babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,301
- 20,881
Its time Rwanda has to stop killing their own people by nosense reason.
Mojawapo ya vitu ambavyo Kagame amefanya kuisaidia Rwanda kuepukana na huu mvutano wa kikabila ni kupiga marufuku identity ya makabila, na hata kwenye serikali ya RPF kuna viongozi Wahutu. Vyama vya siasa vinaruhusiwa ili mradi visiwe na mrengo wa kikabila na visiwe na identity ya kikabila. Alianzisha mahakama za Gacaca ambako wale walioshiriki katika genocide wanatubu na kusamehewa. Hata Wahutu waliokimbilia Congo walikaribishwa warudi lakini kwa maoni yangu wale ambao hawataki kurudi ni wale ambao mpaka sasa hawakubaliani na status quo. Na miongoni mwao ni FDLR. Sasa hapo utajiuliza hawa FDLR wanataka nini? They want to come back as a Hutu movement and if that is the case what is there to talk about with Kagame?Convince me with a better argument. Mimi napinga hoja yako kwa sababu zifuatazo. Baada ya vita kuu ya Pili ya Dunia, mambo makuu kadhaa yalitokea, lakini kubwa ninalo liona mimi lilikuwa lile ya mwenye nguvu kutafuta maridhiano ya wale walio shindwa. Vita ya Rwanda Wahutu walishindwa SI kwa sababu Watusi peke yao waliwazidi Wahutu nguvu , bali kwa sababu walijitokeza watu kuwasaidia Watusi kwa huruma ya mauaji ya Kimbari.
Wale waliokuwa wamewasaidia Watusi kuingia maradarakani walikuwa watu wa nje. Hawa watu walitaka wafukuze Wahutu ile nchi ibakie kuwa ya Watusi Peke yao? Najua utakubaliana na mimi kuwa lengo si hilo. Walio wasaidia Watusi walikuwa wanatufuta kupunguza nguvu ya Wahutu ili kuleta amani pale Rwanda watu (Watusi na Wahutu) wakae pamoja kwa amani.
Tatizo ni kwamba kilichotokea pale Watusi wanataka wakae peke yao. Ili kujua namna ya kukaa pamoja mazungumzo ni kitu cha Msingi kabisa. Hakuna njia mbadala.
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya dunia Marekani aliibuka Mtawala wa dunia. Kitu cha kwanza alichofanya baada ya kuibuka mshindi ilikuwa kutafuta amani na wale aliowashinda nguvu. Na haya yalifanyika kwa njia za mazungumzo; mazungumzo ambayo yalisababisha Ulaya Magharibi na Japani --sehemu ambako Marekani walikuwa wameweka mchango mkubwa sana wa kuchakaza watu na miundombinu--kupewa misaada mingi na hatimaye kujenga mahusimano makubwa sana na maridhiano. Marekani ilichukua jukumu la Kuilinda Japani na kuiwezesha kiuchumi. Walipewa pesa nyingi za kufufulia uchumi. Pale Ulaya Magharibi vivyo hivyo ulipelekwa msaada wa kufufulia uchumi na huduma muhimu za Kijamii. Mahitaji haya yalijulikana kwa kuzungumza kati ya mwenye nguvu na yule asiye na nguvu.
Huwezi kujua huyu unayepigana naye anataka nini hasa ili kumaliza vita bila kufanya mazungumzo naye. Kwa hiyo Mazunguzo ni jambo la msingi sana katika kutafuta amani.
Hizi pande mbili zinatakiwa kuweka madai yao mezani ili madai haya yaanze kujadiliwa kutafuta mwafaka. Wahutu ni Wengi kuliko Watusi. Bila mazungumzo kuona ni kwa njia gani hawa wengi na hawa wachache wanaosaidiwa kuwa madarakani kwa nguvu kutoka nje wanaweza kumaliza tofauti zao, vita hii haitaisha bila kuzungumza.
Wewe sasa nipe maelezo yanayojitosheleza kwanini amani itapatikana Rwanda kwa kabila dogo kukandamiza kabila kubwa. Yaani sikuelewi kabisa Mkuu!
I hope jokaKuu na wote wanaomtetea Kikwete katika saga hili wataisoma makala hii.
Convince me with a better argument. Mimi napinga hoja yako kwa sababu zifuatazo. Baada ya vita kuu ya Pili ya Dunia, mambo makuu kadhaa yalitokea, lakini kubwa ninalo liona mimi lilikuwa lile ya mwenye nguvu kutafuta maridhiano ya wale walio shindwa. Vita ya Rwanda Wahutu walishindwa SI kwa sababu Watusi peke yao waliwazidi Wahutu nguvu , bali kwa sababu walijitokeza watu kuwasaidia Watusi kwa huruma ya mauaji ya Kimbari.
Wale waliokuwa wamewasaidia Watusi kuingia maradarakani walikuwa watu wa nje. Hawa watu walitaka wafukuze Wahutu ile nchi ibakie kuwa ya Watusi Peke yao? Najua utakubaliana na mimi kuwa lengo si hilo. Walio wasaidia Watusi walikuwa wanatufuta kupunguza nguvu ya Wahutu ili kuleta amani pale Rwanda watu (Watusi na Wahutu) wakae pamoja kwa amani.
Tatizo ni kwamba kilichotokea pale Watusi wanataka wakae peke yao. Ili kujua namna ya kukaa pamoja mazungumzo ni kitu cha Msingi kabisa. Hakuna njia mbadala.
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya dunia Marekani aliibuka Mtawala wa dunia. Kitu cha kwanza alichofanya baada ya kuibuka mshindi ilikuwa kutafuta amani na wale aliowashinda nguvu. Na haya yalifanyika kwa njia za mazungumzo; mazungumzo ambayo yalisababisha Ulaya Magharibi na Japani --sehemu ambako Marekani walikuwa wameweka mchango mkubwa sana wa kuchakaza watu na miundombinu--kupewa misaada mingi na hatimaye kujenga mahusimano makubwa sana na maridhiano. Marekani ilichukua jukumu la Kuilinda Japani na kuiwezesha kiuchumi. Walipewa pesa nyingi za kufufulia uchumi. Pale Ulaya Magharibi vivyo hivyo ulipelekwa msaada wa kufufulia uchumi na huduma muhimu za Kijamii. Mahitaji haya yalijulikana kwa kuzungumza kati ya mwenye nguvu na yule asiye na nguvu.
Huwezi kujua huyu unayepigana naye anataka nini hasa ili kumaliza vita bila kufanya mazungumzo naye. Kwa hiyo Mazunguzo ni jambo la msingi sana katika kutafuta amani.
Hizi pande mbili zinatakiwa kuweka madai yao mezani ili madai haya yaanze kujadiliwa kutafuta mwafaka. Wahutu ni Wengi kuliko Watusi. Bila mazungumzo kuona ni kwa njia gani hawa wengi na hawa wachache wanaosaidiwa kuwa madarakani kwa nguvu kutoka nje wanaweza kumaliza tofauti zao, vita hii haitaisha bila kuzungumza.
Wewe sasa nipe maelezo yanayojitosheleza kwanini amani itapatikana Rwanda kwa kabila dogo kukandamiza kabila kubwa. Yaani sikuelewi kabisa Mkuu!
Mojawapo ya vitu ambavyo Kagame amefanya kuisaidia Rwanda kuepukana na huu mvutano wa kikabila ni kupiga marufuku identity ya makabila, na hata kwenye serikali ya RPF kuna viongozi Wahutu. Vyama vya siasa vinaruhusiwa ili mradi visiwe na mrengo wa kikabila na visiwe na identity ya kikabila. Alianzisha mahakama za Gacaca ambako wale walioshiriki katika genocide wanatubu na kusamehewa. Hata Wahutu waliokimbilia Congo walikaribishwa warudi lakini kwa maoni yangu wale ambao hawataki kurudi ni wale ambao mpaka sasa hawakubaliani na status quo. Na miongoni mwao ni FDLR. Sasa hapo utajiuliza hawa FDLR wanataka nini? They want to come back as a Hutu movement and if that is the case what is there to talk about with Kagame?
Highlander mkuu maelezo yako yanashibisha,hiyo vita haitaisha majeshi yake mara kadhaa yamejaribu kukifuata kikundi cha FDLR huko kilikojichimbia yaani DRC ili kukifuta lakini wapi,sawa na M7anavyokimbizana na KONYI huko uganda.Cha msingi PK asahau kuwa atatawala Rwanda milele suluhu ni kupatana tu na kukubali kuwa wamoja.
Mojawapo ya vitu ambavyo Kagame amefanya kuisaidia Rwanda kuepukana na huu mvutano wa kikabila ni kupiga marufuku identity ya makabila, na hata kwenye serikali ya RPF kuna viongozi Wahutu. Vyama vya siasa vinaruhusiwa ili mradi visiwe na mrengo wa kikabila na visiwe na identity ya kikabila. Alianzisha mahakama za Gacaca ambako wale walioshiriki katika genocide wanatubu na kusamehewa. Hata Wahutu waliokimbilia Congo walikaribishwa warudi lakini kwa maoni yangu wale ambao hawataki kurudi ni wale ambao mpaka sasa hawakubaliani na status quo. Na miongoni mwao ni FDLR. Sasa hapo utajiuliza hawa FDLR wanataka nini? They want to come back as a Hutu movement and if that is the case what is there to talk about with Kagame?
Jasusi,I hope jokaKuu na wote wanaomtetea Kikwete katika saga hili wataisoma makala hii.
Watu wote wanaoshabikia vita vichwani mwao ni watupu, wanastahili kupuuzwa.Mr. kagame siku zako zinahesabika. Tunasubiri agizo la JK tuje tukusalimie Kigali.
[/QUOTE]Rwanda ni Janga kwa nchi za maziwa MakuuQUOTE=Bongolander;7013163]Well, we will hear a lot about Rwanda in coming weeks and months. It looks like there is a need to open a special forum for Rwanda. Jukwaa la siasa, jukaa la kimataifa na jukwaa la great thinkers kote kuna habari kuhusu Rwanda. Invisible, ikiwezekana tuwe na Rwanda Forum, kama ilivyo ya Kenya. Kuna memmbers wazuru sana nchi rwanda wa forum hii.
Kitendo cha Dr. Slaa kumkumbatia Kagame kinaleta maswali mengi sana!
Slaa ameingia deal gani na Kagame? Kwa manufaa ya nani?
mkuu hebu mimi mnikumbushe John Bosco ntaganda,na General Nkunda hawa walikuwa M23 au?????? ila nahisi walikuwa wanasaidiwa na Rwanda.Jasusi,
..Rwanda wanasaidia M23, na DRC wanasaidia FDLR.
..DRC wanafanya mazungumzo ya amani na M23, sasa kwanini Rwanda hawazungumzi na FDLR?
..binafsi sielewi nyinyi mnaomshabikia Kagame hoja yenu ni nini haswa. we have already tried WAR and 3 million Congolese have died. Since u dont belive in peace talks, the come up with a different idea on how to bring this conflict to an end.
NB:
..FDLR ilianzishwa in 2000 kwa msaada wa DRC.
..sasa jiulize Rwanda na Uganda wamekuwa wakifadhili uasi dhidi ya DRC since when.
..unawakumbuka kina Bizima Karaha, Wamba Dia Wamba, Jean Bemba?? Unakumbuka nani alikuwa anawa-sponsor?
cc😡 Dr.W.Slaa, Ben Saanane, Nguruvi3
akili ndogo haiwezi tawala akili kubwa.wewe ulishamuuliza mkuu wa wa nchi ana tatizo gani na kagame?.Kuna kitu tena sio hii issue ndogo ya upatanishi.kuna kitu cha siku nyingi sana.wenye vichwa vya banzi hawezi kuona.
I hope jokaKuu na wote wanaomtetea Kikwete katika saga hili wataisoma makala hii.
Hapana. Kwa maoni yangu amani haiwezi kupatikana Rwanda kwa kuzungumza na FDLR. Ni kama vile umwambie Myahudi enzi za holocaust azungumze na Wanazi. Kikwete is still wrong on this.