BASIASI JF-Expert Member Sep 20, 2010 9,735 5,003 Dec 10, 2011 #1 Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono
Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono
Crashwise JF-Expert Member Oct 23, 2007 22,227 8,735 Dec 10, 2011 #2 BASIASI said: Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono Click to expand... naomba ufafanuzi hapo kwenye red
BASIASI said: Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono Click to expand... naomba ufafanuzi hapo kwenye red
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Oct 1, 2011 2,918 1,233 Dec 10, 2011 #3 Wewe vipi? Una Dual citizenship nini? Mimi na wengine wengi tu hatujakutuma ututoleee tamko kuwatakia Rwanda Ushindi. Lol!
Wewe vipi? Una Dual citizenship nini? Mimi na wengine wengi tu hatujakutuma ututoleee tamko kuwatakia Rwanda Ushindi. Lol!
M Masuke JF-Expert Member Feb 28, 2008 4,610 1,264 Dec 10, 2011 #4 BASIASI said: Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono Click to expand... Mkuu usiwachukulie poa Uganda.
BASIASI said: Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono Click to expand... Mkuu usiwachukulie poa Uganda.
Songambele JF-Expert Member Nov 20, 2007 4,695 2,553 Dec 10, 2011 #5 umeshatafuta pakujificha, mpira unachezwa uwanjani not otherwise. Mwamkie bingwa sasa