Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,901
- 20,106
Wamezagaa kibao tu hapa kanombe na wakisikia kiswahili changu ndio wananiona kama muwekezaji vile. Wanashoboka sana. Ngoja hawa waasi wakiwashe ntakuletea mtoto mkali ever hadi magetoni kwako mwanangu D.
Vita zina faida na hasara zake.
Mkuu Humble nashukuru sana, wacha tunoe cv zetu maana Nchi za wazalisha mitumba watakuwa wanajiandaa kufungua Mashirika kusaidia wakimbizi.
Ila mkuu kwa sasa ninamiliki mkimbizi mmoja huku Tanzania anaitwa JesTiiiker.