Rwanda delists Kilimanjaro Cement from preferential treatment

Rwanda delists Kilimanjaro Cement from preferential treatment

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
76,339
Reaction score
108,012
Rwanda has delisted Kilimanjaro Cement produced by Amson?s Tanzania Ltd from preferential treatment as part of its anti-dumping campaign to check external competition threatening the domestic market.

But the Tanzanian cement manufacturer has appealed to the EAC committee on non-tariff barriers against the decision on Rwanda.

Kigali, once a net importer of cement, is slowly building production capacity among local cement makers. Cimerwa and Kigali Cement have increased production capacity and will soon be able to supply local demand and also position the country to start exporting cement.

Kilimanjaro Cement now attracts 25 per cent import duty like other goods imported from outside the East African Community and Comesa.

Rwandan officials allege that Kilimanjaro Cement is imported from Pakistan and repackaged in local bags and so is not qualified to be treated as manufactured within the region.

William Musoni, Commissioner Customs Services at the Rwanda Revenue Authority, said before the Kigali government blacklisted Kilimanjaro cement after they jointly carried out investigations with officials from EAC Secretariat that confirmed their fears that indeed some of the cement exported from Tanzania is repackaged.

During the 18th East African Community regional forum on non-tariff barriers Rwandan was accused of maintaining non tariff barriers in respect of rules of origin.

The East African Community Legislative Assembly recently passed a binding legislation to eliminate non-tariff barriers to trade among East African Community partner states.

Kilimanjaro Cement is now required to deposit a financial security bond, which has resulted in the retail price of the cement shooting up by 23 per cent.

Kilimanjaro Cement has risen from $13 to $16 per 50 kilo bag, making it the most expensive on the market.

Comparatively, Uganda?s Hima Cement which is accorded preferential treatment costs $13 per 50 kg bag just like the locally manufactured Cimerwa Cement.

This translates into a 200,000 tonne surplus of locally produced cement on the Rwandan market. The country also imports cement from regional makers.

Analysts welcomed Rwanda?s move to protect its cement manufacturers

Source: The East African

MY TAKE
Protectionism at its best! Kilimanjaro cement factory exists in Mbagala i wonder where these lame excuses come from!

nomasana,
MK254, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, bagamoyo, Ngongo, AbTitchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=226515"]Yule-Msee[/URL], [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=202742"]waltham[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=118"]Mzee Mwanakijiji[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=103904"]Mwananchi[/URL][/B][/B]

MY TAKE
Protectionism at its best! Kilimanjaro cement factory exists in Mbagala i wonder where these lame excuses come from!

[/SIZE][/FONT][/COLOR]
nomasana,
MK254, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, bagamoyo, Ngongo, AbTitchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=74204"]Dhuks[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=226515"]Yule-Msee[/URL], [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=202742"]waltham[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=118"]Mzee Mwanakijiji[/URL], [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=103904"]Mwananchi[/URL][/B][/B][/B]

Please chech your facts agsin!
The cement factory is in Mbagala, I can confirm that they are re-bagging imported cement, no production is done at the site
 
Rwanda delists Kilimanjaro Cement from preferential treatment

MY TAKE
Protectionism at its best! Kilimanjaro cement factory exists in Mbagala i wonder where these lame excuses come from!

Watu wameshafanya homework yao,hizi deal za mafisadi wanazokula 10% za wahindi ndio matokeo yake hayo,unatetea tuu kwa sababu ni Rwanda ndio wamefanya hivyo lakini wanaoumia ni wananchi na Taifa kwa ujumla maana hizi deal ndio zinaua local manufacturers,hapo Rwanda kasaidia sana Tanzania kuwaanika hao matapeli kilichobaki TZ wafanye kazi yao na wao sio kulalamika tuu
 
Arobaini ikifika huwezi kulazimisha zirudi 39. Magufuli ana kazi kupambana na vitu kama hivi
 
Geza Ulole,

..nadhani awamu hii ya Magufuli tujielekeze kujenga nchi yetu.

..there is a lot to be done in Tanzania kuliko kuanza kusumbuana na majirani zetu ktk EAC au SADC.
 
Last edited by a moderator:
Geza Ulole,

..nadhani awamu hii ya Magufuli tujielekeze kujenga nchi yetu.

..there is a lot to be done in Tanzania kuliko kuanza kusumbuana na majirani zetu ktk EAC au SADC.

Mkuu umeongea kitu cha msingi sana
 
Last edited by a moderator:
Its true no production just re packing its home shopping centre guy!
 
Geza Ulole,

..nadhani awamu hii ya Magufuli tujielekeze kujenga nchi yetu.

..there is a lot to be done in Tanzania kuliko kuanza kusumbuana na majirani zetu ktk EAC au SADC.

EAC ni kama imekufa.
 
Last edited by a moderator:
Nilijua tu kule kwa yule mtusi watadunda tu,maana walishaanza kijipenyeza, mwisho wangechomeka na mashuka made in tz kumbe.....!.
 
Nilijua tu kule kwa yule mtusi watadunda tu,maana walishaanza kijipenyeza, mwisho wangechomeka na mashuka made in tz kumbe.....!.

Duuu, hii ni kali. Am sure rwanda/kagame is not happy with Magufuli because he do not know him......LOL
 
Sijawahi kuona/sikia CEMENT inayo zalishwa Tanzania yenye jina la Kilimanjaro Cement! Nafikiri uhuni huu wa ku rebag bidhaa unatumika vile vile kwenye biashara ya SUKARI.
 
Sijawahi kuona/sikia CEMENT inayo zalishwa Tanzania yenye jina la Kilimanjaro Cement! Nafikiri uhuni huu wa ku rebag bidhaa unatumika vile vile kwenye biashara ya SUKARI.

Kuna KILIMANJARO CEMENT made in Pakistan by LUCKY CEMENT company na pia ipo inayozalishwa Kisarawe Tanzania by KILIMANJARO CEMENT Company. Zinatofautiana kwa packaging.
 
Kuna KILIMANJARO CEMENT made in Pakistan by LUCKY CEMENT company na pia ipo inayozalishwa Kisarawe Tanzania by KILIMANJARO CEMENT Company. Zinatofautiana kwa packaging.

Mkuu mimi nafikiri kuna mchezo unafanyika hapa, sina shaka kampuni ya Kisarawe ikifatiliwa kwa karibu kujua mmiliki wa kiwanda si ajabu ukakuta ni Wapakistani wale wale wa LUCKY CEMENT - wala sitashangaa ikibainika wameweka mashine za geresha tu wanacho fanya ni ku-rebag LUCKY CEMENT ya Pakistani na kujifanya imezalishwa hapa hapa Tanzania, we inakuwaje Cement izalishwe Pakistani ipachikwe jina la Kilimanjaro - kwa nini si Karachi au Islamabad, hawa wenzetu wana mbinu nyingi sana wasipo fatiliwa kwa karibu wanaweza kukosesha Taifa mapato. Kwa nini nasema hivyo - miaka ya nyuma kulikuwa na kiwanda cha UMMA kilijulikana kama "light source" baadae kikabinafsishwa wakapewa Wahindi kwa makubaliano kwamba watakiendeleza kwa kuzalisha bulbs na tubelights sasa nini kilitokea baadae - Wahindi wakang'oa mashine badala yake wakawa wana agiza light sources kutoka India zikifika kiwandani wanaweka kwenye maboksi na kuweka nembo eti "made in Tanzania!"
 
Duuu, hii ni kali. Am sure rwanda/kagame is not happy with Magufuli because he do not know him......LOL

Mh. PK anaweza kuwa na matatizo yake kama binadamu, lakini linapokuja suala la uwajibikaji na usimamizi PK ni mfano wa kuigwa na Viongozi wengi wa Africa. Binafsi sina shaka Mh.PK na Dk.Magufuli wataelewana vizuri tu kwa kuwa wote matra zao ni "KAZI TUU" vile vile PK atamshauru JPM jinsi ya ku-deal na wala rushwa na uwajibikaji kazini si hilo tu hata ujenzi wa reli ya kati utapewa msukumo mpya.
 
Inashangaza lakini yawezakuwa kweli. Niliwahi kubahatika kupita hapo Kisarawe kiwandani kwa nje, nikawakta vijana wanazalisha tofali hapo mbele ya lango la kiwanda. Nikawauliza aina ya cement inayozalishwa hapo ni ipi, wakaniambia ni "Kilimanjaro hii" ambayo mifuko yake iko tofauti na ile ya Pakistan ila ni kama walisema "wakati mwingine hutoka mifuko aina kama ile ya Pakistani". Hapo ndiyo sikuwaelewa...ila sasa najaribu kuunganisha nukta.

Mkuu mimi nafikiri kuna mchezo unafanyika hapa, sina shaka kampuni ya Kisarawe ikifatiliwa kwa karibu kujua mmiliki wa kiwanda si ajabu ukakuta ni Wapakistani wale wale wa LUCKY CEMENT - wala sitashangaa ikibainika wameweka mashine za geresha tu wanacho fanya ni ku-rebag LUCKY CEMENT ya Pakistani na kujifanya imezalishwa hapa hapa Tanzania, we inakuwaje Cement izalishwe Pakistani ipachikwe jina la Kilimanjaro - kwa nini si Karachi au Islamabad, hawa wenzetu wana mbinu nyingi sana wasipo fatiliwa kwa karibu wanaweza kukosesha Taifa mapato. Kwa nini nasema hivyo - miaka ya nyuma kulikuwa na kiwanda cha UMMA kilijulikana kama "light source" baadae kikabinafsishwa wakapewa Wahindi kwa makubaliano kwamba watakiendeleza kwa kuzalisha bulbs na tubelights sasa nini kilitokea baadae - Wahindi wakang'oa mashine badala yake wakawa wana agiza light sources kutoka India zikifika kiwandani wanaweka kwenye maboksi na kuweka nembo eti "made in Tanzania!"
 
naipongeza sana Rwanda, kwanini cement itengenezwe pakistan halafu waje na jina letu la kilimanjaro? upuuzi huu. safi sana rwanda, tuone watauza wapi hizo cement za walanguzi. na kwa taarifa yao mnigeria akianza hata hao wanyarwanda cement yao wataitupa kule.
 
Ndio kwanza leo naisikia hiyo cement inatumika hapa Tanzania?
 
kuna viwanda vingi vya cement vimeibuka Tanzania lakini bei haishuki hii hatua ya rwanda inabidi tuiangalie kwa jicho la tatu inawezekana kuna ukweli ndani yake kama walifanya uchunguzi ni lazima walishirikiana na vyombo vya ndani inabidi nao watoe majibu hasa tume ya ushindani na wizara ya viwanda na biashara
 
hapo kwenye bei ndo shida
 
Back
Top Bottom