BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,913
baada ya serikali ya ubelgiji kuzifunga akaunti za benki za ubalozi wa rwanda nchini ubelgili,rwanda nayo ime zifunga akaunti za ubalozi wa ubelgiji nchini rwanda kwani ubelgiji imekiuka sheria ya balozi makubaliano ya geneva.TANZANIA WEZI WA EPA,RICHMOND,STIMULUS PACKAGE,SHIMBO,CHENGE HAWAJAFUNGIWA AKAUNTI ZAO ZA BENKI,RWANDA WAMETHUBUTU PAMOJA NA KUWA RWANDA ILIKUA KOLONI LA UBELGIJI