Watu wengine mnaongea as if kuna vita btn TZ vs Rwanda,na wala hakuna beef yeyote na inasikitisha sana watu msioelewa siasa za Rwanda mnavyo fall na propaganda za watu humu wenye agenda za ant Rwanda/kagame humu JF, na huko Congo JWTZ hawajaenda kupigana na Rwanda maana Rwanda hawana hata mwanajeshi mmoja huko,be carefully guys maana JF imeingiliwa na watu wenye chuki na Rwanda
watu wanashabikia mambo ya jeshi kama Simba na Yanga.!!!!
Are you for really?seems debating na watu kama wewe is just a waste of time ila hakuna vita wala beef kati ya TZ na Rwanda,M23 ni Congolese 100% and has nothing to do with Rwanda,Kikwete alitoa opinion zake na wenzake wakamjibu so ni kawaida na wala hakuna mtu anamwogopa au ataenda kumpiga mabomu kama anavyowapiga Chadema na huyo Mtikila ndio nani?mganga wa kinyeji au ?1. M23 wote ni wanajeshi wa Rwanda
2. Juzi juzi tu Kagame na serikali yake wamemwaga matusi kwa Kikwete na Tz kwa ujumla
3. Ushahidi wa Mtikila unaonesha Rwanda hasa Kagame na sera zake ni adui
uliyoandika ni uongo
wewe mimi nipo ndani najua kuliko unavyofikiri, jwtz sasahv limebaki kuwa jeshi la siasa hakuna kitu full ufisadi,hauna mipangilio linaendeshwa tu kwa nguvu ya mungu ila usije ukaweka imani yako kwa jwtz incase vita ikitokea hatuna askari jeshini ila tuna watu ambao wamekosa ajira wakakimbilia huku!
Rwanda wako Milioni 16 na Umeme wao Megawatt 100 tu, sisi tuko miloni 40 umemem wetu zaidi ya Megawatt 1000!
ha ha mkuu na wewe umelewa sifa zile za jw za zamani za nduli iddi amin! udogo wa nchi haumaanishi na wala hauna parameter yoyote katika vita,mfano israeli ni ndogo kiasi kwamba ndege ya kivita huchukua dk 3.7 kuicross katikati,lakini pamoja na udogo wake waarabu hawakohoi,ona japani,cuba,vietnam ni miongoni mwao,na kama tukifuata ukubwa wa nchi ona congo inavyoshindwa vita kila kukicha na nchi ndogo kama rwanda,china na ukubwa woote ule waliwahi tawaliwa na japan,uingereza ni kisiwa kidogo sana lakini kilishawahi kutawala dunia(BRITISH EMPIRE) KWAHIYO UDOGO WA RWANDA SIO TIJA! mambo ya msingi ni mipango(strategic),uongozi bora,askari wenye uzalendo then silaha ni kitu cha mwisho! tuliweza kumshinda iddi amin sio eti tulikuwa na silaha bora kuliko yeye hapana!wao UGANDA walituzidi sana katika nyenzo za kivita isipokuwa hawakuwa na vitu viwili vya umuhimu katika vita hawakuwa na askari wenye morali wa kupigana coz wengine kama museveni walikuwa upande wetu,hawakuwa na uongozi bora wa kijeshi na kisiasa ikumbukwe amin alikuwa dikteta! wakati sisi tanzania kila kitu kilikuwa safi kuanzia SIASA,UCHUMI NA UONGOZI(military&intelligence) ndio maana tulishinda ile vita ila sio siku hizi siku hzi ni tofauti usikae ukashabikia tu!nyambaf! waambie waanze hata kama wamekupandikiza najua muziki wetu unaujua! ka nchi kenyewe sawa na himaya ya J. mnyika, wilaya ya kinondoni! one hour tu inatosha kuwahamishia misitu ya congo kwa wale jamaa zenu intarahamwe! mmechoka kuwatukana police mnaanza kwa jw, you are barking a very wrong tree Mademoiselle!
ha ha mkuu na wewe umelewa sifa zile za jw za zamani za nduli iddi amin! udogo wa nchi haumaanishi na wala hauna parameter yoyote katika vita,mfano israeli ni ndogo kiasi kwamba ndege ya kivita huchukua dk 3.7 kuicross katikati,lakini pamoja na udogo wake waarabu hawakohoi,ona japani,cuba,vietnam ni miongoni mwao,na kama tukifuata ukubwa wa nchi ona congo inavyoshindwa vita kila kukicha na nchi ndogo kama rwanda,china na ukubwa woote ule waliwahi tawaliwa na japan,uingereza ni kisiwa kidogo sana lakini kilishawahi kutawala dunia(BRITISH EMPIRE) KWAHIYO UDOGO WA RWANDA SIO TIJA! mambo ya msingi ni mipango(strategic),uongozi bora,askari wenye uzalendo then silaha ni kitu cha mwisho! tuliweza kumshinda iddi amin sio eti tulikuwa na silaha bora kuliko yeye hapana!wao UGANDA walituzidi sana katika nyenzo za kivita isipokuwa hawakuwa na vitu viwili vya umuhimu katika vita hawakuwa na askari wenye morali wa kupigana coz wengine kama museveni walikuwa upande wetu,hawakuwa na uongozi bora wa kijeshi na kisiasa ikumbukwe amin alikuwa dikteta! wakati sisi tanzania kila kitu kilikuwa safi kuanzia SIASA,UCHUMI NA UONGOZI(military&intelligence) ndio maana tulishinda ile vita ila sio siku hizi siku hzi ni tofauti usikae ukashabikia tu!
watu wanashabikia mambo ya jeshi kama Simba na Yanga.!!!!
Are you for really?seems debating na watu kama wewe is just a waste of time ila hakuna vita wala beef kati ya TZ na Rwanda,M23 ni Congolese 100% and has nothing to do with Rwanda,Kikwete alitoa opinion zake na wenzake wakamjibu so ni kawaida na wala hakuna mtu anamwogopa au ataenda kumpiga mabomu kama anavyowapiga Chadema na huyo Mtikila ndio nani?mganga wa kinyeji au ?
kwanini ndugu zangu watanzania tunapenda sana vita? kwanini kila kitu mnawaza vita...... tatizo la malawi la mpaka, mnawaza vita, Maraisi wa nchi, au serikali zikitofautiana mnawaza vita.
kuna uhusiano gani wa kauli ya President Kikwete na vita?
mbona hatuzungumziii mambo mengine......inamaana sisi ni watu waa...mabomu na risasi tu.
semeni hivi....hawa wa Rwanda tutawafunga magoli mengi tu, wakicheza mpira na sisi mpaka washike adabu.
au watatukoma tukikutana Olympiq huko kwenye riadha au ndondi......au tutawajomesha kwenye netbal....nk
wewe mimi nipo ndani najua kuliko unavyofikiri, jwtz sasahv limebaki kuwa jeshi la siasa hakuna kitu full ufisadi,hauna mipangilio linaendeshwa tu kwa nguvu ya mungu ila usije ukaweka imani yako kwa jwtz incase vita ikitokea hatuna askari jeshini ila tuna watu ambao wamekosa ajira wakakimbilia huku!