Rwanda elimu bure

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,522
860
Kama safari za nje ya nchi kwa Rais wa Nchi zingelikuwa na tija basi Rais Kikwete tangu aingie madarakani ameisha fanya safari takribani 337 kwa mujiubi wa Fr. sindhani kama Rais kagame anasafiri kama mwenzake, na kama hivyo ndivyo basi Rais kikwete amuulize mwenzake wapi , amepata msaada kufika serikali yake pamoja na kuwa hawana rasilimali kama za kwetu. kadhalika ni Nchi iliyotoka ktk vita na ubaguzi uliotopea. bali serikali imeweza kutoa elimu bure (kwa maana ya bure) kuanzia darasa la kwanza hadi form 3.tunaschoshuuhia kwetu ni tambo za rais eti kwa shahada binafsi alizotunzwa huko USA, kuhusiana na soko la hisa la NASDAQ. haitusaidii sisi zaidi ya kutudhalilisha mbele ya jamii yenye mtazamo wa mbele.Nchi yetu inazidi kuwa Taifa la wajinga ukilinganisha na miaka ya nyuma nani atanusuru vizazi vijavyo...? YAKO WAPI MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA....?
 

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Hao ndio viongozi mfano wa kuigwa. Tanzania hatuwezi pesa zote zinaishia kulipana posho na safari za nje, kwenye elimu, afya na maendeleo, pesa kiduchu.
 

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Huu ni muda wa kujitokeza na kukataa uhanisi wa hawa wahuni! Nchi yetu lazima tuikomboe wenyewe!mpumbavu anasema hamia rwanda ukasome bure sijui katumwa au kaingiaje humu while is not agreat thinker,tunahitaji tutafute haki zetu wenyewe!
 

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
280
Huu ni muda wa kujitokeza na kukataa uhanisi wa hawa wahuni! Nchi yetu lazima tuikomboe wenyewe!mpumbavu anasema hamia rwanda ukasome bure sijui katumwa au kaingiaje humu while is not agreat thinker,tunahitaji tutafute haki zetu wenyewe!

Lazima tukemee ujinga na kuiga mema. Hapa tulipo Tanzania hatukustahili kuwa hapa mpaka leo wanafunzi wanakaa chini.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom