Rwanda kurejesha madini Congo

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
279
Katika jitihada za kujisafisha mbele ya jumuiya ya kimataifa, leo serekali jambazi ya Rwanda inarejesha tani 82 za madini. Laajabu wanarudisha iron ore na tin. Kwanini wasirejeshe rare earth metals walizoiba?
 
Aksante.....
Lakini tunaomba chanzo ili tupate taarifa zaidi.....
 
Katika jitihada za kujisafisha mbele ya jumuiya ya kimataifa, leo serekali jambazi ya Rwanda inarejesha tani 82 za madini. Laajabu wanarudisha iron ore na tin. Kwanini wasirejeshe rare earth metals walizoiba?

..OMG,watu wengine sijui kama mnaelewa mnacho post humu?serikali inapigana na illegal trades/smuggler wewe unawaita majambazi? is like serikali ya Kenya iwakamate watu wanao smuggle tanzanite through Kenya na kuzirudisha serikali ya Tanzania.
 
@Koba, haiko hivyo hata kidogo. Hii vita ya Kongo ina mikono ya watu/nchi nyingi. Madini yamekuwa laana kwa watu wa Kongo. Rwanda hawako clean kama ambavyo tungependa kuamini.
 
Back
Top Bottom