo, mdogo

Ziltengwa bilioni 30 kukarabati uwanja wa taifa,Bila shaka zimepigwa,Kuna magari ya wakurugenzi yananunuliwa milioni 500 huko

Haya ni maeneo machache tuu.

Lakini zingwekezwa kutangazwa utatalii zingeleta Tija japo zingepigwa pia,mkataba wa bilioni 70 tungeambiwa bilioni 100
Sure Bora hizo Hela zingetupwa huko kuliko wanavyogawana wanasiasa na mafisadi
 
Hii Kinshasa wakiona sijui itakuwaje👇🤣
Huyu jamaa anapoteza pesa zisizoweza kurudi kabisa.
Hakuna impact hadi sasa ya huo udhamini mdogo anaoufanya huko Ulaya aisee.
 
Huyu jamaa anapoteza pesa zisizoweza kurudi kabisa.
Hakuna impact hadi sasa ya huo udhamini mdogo anaoufanya huko Ulaya aisee.
Kwa mujibu wako wewe! Hivi biashara awekeze mwingine hasara/faida atangaze mwingine tena ambaye hahusiki na huo uwekezaji. Hili linatokana na nini???
 
Kwa mujibu wako wewe! Hivi biashara awekeze mwingine hasara/faida atangaze mwingine tena ambaye hahusiki na huo uwekezaji. Hili linatokana na nini???
Hii dunia inaenda kwa udadisi na udadavuzi.
Kaa piga hesabu halafu utapata majibu.
 
Huyu jamaa anapoteza pesa zisizoweza kurudi kabisa.
Hakuna impact hadi sasa ya huo udhamini mdogo anaoufanya huko Ulaya aisee.
Ahahaha Asiyewekeza ndio anatoa hasara hahaha hii Kali yaani pesa kawekeza mwingine hasara a faida unatoa wewe
 
Akili gani hapo upoteza $30m kutangaza Vist Rwanda wakati hata cha ku vist akipo, wanyarwanda wanakufa njaa ni masikini unapoteza 70bn Tanzania shilling huo ni upumbavu.
Linyumbu hilo, yenyewe yapo kujaribu kumkandia Samia tu Kila siku.....bahati mbaya kwao hakuna dalili ya kufanikiwa hata kidogo.
 
A

Kusema ule ukweli angekuwa kagame ni rais wetu asinge gawa bandari zetu Kwa Dp world Wala asingekubali upuuzi wa picha yake kuwekwa kwenye ule mnara Dubai
Linyumbu jingine hili hapa.......mtajifungua siku si zenu!
 
Kagame anatumia hela vibaya

Wenzake wanatumia hela kujenga mabwawa ya umeme. Na kujenga treni za umeme.

Yeye anatumia hela kuwapa timu za soka za wazungu. Wakati timu ya jeshi lake APR haiwezi hata kumsajili mzize
 
Back
Top Bottom