Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Rais wa Rwanda, Mh Paul Kagame ameomba walimu wengi kutoka Zimbabwe kwenda kuziba nafasi nyingi za walimu wa msingi na sekondari nchini mwake!!!
Hatua hii kiukweli kama wewe ni mwana East Africa lazima uishangae!! Kulikoni walimu wa nchi wanachama waachwe !? Kuna Uganda ,Kenya and the Giant Tanzania?!! Ikumbukwe Tanzania haijaajiri walimu wa muda mrefu hivyo maelf ya walimu wapo mtaani wanazurura!
Mh PK hatuamini!?? Au uwezo wetu sisi kama watz?! Kutoi master lugha ya malikia ndio umetuponza!??
Lakin mbona Uganda wapo vizuri katika lugha ya malikia!??
Hapa PK katuangusha
Tukizubaa, Rwanda will have an upper hand in the region economic affairs.