Rwanda defence force retreat-kigali (picha)

huyoo kagame pimbi tuu mnafki mkubwa darling wa USA yeye na museveni,is days are numbers,wana nini washenzi tuu criminals. of wars,
 
Mambo mengine yanatia hasira mjuwe,uwezi compared hata siku moja Tz na Rwanda absolute,
 
proud to be tanzanian.am down with tpdf no matter what.
 
take or let alone ndugu yangu,am not hates isopokuwa I know deeply kuhusu rwanda more than you do my comrad and am not blaming you seriously am telling you,tuishie hapo wng,good nite.
 
ila nimefurah kupata mjubaa kama wewe unaependa challenges,keep up bro,wary kama nyinyii mnafaa mnaleta challenges ktk jamii, nakukubal jembe.
 
Album sasa hivi ni Virtual siyo Vitabu.Picha zinahifadhiwa online

Ni kweli upo ndani lakini ni ndani ya hilo jeshi ulilotuwekea picha. Labda tu mngejaribu kuwachokoza JWTZ kisha muone.Kijeshi Picha mahala pake ni kwenye album tu na si za kuji show off maana mahala pazuri pa kupima uwezo wa askari ni kwenye field!
 
 
Labda kuyaandaa kwenda kuwashughulika wamakonde Ntwara!![QUOTE=MAKOSHNELI;6655835]wewe mimi nipo ndani najua kuliko unavyofikiri, jwtz sasahv limebaki kuwa jeshi la siasa hakuna kitu full ufisadi,hauna mipangilio linaendeshwa tu kwa nguvu ya mungu ila usije ukaweka imani yako kwa jwtz incase vita ikitokea hatuna askari jeshini ila tuna watu ambao wamekosa ajira wakakimbilia huku![/QUOTE]
 

Rwandese army for over 16 years has been fighting FDLR but in vain. Sasa wanawaza kujipima ubavu kwa JWTZ. Hizo picha ni dhahiri wameanza propaganda za vitisho ili waogopwe, waogopwe kwa lipi? Walianza na propanda ya "genocide against tutsi" ikafeli baada ya international community kuwashtukia kwa sababu huwezi kusema hivyo wakati watu wengi pia kutoka makabila mengine waliuawa kwenye genocide badala yake inatakiwa iitwe "genocide against Rwandans". Threat is their new propaganda, nayo itashindwa pia na haitawasaidia jirani zetu! Namhurumia sana huyo BEAST Kagame and his company a.k.a tutsi-hima.
 
Ni kweli upo ndani lakini ni ndani ya hilo jeshi ulilotuwekea picha. Labda tu mngejaribu kuwachokoza JWTZ kisha muone.Kijeshi Picha mahala pake ni kwenye album tu na si za kuji show off maana mahala pazuri pa kupima uwezo wa askari ni kwenye field!
Swat field gani unayoweza kutolea mfano wa mafanikio ya JWTZ.JWTZ haijawahi pambana vita na sovereign state ukaconclude wazi kuwa jeshi limeshiriki vita na kushinda au kushindwa.Sayansi ya vita ni zaidi ya maneno ya kushiba mihogo ya Ikwiriri na kuvimbiwa.
 
Last edited by a moderator:
Kwani hushangai kwa nini hayo maneno yako na mapicha unayoweka na hizo propaganda umezianza hivi karibuni?. Kabla ya hapo mbpna mlikuwa kimya? Si ni baada ya Tanzania kuamua kupeleka vikosi vya JWTZ kule Mashariki ya kongo na kuzuia mirija yenu ndio mumeanza propaganda za kuongea na kuweka mapicha humu!. Tunaisifia sana Jwtz kwa sababu hakuna hata nchi moja jirani iliyowahi kuichokoza. Na hii inaonyesha inaogopwa mkuu. Unashindwa tathmini ndogo tu kama hiyo!? Mngekuwa hamuiogopi mngeichokoza basi muione uwezo wake! tu
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine mnaongea as if kuna vita btn TZ vs Rwanda,na wala hakuna beef yeyote na inasikitisha sana watu msioelewa siasa za Rwanda mnavyo fall na propaganda za watu humu wenye agenda za ant Rwanda/kagame humu JF, na huko Congo JWTZ hawajaenda kupigana na Rwanda maana Rwanda hawana hata mwanajeshi mmoja huko,be carefully guys maana JF imeingiliwa na watu wenye chuki na Rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…